wachimbaji madini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania ๐…๐ž๐ฆ๐š๐ญ๐š: Wachimbaji Madini waliokwama kwenda Canada watarejeshewa fedha zao Oktoba 23, 2026

    ๐“๐€๐๐†๐€๐™๐Ž ๐Œ๐€๐€๐‹๐”๐Œ๐” ๐Š๐–๐€ ๐–๐€๐’๐€๐…๐ˆ๐‘๐ˆ ๐–๐€ ๐’๐€๐…๐€๐‘๐ˆ ๐˜๐€ ๐‚๐€๐๐€๐ƒ๐€ ๐–๐€๐๐€๐Ž ๐ƒ๐€๐ˆ ๐…๐„๐ƒ๐‡๐€ ๐™๐€๐Ž ๐Š๐ฎ๐ฉ๐ข๐ญ๐ข๐š ๐๐ซ๐ž๐ฌ๐ฌ ๐œ๐จ๐ง๐Ÿ๐ž๐ซ๐ž๐ง๐œ๐ž ๐ข๐ฅ๐ข๐ฒ๐จ ๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐‘๐š๐ข๐ฌ ๐ฐ๐š ๐’๐ก๐ข๐ซ๐ข๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐จ ๐ฅ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š๐ฆ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š ๐ฐ๐š๐œ๐ก๐ข๐ฆ๐›๐š๐ฃ๐ข ๐Œ๐š๐๐ข๐ง๐ข ๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š ๐๐๐ฎ๐ ๐ฎ ๐‰๐จ๐ก๐ง ๐–๐š๐ฆ๐›๐ฎ๐ซ๐š ๐๐ข๐ง๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ž๐ฅ๐ž๐ค๐ž๐ณ๐จ ๐ฒ๐š๐ค๐ž, ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ž๐ค๐ฎ๐ฐ๐ž๐ฉ๐จ ๐ง๐š ๐ฎ๐ญ๐ž๐ค๐ž๐ฅ๐ž๐ณ๐ฐ๐š๐ฃ๐ข ๐ฐ๐š ๐ฆ๐š๐ž๐ฅ๐ž๐ค๐ž๐ณ๐จ ๐ก๐š๐ฒ๐จ ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐ข๐ฐ๐š๐ง๐ ๐จ ๐ค๐ข๐ค๐ฎ๐›๐ฐ๐š ๐›๐š๐š๐๐š ๐ฒ๐š ๐๐ซ๐ž๐ฌ๐ฌ...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji madini nchini wamenunua picha moja kwa Tsh Bilioni 1.8 kwa ajili ya kumpa zawadi, Rais Samia Suluhu Hassan

    Wachimbaji madini nchini wamenunua picha moja kwa ajili ya kumpa zawadi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Samia Suluhu Hassan kwa thamani ya Shilingi Bilioni 1.8. Wachimbaji hao wamenunua picha inayowaonesha Pomboo (Dolphin) wakiwa ndani ya maji Kizimkazi. Katika hafla ya usiku wa sanaa...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Kuondoa Ruzuku kwa Wachimbaji Madini Kutasaidia au Kutadhoofisha Uchumi?

    Mheshimiwa raisi kuondoa ruzuku kwa wachimbaji moja kwa moja bila kutafuta njia mbadala ya kuwasaidia itaenda kudhoofisha uchumi hasa kwa wachimbaji wadogowadogo najua umefanya uamuzi kwa kuangalia wachimbaji wakubwa je vipi kuhusu wachimbaji wadogo ? Tusifanye mambo kimhemko kisa tajiri mmoja...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wachimbaji madini mnataka Ruzuku wakati Harusi mnazifanya na Helikopta?

    Rais Samia Suluhu Hassan amekataa ombi la wachimbaji madini kuhusu kupewa ruzuku kutoka serikalini akitania kuwa wana pesa kiasi cha kufanya harusi kwenye helikopta.
  5. JamiiForums Tanzania Polisi: Hakuna Mchimbaji aliyefariki kwenye Machimbo ya Msasa, Geita, baada ya maduara kuanguka

    Baada ya kusambaa kwa tetesi zinazodai zaidi ya watu 200 wamefariki kwenye machimbo ya Msasa Geita, jeshi la Polisi limekanusha taarifa hizo kwa kueleza kuwa hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha. Tetesi za tukio hili zipo hapa >>> Wachimbaji zaidi ya 200 wahofiwa kufariki huko Geita Machimbo ya...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais wa Wachimbaji Madini: Napendekeza moja ya madini tuyabadilishe jina yaitwe 'Samia Suluhu Hassan'

    Rais wa Wachimbaji wa Madini Tanzania, John Wambura Bina, kwenye mkutano wa kampeni leo Oktoba 13, 2025, Mkoa wa Geita, amependekeza kwamba moja ya madini nchini yabadilishwe jina na yaitwe โ€œSamia Suluhu Hassanโ€ kama ishara ya kutambua mchango mkubwa wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kuendeleza...
  7. JamiiForums Tanzania Wachimbaji mkoa wa Singida wampongeza rais Samia kwa mafanikio makubwa sekta ya madini

    WACHIMBAJI MKOA WA SINGIDA WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MAFANIKIO MAKUBWA SEKTA YA MADINI โ–ช๏ธWapongeza ugawaji wa Leseni kwa wachimbaji wadogo Singida โ–ช๏ธSingida wavuka malengo ya ukusanyaji wa maduhuli โ–ช๏ธWaziri Mavunde aeleza mkakati wa kuongeza eneo la utafiti wa kina madini nchini โ–ช๏ธKampuni za...
  8. JamiiForums Tanzania Mgodi wa dhahabu wa Geita kuwalipa fidia wananchi kupisha shughuli za uchimbaji

    MGODI WA DHAHABU WA GEITA KUWALIPA FIDIA WANANCHI KUPISHA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI โ–ช๏ธNi Wananchi wa Nyakabale na Nyamalembo โ–ช๏ธWaziri Mavunde alekeza zoezi lianze mapema โ–ช๏ธWananchi Geita wamshukuru Rais Samia kwa utatuzi wa mgogoro uliodumu miaka 26. ๐Ÿ“Geita. Serikali imetangaza rasmi kuanza kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde: Maabara ya kisasa Geita kuwainua wachimbaji kanda ya ziwa

    โ– Baada ya Miaka 100 GST Yajielekeza kwenye Ujenzi wa Maabara za Kisasa โ– Kuhudumia mikoa ya kimadini ya Geita, Mbogwe, Kagera, Mwanza, Kahama na Shinyanga โ–Maabara nyingine kujengwa Chunya na Dodoma ๐Ÿ“Geita. Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Peter Mavunde, amesema ujenzi wa maabara ya kisasa ya...
  10. JamiiForums Tanzania Wachimbaji madini waipongeza REA kwa kuwafikishia umeme

    ๐Ÿ“ŒNi kupitia Mradi wa kupeleka umeme kwa wachimbaji wadogo na wa kati ๐Ÿ“ŒUmeme umeleta ukombozi, uzalishaji madini waongezeka Geita Mradi wa kupeleka umeme kwa wachimbaji wadogo na wa kati, Viwanda vidogo na vya kati pamoja na maeneo ya kilimo umepokelewa kwa furaha na wananchi mkoani Geita mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