wajumbe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kilimanjaro: Wajumbe wa kamati ya siasa wataka kuongezwa kasi ya ukarabati wa skimu ya umwagiliaji

    WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro wamewataka wakandarasi wa ukarabati wa skimu ya umwagiliaji ya Ndungu na Kihurio kuongeza kasi ili wananchi waweze kunufaika na fedha zilizowekezwa na serikali. Kauli hiyo imekuja mara baada ya Kamati hiyo kufika katika...
  2. Pre GE2025 Rais Dkt. Mwinyi asema Fitina zilikuwa zimeshaanza kuingia wagombea urais CCM, Mkutano mkuu ulimaliza kazi yake akisisitiza vyama vingine hayawahusu

    "Tumekuja mbele yenu kutoa shukrani kwa wajumbe wa mkutano mkuu kwa uamuzi ule ambao ulikuwa ni wa busara sana, sasa wapo wa vyama vingine ambao kwakweli wao hayawahusu wanaingilia utaratibu wa chama cha mapinduzi, tunasema haya hayawahusu wanaCCM waliamua kwa makusudi na walikuwa na sababu za...
  3. Pre GE2025 Mwigulu: Anayeongea ndiye Waziri Fedha, mkirudi Majimboni waambieni Wajumbe wenu hakuna awamu imetoa pesa nyingi kama ya Sita

    Waziri wa Fedha, Mwigulu amejigamba Mbungeni kuwa "Anayeonge ndiye Waziri Fedha, mikirudi Majimboni waambieni Wajumbe wenu hakuna awamu tumetoa pesa kama awamu hii ya Sita Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  4. M

    Ukweli mchungu: Katika hawa wajumbe wa Kamati Kuu aliowateua Lissu, Lema pekee ndiye alistahili

    NInavyofahamu Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama ni nafasi kubwa sana, uteuzi wake inabidi uwe wa umakini mkubwa na utulivu na siyo lazima ufanywe baada ya Uchaguzi tu kwa karibu nafasi zote kama alivyofanya Lissu. Nimepitia Majina ya hao watu Lissu aliowateua zaidi ya Lema wengine naona uwezo wao...
  5. W

    Pre GE2025 Wabunge hawa wa CCM wajipange kisaikolojia, hata washinde kura za maoni watakatwa kupisha wengine

    1. LUHAGA MPINA - huyu hata ashinde kura za maoni, ATAENGULIWA 2. NDUNGAI - Mzee hatoboi kura za maoni, ishu inamalizika chini kwa chini 3. GAMBO - apambane sana Soma Pia: Ushindani utakuwa ni mkali ndani ya CCM katika kumtafuta wa kupeperusha bendera ya Chama. Wengine hawatarejea Bungeni
  6. M

    Jopo la kamati ya uteuzi wa Tume ya uchaguzi na Mipaka ya Kenya IEBC waapishwa

    Tujiulize wa jumbe wa Tume yetu ya Uchaguzi wanapatikana vipi? Wenzetu wapo mbali sana.
  7. M

    Wajumbe kama wajumbe

    Niaje niaje................wajumbe kama wajumbe ........kikao chetu sisi pia rangi ya mbilimbi mbichi kilikuwa viral 🀣 pia yaani kitu cha globalist................hebu ncheke kwanzaaaaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  8. Kamati kuu CHADEMA ina wajumbe wangapi? Wa Lissu na Wa Mbowe wangapi?

    Nimeuliza ili swali nipime utendaji kazi wa Lissu utakuwaje. Pia apart from idadi ya wajumbe wa kamati kuu ya chama. Je, kamati kuu ina nguvu gani kwenye chama? Naomba nifamishwe maana nilimsikia kwa Kikeke TAL anasema kuhusu reconciliation ameambiwa afanye hivyo na atafanya ila yeye anaamini...
  9. Ila Wajumbe!

    Wajumbe ndiyo Kada usiyopaswa kuiamini japo kwa 10%. Kada hiyo ndiyo yenye uwezo wa kukuua kwa shinikizo la damu endapo afya yako ni mgogoro. Wajumbe ni watu ambao wao neno lao huwa ni moja pekee, tupo pamoja. Wajumbe kukulaza na viatu, kwao siyo suala la ajabu bali ni kawaida tu. Mfano...
  10. Pre GE2025 Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kutafuta Mafekeche akiwaaga Wajumbe Ukumbini, "ninyi jengeni Siasa"

    Akihitimisha salamu zake za pongezi kwa ushindi wa Tundu Lissu, Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kupiga mzigo ili kutafuta mafekeche (fedha) na wataonana baadae. Pia, Soma: Mbowe: Nikishindwa uchaguzi narudi kwenye biashara zangu "Ngojeni nikapige mzigo...
  11. Wajumbe wenzangu wa CHADEMA huyu Pascall Mayala naye mjumbe mwenzetu?

