Watoto saba wameuawa katika mlipuko uliotokea katika eneo la Margba, kijiji cha Tone Prefecture, kaskazini mwa nchi hiyo, ambalo limekuwa katika hali ya hatari tangu Juni mwaka jana.
Katika taarifa, jeshi la Togo lilisema mlipuko ambao chanzo chake hakijajulikana ulisababisha vifo vya watoto...