wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mumeo/mkeo akisema usimsumbue wakati wa tendo, jiongeze mpendwa

    Knakutana na haya mambo yanajirudia kwenye ndoa hasa wakati wa tendo la ndoa Mwenzio anakujibu Uinigusee Nimechoka Sijisikii Niamshe baada ya masaa mawili Nanmengineyo kama una la kuongeza tujuzane Kama unakutana haya ndugu jiongeze mapema kabisa kwa usalama wako Hapo ndoa Ishanzaa kutetema...
  2. W

    Naamini kuna jambo linakuumiza akili wakati huu

    Sijui nini unachopitia wakati huu lakini naamini una jambo linakuumiza akili na moyo ongea na Mungu wako akutue huo mzigo wa maumivu haustahili kuendelea kuteseka kama ni kujifunza tayari umeshahitimu, Nikutakie USIKU MWEMA.
  3. Msaada wakuu: Nili-restore simu, Sasa wakati naingiza email kujiunga tena imekwama

    Hii email ni muhimu maana ndio naendesha blog,website na mambo mengine mengi ya kibiashara. Niliweka 2 step verification,Sasa inadai inatuma notification nibonyeze yes lakini haiji notification yoyote na mbaya zaidi hizo njia zingine kama passkey Sina access nayo ,na hata namba ya simu...
  4. J

    LGE2024 Wajibu wa Wadau wa Uchaguzi wakati wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    1. Jeshi la Polisi 2. Vyama vya Siasa - 3. Wananchi - 4. Msimamizi wa Uchaguzi Chanzo: TAMISEMI 2024
  5. Bendera ya Mozambique (Msumbuji), Je ni Wakati wa kutoa hii AK 47

    Hapana haujakosea hio ni bendera ya nchi na hio ni AK 47 ikiwa na Jembe..., Ndio naelewa kwamba kuna kipindi walikuwa wanapigania Mapinduzi / Uhuru hio AK ilikuwa na kazi mahususi je wakati haujafika kubadilisha hio AK na kuweka angalau kalamu iendane na hicho kitabu ? Clothes Make the...
  6. Unapojijua wewe ni mchepuko, tulia kwa nafasi yako. Kiherehere cha kutaka kurasimisha ili iweje sasa?

    Mara mbona uniweki status, mara meseji za uko wapi sasa hivi, mara mbona haunipigii mara kwa mara, mara mtoto wangu anaumwa, mara kodi ya nyumba inakata kesho (kwani ulikuwa unaishije kabla yangu👽).
  7. Ni dharau kubwa Kiongozi wa Taifa letu kutoa risala huko Brazil wakati wanaotakiwa kusikiliza wanaendelea na shughuli za kupakua chakula

    Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio, Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula, Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo...
  8. Wakati mwingine mioyo iliyoumizwa inakutana, inaponyana na inapendana

    Wakati mwingine mioyo iliyoumizwa inakutana, inaponyana na inapendana. Yawezekana hao uwaonao leo wanapendana sana kuna mahala upendo wao ulipuuzwa mahala na waliumizwa Kwasababu mapito yenye maumivu hayaondoi thamani ya mtu sahihi. Hata kama umeumizwa sana, endelea kuwa mtu sahihi, mali safi...
  9. Wakati mwingine tunakutana na watu wakiwa wameumizwa sana na mahusiano ya nyuma.

    Wakati mwingine tunakutana na watu wakiwa wameumizwa sana na mahusiano ya nyuma Tunalazimika kuzinyanyua nafsi na mioyo yao iliyojiinamia ndipo tuwapandikize upendo wetu Huwezi kuupata upendo mkubwa toka kwa mtu mwenye mapito mazito kama hujamponya na maumivu yake ya nyuma ili awe mpya kwanza...
  10. LGE2024 Njombe: Wagombea waonywa kukiuka kanuni wakati wa Kampeni

    Halmashauri ya mji wa Njombe imekiri kuweka sawa mazingira ya uchaguzi wa serikali za mitaa hadi kwa makundi maalumu ili yaweze kushiriki kikamilifu katika mchakato mzima wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hapo Novemba 27 mwaka huu. Mbele ya Vyombo vya Habari Msimamizi wa Uchaguzi wa...
  11. Wakati Tanzania katiba sio muhimu, Gaboni wamebadili katiba na hivyo kuhitimisha enzi za Omari Bongo

