wake zenu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanaume wenzetu ninyi mnaweza vipi kushona sare za vitenge na wake zenu? Ni nini siri ya hili?

    Huenda ni malezi niliyokulia maana sikuwahi kabisa kumuona mzee wangu akivaa sare na mama yangu. Ziwe sare za kanisani ama popote pale kwakweli sijawahi Ona hadi sasa wana zaidi ya miaka80! Ninyi wanaume wenzetu ni Mahaba/upendo sana kwa wake zenu au ni limbwata pamoja na kupandwa kichwani na...
  2. Imeandikwa waume wapendeni wake zenu kama nafsi zenu wenyewe kwa maana sasa mmekuwa mwili mmoja

    Waefeso 5:28-33 28 Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. 29 Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa. 30 Kwa kuwa tu viungo vya mwili wake. 31...
  3. Kwenu wanaume ambao wake zenu wanafanya kazi. Kipi bora mke wako kulea watoto na kutunza familia ama kazi?

    Wakuu huu mwaka 2025 hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe yote yatabomolewa na kugeuzwa kwa wakati wake. Leo mtuambie wanaume ambao wake zenu wanafanya kazi na majukumu yote ya nyumbani kuwaachiwa wadada wa kazi. JE NI KIPI BORA KATI YA KULEA FAMILIA NA KUFANYA KAZI?. Pengine sisi tulioa wamama...
  4. Lengo lenu nini mnao wakataz wake zenu kufanya kazi?

    Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi. Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio...
  5. Muache kuitana wake zenu blood pressure hatakama n utani

    Pitapita hapa Nimekutana na jamaa zangu karume kijiwen Nafika naonaa wanaambiana hahaa wewee leoo umekuja blood pressure wakoo kakuruhusu leo MMmhnkawaza nani... Mwingine akajibu hahaa blood pressure wangu hana shida anatumia 3g yaan yeye urudi usirudi kabisa nyumban hata hasumbuki na wewe...
  6. Nyie wenzangu wake zenu wanaomba msamaha?

    Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia" Kwanini?
  7. Wenzangu mkiambiwa hamna utu na wake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha yaendelee?

    Ndugu zangu.. Japo wanaume tuna mioyo migumu ya kuvumilia kila jambo ila hakuna kauli inayouma na kujeruhi sana kama kuambiwa huna "UTU" na mkeo Sasa . Hivi nyie wezangu mkiambiwa hamna utu na wake au wanawake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha ya endelee maana mimi naona na karibia kukata...
  8. M

    Kwa mliooa mademu zetu asee jitahidini kuwakaza vizuri wake zenu! Wanawake wenu wanatukumbuka huku

    Huyu manzi alishaolewa but bado ananichek na kunikumbuka jinsi nilivyokuwa namkunja ipasavyo! sasa huko alipoolewa kakuta hakuna kitu dah hizi ndoa hizi 😁😁 Wanangu wa kataa ndoa back up yenu muhimu waliooa wakianza kunishambulia 😁😁
  9. Wanaume kama unajua akikupa huwezi kuichapa ni mara mia uache kuwasumbua wanawake

    Ndugu zangu Wanaume ni kweli tunapitia magumu ila kamwe tusikubali hizi dharau kutoka kwa hawa wanawake. Ni mara mia kama unajua huwezi kuichapa uache kusumbua wanawake .
  10. Mliowahi kuambiwa na wake zenu hamna utu tukutane hapa kupeana mbinu

    Ndugu zangu habari.. Ni mara kadhaa sasa mke wangu ananiambia sina utu ila nikimuuliza kwanini ananiambia hivyo hatoimajibu kabisa. Ndugu zangu kama mnajua ni kwanini naambiwa hivi au mlio wahi kuambiwa hamna utu na wake zenu njoeni hapa tupeane mbinu wakuu
  11. Mchungaji Tobi Adegboyega ndie aliezaa watoto wote na mke wa mchezaji wa zamani wa Super Eagles na Man city Michael Olanrewajin Kayode

    Mchungaji Tobi Adegboyega ndie aliezaa watoto wote na mke wa mchezaji wa zamani wa Super Eagles na Man city Michael Olanrewajin Kayode. Mchungaji kapiga mashine mpaka mke wa mtu Dora kayode kuzaa watoto watatu ndani ya ndoa! Timu kataa ndoa wanazidi kuchukua point tatu!
  12. B

