Kuna design wife kama anafanya mambo ya hovyo hivi au na wake zenu pia wapo hivo

Mkeo hana tatizo, wewe ndio mdhaifu. Kwa kipato chako kulikuwa na ulazima wa kununua Hisense friji mpya kipindi hiki? Je kulikuwa na ulazima gani kusafiri wawili wakati angeweza akasafiri mmoja kupunguza gharama zisizo na msingi? Unahitaji kubadilika.
Chukua hii
 
Kosa lako ni mke kujua kipato chako n ww ndio umechemka tayri hapo.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Wife wangu fedha inaweza ikatumika kununua kitu Cha familia au ikakutumika kusolve matatizo ya ndani ya familia lakini Kuna mda anasahau na kuhoji hela zimeenda wapi..

Mfano kama last month nilimuahidi wife mwezi huu nikipata salary tutanunua fridge kubwa maana tuliyonayo ni ya mda mrefu na ni ndogo. Basi time ilipofika salary ikatoka nikampeleka shop akachagua Hisense milango miwili safi.

Kwenye bajeti sasa tukabakiwa na hela ya matumizi ya muhimu tu. Isivo bahati mapema mwa mwezi huu ikatokea shida home iliohitaji kusafiri nikamweleza bwana Kuna changamoto home imetokea ila Kwa Hela tuliyonayo ni ngumu kusafiri wote acha Mimi niende nitakuwakilisha. Wife akakataa na akakomaa na yeye ni lazima asafiri.

Tukabajeti hio safari wote wawili tukaona inawezekana kusafiri ila tutakaporudi life lazima liwe tough sana. Kwasababu ya shida tukaenda tu home tukamaliza matatizo tukaenda na kwao tukasalimia pale tukasafiri tukarudi japo alinitia aibu maana huwa kama ana kisirani flani hazungumzi na kila mtu hachangamki yeye ni kimya kimya tu.

Sasa juzi nimeshika simu yake nimekuta amechati na ndugu zake Kwamba Mimi sijielewi natumia Hela vibaya familia inaishi Kwa shida. Na nikaona kama wanamshauri arudi kwao apumzike kidogo asije akafa na shida zangu.

Aisee hii kitu imeniuma sana nikasema hivi sitaingilia wala kuzungumzia hilo nisubiri likamilike aende sitamfata wala kumtafuta. Sema mwanangu ni mdogo nikiwaza hilo aisee naumia sana.
Pole sana mkuu
 
Tafadhari kukaa katika pembe ya dari kuliko kukaa nyumba ya pamoja na mke mgomvi mithali 21:9,,ukumbuke pia kwamba sio kazi ya mume kumfundisha utiii mke wake hayo ni maandiko!
Sasa kwa nadharia yako kama umepata taarifa kwenye simu yake shukuru Mungu umefunuliwa inakupasa utambue mwanamke uliyenae atakufaa kwenye raha na kukunyima Amani yako, (elewa hapo) hufundishwi au kushauriwa kuacha mke lkn unayo nafas ya kumpa muda ajitafakali kwa maamuzi au ushauri wa ndugu zake,, ukumbuke kwamba mwanamke sio NDUGU YAKO, ndugu yako ni MTOTO WAKO! ukiona mwanamke anashikwa masikio na ndugu zake, marafiki hapo hakuna ndoa, ifike wakati tuambiane ukweli, wanawake wa kisasa ni wapi kwaajili ya maisha ya starehe hawawez kuvumilia maisha ya ndoa kulingana na malezi ya wazazi wao,, atakapohitaji kuondoka mpe nafasi na usimuhoji lini atarudi au anakwenda wapi hrf ukae kimyaaa Meza kaa la moto ndio udume sasa, amini kwamba mtoto ni wako na itapendeza akikua kwenye mikono yako kwakuwa wewe ni Dume jipe muda jipange mpiganie mtoto wako!
NB: DUNIA YA SASA HAKUNA MTETEZI WA WANAUME, ILI UWE SALAMA NI KUPIGANIA KINACHOFANYA KUITWA MWANAUME,, PIGANIA FURAHA YAKO UISHI KWA AMANI, JIPANGE TAFUTA PESA HUYO ANATAKA PESA HAPO TAYARI FAMILIA YAKE INAKUDHARAU
 
Wife wangu fedha inaweza ikatumika kununua kitu Cha familia au ikakutumika kusolve matatizo ya ndani ya familia lakini Kuna mda anasahau na kuhoji hela zimeenda wapi..

