Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,215
- 9,719
Mwanamke pia kipengele.Mchawi hapo hela. Tafuta hela
Mwanamke pia kipengele.Mchawi hapo hela. Tafuta hela
NakaziaDah! Unafanya kosa kubwa sana utakalojutia kama hutakuwa na hela yeyote nje ya za mwanamke anazojua, ndo mnaitwa nice Men, utateseka sana
Unaangalia tako na sura lazimaa utesekeee sanaTatizo wakati wa kuoa mnaoa kwa tamaa ya taco.
-mwanamke unamwambia abaki anakugomea?
- ana kisirani?
- anakusemea mbovu kwao?
Una moyo na mbinguni unaenda
Sijaelewa hyooooNakazia
Acha upuuzi, mtoto hata akiwa narungombe bado ni wa kwako, Mruhusu akapumzikeWife wangu fedha inaweza ikatumika kununua kitu Cha familia au ikakutumika kusolve matatizo ya ndani ya familia lakini Kuna mda anasahau na kuhoji hela zimeenda wapi..
Mfano kama last month nilimuahidi wife mwezi huu nikipata salary tutanunua fridge kubwa maana tuliyonayo ni ya mda mrefu na ni ndogo. Basi time ilipofika salary ikatoka nikampeleka shop akachagua Hisense milango miwili safi.
Kwenye bajeti sasa tukabakiwa na hela ya matumizi ya muhimu tu. Isivo bahati mapema mwa mwezi huu ikatokea shida home iliohitaji kusafiri nikamweleza bwana Kuna changamoto home imetokea ila Kwa Hela tuliyonayo ni ngumu kusafiri wote acha Mimi niende nitakuwakilisha. Wife akakataa na akakomaa na yeye ni lazima asafiri.
Tukabajeti hio safari wote wawili tukaona inawezekana kusafiri ila tutakaporudi life lazima liwe tough sana. Kwasababu ya shida tukaenda tu home tukamaliza matatizo tukaenda na kwao tukasalimia pale tukasafiri tukarudi japo alinitia aibu maana huwa kama ana kisirani flani hazungumzi na kila mtu hachangamki yeye ni kimya kimya tu.
Sasa juzi nimeshika simu yake nimekuta amechati na ndugu zake Kwamba Mimi sijielewi natumia Hela vibaya familia inaishi Kwa shida. Na nikaona kama wanamshauri arudi kwao apumzike kidogo asije akafa na shida zangu.
Aisee hii kitu imeniuma sana nikasema hivi sitaingilia wala kuzungumzia hilo nisubiri likamilike aende sitamfata wala kumtafuta. Sema mwanangu ni mdogo nikiwaza hilo aisee naumia sana.
Kwangu mwanamke kama hana akili abaki kukalia matako yake na na sura, hata kumtomber siweziUnaangalia tako na sura lazimaa utesekeee sana
Na pia aling'ang'ana kusafiri sio kwasababu ya changomoto zilizoko kwenu bali ni ili akawaone ndugu zake. Kiufupi tatizo lipo kwako unamwendekeza na kumdekeza.Umeoa mwizi..!
Nakazia.Uza fridge mpe hela anayotaka awe nayo....
Nakataa,Mwanaume hutakiwi kumpenda mtoto kuliko mama yake.
Damu haitengwi au kukataliwa.Nakataa,
Mwanamke anaweza kukuacha na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine na ikawa historia, lakini mwanao ni wako tu hadi kiama, haiwezi kuwa eti baada ya muda fulani ni mtoto wa fulani labda uwe ulibambikiwa.
Hahahahah kwahyo bora mwenye akili asiye na suranzuri wala tako....kuliko liparata lenye tako na lenye mvutoKwangu mwanamke kama hana akili abaki kukalia matako yake na na sura, hata kumtomber siwezi
Sio sura mbovu but awe na akili, tako halijawahi kuliwa, tako halina hats ladhaHahahahah kwahyo bora mwenye akili asiye na suranzuri wala tako....kuliko liparata lenye tako na lenye mvuto