    Naendelea kutoa Somo, vijana msitolee macho pesa za wake zenu

    Tumekuwa tukiwafundisha kila siku, japo mmekuwa wagumu kuelewa lakini hatutachoka kuwaelimisha. Tunaamini mtaelewa kidogo kidogo. kama wewe umeo na una mke let say ana kazi au biashara au shughuli yoyote inayomwingizia kipato basi acha kutolea macho pesa za mkeo. kama hutaki shida na migogoro...
  13. Wanaume kuweni makini na wake zenu, hasa kipindi cha mafanikio

    Mifano ya wanaume walioingia kwenye taabu na wengine kupata kifo kwa iko mingi katika jamii. Wanawake ulimwenguni wamechoka kuwa chini ya wanaume. Wanapenda sana kuolewa (ndoa) kuliko wanaume lakini wakiwa ndani ya ndoa wanaanza kutamani kuishi kwa Uhuru. Kuna kabila liko Dar na Pwani, hao...
  14. R

    Mnaopiga wake zenu huwa mnakuwa mmetumia vilevi? Mke hapigwi!

    Salaam, Shalom, Ilikuwa yapata kama majira ya saa tatu hivi usiku, tulikuwa tumemaliza kupata chakula Cha usiku, tulikuwa tukijiandaa kufanya Ibada kabla ya kwenda kulala. Wakati huo nilikuwa na umri wa miaka 10. Tukiwa katika kusubiri kuanza Kwa Ibada, nilisikia kishindo kikubwa, yaani...
  15. Pole nyie ambao wake zenu wanafanya kazi!

    Huu ni mwaka wa 8 niko kwenye utumishi wa umma. Nimefanya kazi vituo 2. Nilichogundua ni kwamba wanawake wenye mishahara wana tamaa kubwa ya fedha kuliko mama wa nyumbani. Yaani misimbazi 2 tu unamwangusha na atamsahau mume wake kwa masaa 2. Wake zenu wanatuomba nauli kila jioni licha ya...
  16. Wanaume mnaruhusu vipi wake zenu kushiriki marathon?

    Aisee Mambo yanayoendelea Dodoma after marathon ni balaa. Ni kama watu wenye ndoa wametoka kifungoni they want to experience everything. Watu wenye Pete ndio wanaongoza kuingia double kwenye rooms za hoteli. Magari parking yanatingishika balaaa hahaha. Ni balaaa.
  17. Endeleeni tu kuwaruhusu wake zenu wajiunge na VICOBA na mikopo ya kausha damu

    Kwa hakika mwanamke akiwa mzuri hutongozwa mpaka mara 50 kwa mwezi na akiwa mbaya hutongozwa mpaka mara 15 kwa mwezi endapo atakuwa anafanya kazi mahali pa watu wengi (public). Sasa mikopo ya kausha damu au chupi mkononi ambayo inamtaka arudishe marejesho kila siku ile siku hana cha kurudisha...
  18. Wanaume mnaowaachia wake zenu Kazi ya kupeleka Watoto kupanda School Vans alfajiri kuweni makini

    Leo ni mara ya Tatu kila nikiwa naenda Beach Kupasha (Mazoezini) Alfajiri ili nipate Nguvu Tukuka za Kuwajibika vyema Kitandani na wale ninaowabahatisha katika 18 zangu nakutana na Wake za Watu (tena Wengine nawajua kabisa) wakiwa Wanabanduliwa / Wanalalwa na Wajuba. Nilichokiona leo na ambacho...
  19. Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

    Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali. Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote. Inaelezwa kuwa mahakama...
  20. RPC Muliro: Wanaume mnaopigwa na Wake zenu acheni Kudanganya kuwa mmepata Ajali ili mpate PF3

    "Unamuona kabisa kuwa huyu Mwanaume hajaumia kwa Ajali bali kachezea mno Kichapo cha Mkewe Nyumbani na unataka kumsaidia halafu anakataa na kuzidi Kukudanganya. Wanaume mkipigwa na Wake zenu kuweni Huru kuja Polisi au kwenda katika Madawati ya Kijinsia na mtapata Msaada" amesema RPC Kamanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…