Mfano kama last month nilimuahidi wife mwezi huu nikipata salary tutanunua fridge kubwa maana tuliyonayo ni ya mda mrefu na ni ndogo. Basi time ilipofika salary ikatoka nikampeleka shop akachagua Hisense milango miwili safi.

Kwenye bajeti sasa tukabakiwa na hela ya matumizi ya muhimu tu. Isivo bahati mapema mwa mwezi huu ikatokea shida home iliohitaji kusafiri nikamweleza bwana Kuna changamoto home imetokea ila Kwa Hela tuliyonayo ni ngumu kusafiri wote acha Mimi niende nitakuwakilisha. Wife akakataa na akakomaa na yeye ni lazima asafiri.

Tukabajeti hio safari wote wawili tukaona inawezekana kusafiri ila tutakaporudi life lazima liwe tough sana. Kwasababu ya shida tukaenda tu home tukamaliza matatizo tukaenda na kwao tukasalimia pale tukasafiri tukarudi japo alinitia aibu maana huwa kama ana kisirani flani hazungumzi na kila mtu hachangamki yeye ni kimya kimya tu.

Sasa juzi nimeshika simu yake nimekuta amechati na ndugu zake Kwamba Mimi sijielewi natumia Hela vibaya familia inaishi Kwa shida. Na nikaona kama wanamshauri arudi kwao apumzike kidogo asije akafa na shida zangu.

Aisee hii kitu imeniuma sana nikasema hivi sitaingilia wala kuzungumzia hilo nisubiri likamilike aende sitamfata wala kumtafuta. Sema mwanangu ni mdogo nikiwaza hilo aisee naumia sana.
Bomu la nyuklia linajitengeneza.
Mke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
 
Unachunguza tena simu ya Mkeo dogo.
Alafu mwanaume ukishasema jambo usipende kubadilika badilika.
Ulishasema hii safari huendi naenda mimi iwe full stop.
Ona sasa umeenda kuaibishwa nyumban
Kauli ya Baba ndio kauli ya mwisho, hata kama awe ana kisirani cha ukoo. Jamaa kaoa mke mbabe
 
Mleta mada, mkeo remote ni nyumbani kwao, nyumbani wanataka hela na wewe huna.
Pili, unataka kumfurahisha mwanamke, hao viumbe ambitious zao ni unlimited, ni wewe unatakiwa kuzilimit
Tatu acha kulea mwanamke kama yai, atakupelekesha hadi uanze kupata maradhi yasiyotibika
Nne, simama kama mwanaume, acha kulia lia,
Ukweli mchungu ni kuwa, mkeo hakupendi kutoka moyoni, bali ana upendo wa vitu na maisha ya kwao nayo ni magumu tu
Piga chini huyo atatoka nje ya ndoa sio muda mrefu
Badilika ishi kama baba wa famikia sio mvulana.
 
Kila mtu ana akili utofauti upo kwenye kuzitumia, kidogo niseme Kataa Ndoa nikakumbuka nataka kuoa!

ila Mwijaku! 😀
Mara upo zako kwenye bodaboda unamuona mpenzi wako ndani ya gari la mwijaku
🤣🤣🤣
 
Achana naye l, hiyo ni kwa usalama wako. Kama mtu hakupi Amani na hana imani katika yale unayofanya utajichosha na kumridhisha mwenzako hakuelewi. Lakini mimi naanza kuhisi wewe ni mwalimu kama sio sec basi primary. Walimu ndio wenye maisha magumu sana katika watumishi wa Serikali ukiachana na Polisi. Jitahidi uwe na mishe mishe mingine uongeze kipato na achana na habari ya kuweka wazi kipato chako atakudharau. We hakikisha anapata mahitaji yake na mtoto pia ila kuhusu heka yako inatumikaje asikuhoji ila kama wewe umezidiwa kipato na huyo Mwanamke utanyooka.
 
