Kuna design wife kama anafanya mambo ya hovyo hivi au na wake zenu pia wapo hivo

Wife wangu fedha inaweza ikatumika kununua kitu Cha familia au ikakutumika kusolve matatizo ya ndani ya familia lakini Kuna mda anasahau na kuhoji hela zimeenda wapi..
Mfano kama last month nilimuahidi wife mwezi huu nikipata salary tutanunua fridge kubwa maana tuliyonayo ni ya mda mrefu na ni ndogo. Basi time ilipofika salary ikatoka nikampeleka shop akachagua Hisense milango miwili safi. Kwenye bajeti sasa tukabakiwa na hela ya matumizi ya muhimu tu. Isivo bahati mapema mwa mwezi huu ikatokea shida home iliohitaji kusafiri nikamweleza bwana Kuna changamoto home imetokea ila Kwa Hela tuliyonayo ni ngumu kusafiri wote acha Mimi niende nitakuwakilisha. Wife akakataa na akakomaa na yeye ni lazima asafiri. Tukabajeti hio safari wote wawili tukaona inawezekana kusafiri ila tutakaporudi life lazima liwe tough sana. Kwasababu ya shida tukaenda tu home tukamaliza matatizo tukaenda na kwao tukasalimia pale tukasafiri tukarudi japo alinitia aibu maana huwa kama ana kisirani flani hazungumzi na kila mtu hachangamki yeye ni kimya kimya tu. Sasa juzi nimeshika simu yake nimekuta amechati na ndugu zake Kwamba Mimi sijielewi natumia Hela vibaya familia inaishi Kwa shida. Na nikaona kama wanamshauri arudi kwao apumzike kidogo asije akafa na shida zangu. Aisee hii kitu imeniuma sana nikasema hivi sitaingilia wala kuzungumzia hilo nisubiri likamilike aende sitamfata wala kumtafuta. Sema mwanangu ni mdogo nikiwaza hilo aisee naumia sana.
Unapodili na kiumbe mwanamke usiwe seriously....in every thing, take it simple.
 
Wife wangu fedha inaweza ikatumika kununua kitu Cha familia au ikakutumika kusolve matatizo ya ndani ya familia lakini Kuna mda anasahau na kuhoji hela zimeenda wapi..

Mfano kama last month nilimuahidi wife mwezi huu nikipata salary tutanunua fridge kubwa maana tuliyonayo ni ya mda mrefu na ni ndogo. Basi time ilipofika salary ikatoka nikampeleka shop akachagua Hisense milango miwili safi.

Kwenye bajeti sasa tukabakiwa na hela ya matumizi ya muhimu tu. Isivo bahati mapema mwa mwezi huu ikatokea shida home iliohitaji kusafiri nikamweleza bwana Kuna changamoto home imetokea ila Kwa Hela tuliyonayo ni ngumu kusafiri wote acha Mimi niende nitakuwakilisha. Wife akakataa na akakomaa na yeye ni lazima asafiri.

Tukabajeti hio safari wote wawili tukaona inawezekana kusafiri ila tutakaporudi life lazima liwe tough sana. Kwasababu ya shida tukaenda tu home tukamaliza matatizo tukaenda na kwao tukasalimia pale tukasafiri tukarudi japo alinitia aibu maana huwa kama ana kisirani flani hazungumzi na kila mtu hachangamki yeye ni kimya kimya tu.

Sasa juzi nimeshika simu yake nimekuta amechati na ndugu zake Kwamba Mimi sijielewi natumia Hela vibaya familia inaishi Kwa shida. Na nikaona kama wanamshauri arudi kwao apumzike kidogo asije akafa na shida zangu.

Aisee hii kitu imeniuma sana nikasema hivi sitaingilia wala kuzungumzia hilo nisubiri likamilike aende sitamfata wala kumtafuta. Sema mwanangu ni mdogo nikiwaza hilo aisee naumia sana.
Unachunguza tena simu ya Mkeo dogo.
Alafu mwanaume ukishasema jambo usipende kubadilika badilika.
Ulishasema hii safari huendi naenda mimi iwe full stop.
Ona sasa umeenda kuaibishwa nyumban
 
Wife wangu fedha inaweza ikatumika kununua kitu Cha familia au ikakutumika kusolve matatizo ya ndani ya familia lakini Kuna mda anasahau na kuhoji hela zimeenda wapi..

Mfano kama last month nilimuahidi wife mwezi huu nikipata salary tutanunua fridge kubwa maana tuliyonayo ni ya mda mrefu na ni ndogo. Basi time ilipofika salary ikatoka nikampeleka shop akachagua Hisense milango miwili safi.

Kwenye bajeti sasa tukabakiwa na hela ya matumizi ya muhimu tu. Isivo bahati mapema mwa mwezi huu ikatokea shida home iliohitaji kusafiri nikamweleza bwana Kuna changamoto home imetokea ila Kwa Hela tuliyonayo ni ngumu kusafiri wote acha Mimi niende nitakuwakilisha. Wife akakataa na akakomaa na yeye ni lazima asafiri.

Tukabajeti hio safari wote wawili tukaona inawezekana kusafiri ila tutakaporudi life lazima liwe tough sana. Kwasababu ya shida tukaenda tu home tukamaliza matatizo tukaenda na kwao tukasalimia pale tukasafiri tukarudi japo alinitia aibu maana huwa kama ana kisirani flani hazungumzi na kila mtu hachangamki yeye ni kimya kimya tu.

Sasa juzi nimeshika simu yake nimekuta amechati na ndugu zake Kwamba Mimi sijielewi natumia Hela vibaya familia inaishi Kwa shida. Na nikaona kama wanamshauri arudi kwao apumzike kidogo asije akafa na shida zangu.

Aisee hii kitu imeniuma sana nikasema hivi sitaingilia wala kuzungumzia hilo nisubiri likamilike aende sitamfata wala kumtafuta. Sema mwanangu ni mdogo nikiwaza hilo aisee naumia sana.
Mchawi hapo hela. Tafuta hela
 
Duh!..komaa ndugu
 
Tatizo wakati wa kuoa mnaoa kwa tamaa ya taco.
-mwanamke unamwambia abaki anakugomea?
  • ana kisirani?
  • anakusemea mbovu kwao?

Una moyo na mbinguni unaenda
 
Back
Top Bottom