Kuna design wife kama anafanya mambo ya hovyo hivi au na wake zenu pia wapo hivo

Kuna design wife kama anafanya mambo ya hovyo hivi au na wake zenu pia wapo hivo

Sasa km hazichaji unataka akusifie? Lakini sio mbaya si kawaambia ndugu zake kwenye simu hajakuchana live 😹😹😹
Yaani nikijua mama kayaai haniamini akili na uwezo wangu hahahah yaan sijui itakuwaje

Mke anapaswa kukuamini na kuamini akili yako,
 
Kosa Lako lilianza pale Ambapo ulimjulisha mkeo kipato Chako..... Make it secret! Na hakikisha financial matter zinakuwa under your control bro.... Wanawake hawajuagi kama Huna.... If your salary is 2M mwambie unalipwa 1 M Ili ikiisha iyo 1 M ajue imeisha na aanze Kuona we mpambanaji unavyoanza kutoa Hela ya ziada baada ya salary Yako kuisha! POLE AWALI YA YOTE... WANAWAKE HAWAJUAGI WANATAKA NINI INFACT... unaweza Kuta ulienda na Kwao ukawaachia Laki na kwenu ukuacha KITU lakini akakulaumu Kuwa we mbinafsi
Hili nimeliona kabisa chini ya jua!
 
Back
Top Bottom