Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 2,637
- 8,057
Nakazia hapa, wenye akili kubwa hapa wameshaona wewe ndio unayezingua, mwanamke anatakiwa kutawaliwa kuanzia akilini na wewe umeshindwa ndio maana anapokea ushauri kutoka nje,Alafu mwanaume ukishasema jambo usipende kubadilika badilika.
Ulishasema hii safari huendi naenda mimi iwe full stop.
Utamlaumu mwanamke ila wenye akili tu wameshaona mwanaume ndio tatizo kwenye hili.