    Nimeskia jina la wajumbe wa kanda ya Victoria moja ya majina niliyoskia ni Pascal Mayalla je nae ni mjumbe wa CHADEMA kanda ya Victoria au ni jina tu sio huyu tuliekuwa nae humu mzee wa physical power
  12. Wajumbe Wapiga kura katika Uchaguzi wa CHADEMA wanasinzia sana ukumbini kulikoni?

    Halafu mbona bado mapema sana my friends, ladies and gentlemen? Yaani wamepoteza umakini kabisa. Au kuna kitu wamekula au kunywa kinawafanya kusinzia kwa pamoja? Na inaruhusiwa kufanya hivyo kwenye jambo muhimu kama hili? Au ni njaa ndungu zangu? Si wapatiwe chochote kitu basi? Au ni uchovu wa...
  13. R

    Naomba kufahamu wajumbe wa sekretariet ya CHADEMa iliyoandaa uchaguzi wa mabaraza na uchaguzi mkuu 2025: vijana wana mengi yakujifunza kwao

    Moja ya jambo ambalo ningependa libali kwenye kumbukumbu na vitabu vya historia za uchaguzi nchni ni pamoja na majina ya timu iliyoandaa uchaguzi wa mabaraza na sasa uchaguzi wa viongozi wakuu wa CHADEMA. Wamefanikiwa kukamilisha uchaguzi wa mabaraza bila kuwa na pingamizi wala mjumbe au...
  14. Mwenyekiti wa CHADEMA anaongoza wajumbe au wanachama?

    Wakuu habari za mchana, wakati joto la uchaguzi likizidi kupaa kuna hii notion imekuwa ikirudiwa rudiwa na Team Mbowe. Kwanza walianza campaign team ya Mbowe, akafuata Mbowe mwenyewe kwenye mahojiano na gazeti la mwananchi na sasa imerudiwa na mashabiki wake hapo mlimani City. Video hapo...
  15. F

    Leo wajumbe wa mkutano mkuu CHADEMA msifanye kosa la kukirudisha chama kwenye siku za uanaharakati

    Lissu hajaweza na hataweza kutoka kwenye hulka yake ya uanaharakati (activism). Hii ni hali ya chini kisiasa au utoto wa kisiasa. CHADEMA chini ya Mbowe kilishavuka hatua hiyo kitambo sana. Lissu ataivuruga CDM kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kukosa uzoefu na uvumilivu kwa wanachama...
  16. P

    WIMBOMPYA: Hili ni Bonge la Wimbo wa Kuwanadi Lissu na Heche kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu, sikiliza hiki kipaji TOT wakasome

    https://youtu.be/mPmjrS_HcYk?si=9ZuRb3PSprgMakCN Wajumbe sikilizeni huu Wimbo kwa makini sana hakika Watanzania wanataka mabadiliko 2025
  17. Wafungulieni wajumbe wapate hewa hata kidogo jamani!

    Yaani mambo mengine ni ya kikuda sana. Wajumbe ambao ni wapiga kura wa kesho wanalalamika vyumba walivyofungiwa ni vidogo sana hivyo hewa haipiti na kupelekea kuwa na joko kaki sana. Na bahati mbaya kuna giza nene kwenye vyumba hivyo baada ya umeme kuwa umekatika. Pia wanahoji kwanini...
  18. Tetesi: Wajumbe mkutano mkuu CHADEMA wapokea bahasha nono, Mbowe mitano tena

    Wasalaam, Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba CCM wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha Mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu zao ili wamchague Mbowe. Inasemekana kutokana na njaa kali ya January hii wajumbe wengi wameamua...
  19. T

    Pre GE2025 Lema: Wajumbe wengi hawajapata vitambulisho

    Toa vitambulisho kwa Wajumbe , Wajumbe wengi mpaka sasa hawajapata vitambulisho. Hii haikubaliki. - Godblless Lema Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
  20. Lissu Hafai ni Radical: Hadidu kwa Wajumbe

    Katika siasa za kisasa, uongozi wa taasisi za kisiasa unahitaji mtu mwenye busara, hekima, na uwezo wa kuunganisha watu wenye mitazamo tofauti kwa ajili ya kufanikisha malengo ya pamoja. Ndiyo maana kwa muda imekuwa ikisemwa sasa CHADEMA ihame kuwa vuguvugu la harakati na kuwa taasisi. Hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…