    Wakati Tanzana raia wanaambiwa kikubwa wanakula wanashiba na wanapata muda wa kujadili Yanga na Simba, Gaboni wameandika katiba mpga na hivyo kuhitimisha utawalala wa Familia ya Bongo. Kumbuka ni hadi yamefanyika Mapinduzi ya amani ndio katiba mpya imepatikana Gaboni, hii inaleta picha kwamba...
  12. Ni wakati wa kuondokana na John Mrema hapa CHADEMA

    Naomba nitoe ushauri Kwa chama changu Cha CHADEMA, kwamba imefika wakati tuondokane na Business as usual. Kuna Afisa mmoja wa CHADEMA anaitwa John Mrema ambaye kwa ujumla anahusika na uenezi wa chama. Huyu jamaa kusema ukweli amepwaya Sana. Yani hiyo nafasi ni kama haimfai na ni kama...
  13. Hospitali ya Muhimbili izingatie weledi katika kutoa taarifa wakati wa Majanga!

    Nasikitika kuona "kiherehere" cha hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kutoa Taarifa zinazohusu majanga bila kuzingatia chain of command. Sio afya kwa hospitali hii as an entity kukimbilia kwenye media na kutoa taarifa bila kuzingatia taratibu za uhabarishaji umma wakati wa tukio la majanga...
  14. M

    Simba fans ni kichekesho kumponda Kocha Saed wa Yanga wakati Fadlu wenu aliishusha timu yake daraja Afrika Kusini

    Ni vichekesho kwa mbumbumbu eti wanaiponda cv ya kocha mpya wa yanga wakati ajawai kushusha timu daraja kama ilivyo kwa kocha wao fadlu ambae aliishusha Martizburg na akatimuliwa! Kama cv zinakufanya kazi basi Simba wasingemchukua fadlu kwakuwa cv yake ilikuwa ni ya ovyo! Unapochukua kocha...
  15. Maafa ya Kariakoo: Ni Wakati wa Wizara ya Ujenzi kuwajibika

    Leo, taifa letu limepigwa na pigo kubwa na tukio la kusikitisha la kuanguka kwa ghorofa katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam. Tukio hili baya limeacha alama ya majonzi na huzuni mioyoni mwetu sote, huku tukiombea kwa dhati afya njema na salama kwa wale waliojeruhiwa na pole za dhati kwa...
  16. B

    Ningekuwa mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Dar Es Salaam, ningefanya haya kujiandaa na Majanga na wakati wa Majanga

    Ndugu zangu wana Jukwaa, poleni kwa sote kwa yale yanayoendelea. Tuendelee kuweka nguvu zetu kwa panoja ili hatimaye hatua za uokoaji ambao serikali imeshaingilia kati ziweze kulete manufaa kwa wahanga. Pamoja na hayo ni vema tukatumia wakati kama huu kabla watu jawajasahau( watanzania ni...
  17. Baba yangu alipomuacha mama akatafuta mwanamke mwingine nilimchukia sana wakati ule,hivi Sasa ndiyo naelewa

    Nisamehe sana baba ,wakati ule nilikuwa bado mdogo sikujuwa jambo lolote! Wakati tunakuwa Mimi na ndugu zangu tulikuta mzee (baba) ameacha na mama,binafsi kwakuwa nilikuwa Nina shinda na mama yangu mara zote,alikuwa akiniambia mambo mengi ya ovyo kuhusu Baba yangu Baba yangu yeye hajawahi...
  18. Mpenzi anayeongea vs mpenzi asiyeongea wakati wa tendo la ndoa, yupi unampenda zaidi?

    Haya nimeulizwa huku Kuna wale wana wapenzi wao wakati wanafanya tendo la ndoa uwa wanapenda kuongea ongea mpaka mwisho inaitwa dirty talk Kuna wale wapenzi ambao kwenye tendo la ndoa wanakaa kimya mwanzo mwisho hata miguno hamna Yupi unampenda zaidi? Yupi unamkubali zaidi?
  19. S

    Mguu wa gari kuvuma sana wakati wa mwendo

    wakuu gari yangu mguu mmoja wa kilia unavuma sana mpaka nakosa raha ya kusikiliza mziki tatizo itakuwa Nini nijue kabla ya kwenda Kwa fundi maiko
  20. Kumbe wachezaji wa Yanga walikuwepo uwanjani wakati Simba wanalipoifunga Tabora United 3-0?

    Nimeshangaa kujua kumbe Azizi Ki aliyekosa Penati siku Yanga inacheza na Tabora United, aliwaongoza wachezaji wenzake wa Yanga kuishuhudia Simba ikiidungua TABORA UNITED 3-0 Agosti 18 2024. Sasa kama hawakujifunza mbinu za kuifunga Tabora United toka kwa Simba, basi Yanga kufungwa kwao ni halali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…