Tatizo lilianzia mkeo alipojua mshahara wako. Kamwe usimwambie unalipwa kiasi gani. Kama unalipwa laki mwambie elfu 50
Hii ni nzuri ....mfano mm ninaishi na tupo naye kada moja yani kila kitu kipato changu anaelewa...cha kushangaza huwa aananiambia mm sielewekiii
 
Achana naye l, hiyo ni kwa usalama wako. Kama mtu hakupi Amani na hana imani katika yale unayofanya utajichosha na kumridhisha mwenzako hakuelewi. Lakini mimi naanza kuhisi wewe ni mwalimu kama sio sec basi primary. Walimu ndio wenye maisha magumu sana katika watumishi wa Serikali ukiachana na Polisi. Jitahidi uwe na mishe mishe mingine uongeze kipato na achana na habari ya kuweka wazi kipato chako atakudharau. We hakikisha anapata mahitaji yake na mtoto pia ila kuhusu heka yako inatumikaje asikuhoji ila kama wewe umezidiwa kipato na huyo Mwanamke utanyooka.
nina ndugu zangu kama wanne hivi ni walimu na wameshaoa...kiiufupi wote hao wana maisha yao maana wana nyumba ,miradi midogo midogo na wana usafiri wa kutembelea,
mmoja wao ameoa mwalimu mwenzake ana forester nyeusiiii mpyaaaa ,,,sasa hao wàlimu mnaosema wana maisha magumu huwa najiuliza ni wap haoooo?

Nb;sio watumishi wote mfano wa kada flan wana maisha magumu
 
Wife wangu fedha inaweza ikatumika kununua kitu Cha familia au ikakutumika kusolve matatizo ya ndani ya familia lakini Kuna mda anasahau na kuhoji hela zimeenda wapi..

Mfano kama last month nilimuahidi wife mwezi huu nikipata salary tutanunua fridge kubwa maana tuliyonayo ni ya mda mrefu na ni ndogo. Basi time ilipofika salary ikatoka nikampeleka shop akachagua Hisense milango miwili safi.

Kwenye bajeti sasa tukabakiwa na hela ya matumizi ya muhimu tu. Isivo bahati mapema mwa mwezi huu ikatokea shida home iliohitaji kusafiri nikamweleza bwana Kuna changamoto home imetokea ila Kwa Hela tuliyonayo ni ngumu kusafiri wote acha Mimi niende nitakuwakilisha. Wife akakataa na akakomaa na yeye ni lazima asafiri.

Tukabajeti hio safari wote wawili tukaona inawezekana kusafiri ila tutakaporudi life lazima liwe tough sana. Kwasababu ya shida tukaenda tu home tukamaliza matatizo tukaenda na kwao tukasalimia pale tukasafiri tukarudi japo alinitia aibu maana huwa kama ana kisirani flani hazungumzi na kila mtu hachangamki yeye ni kimya kimya tu.

Sasa juzi nimeshika simu yake nimekuta amechati na ndugu zake Kwamba Mimi sijielewi natumia Hela vibaya familia inaishi Kwa shida. Na nikaona kama wanamshauri arudi kwao apumzike kidogo asije akafa na shida zangu.

Aisee hii kitu imeniuma sana nikasema hivi sitaingilia wala kuzungumzia hilo nisubiri likamilike aende sitamfata wala kumtafuta. Sema mwanangu ni mdogo nikiwaza hilo aisee naumia sana.
Mimi Huwa nasema wazi!MUNGU ALIPASWA ATUAMBIE TUISHI NA HAWA VIUMBE KWA AKILI ZIPI KABISA;-Hebu fikiria hii;-

1.wakati jamaa anamleta huyo wife wake alikua Hana KAZI na alimyegemea jamaa Kwa Kila kitu,Leo mbele ya washkaji zake waliokuja kutatua mgogoro pale kwake Mwanamke analopoka mbele ya staff members eti jamaa hahudumii familia eti amembana Sana ndio anahudumia!ujinga huo alimuambia Hadi house girl!anajiuliza wakati Hana kazi alikua anakula vya nani!!?!!!?

2.Mimba eti anahudumia mwenyewe Sasa mbona mtoto was pili aliezaliwa ilihitajika dufaston ya laki na nusu ndio mimba ikaziwa kutoka na jamaa alimtumie mwanamke Hela ya matumizi hayo!!!?mimba ya tati ilihitajika jamaa atume laki nne Kwa dada mtu Ili arekebishe nyumba ya kufikia wakati wa kujifunguaa!!moto wa nne ilibidi jamaa atume elfu sabini siku ya operation na tunajua huduma zote hizo zinatolewa bure!! Jamaa kachoka Kwa mawazo!!

4.Jamaa ndio alieingia benki kuchukua mkopo Ili kujenga nyumba wanayoishi Sasa unajiuliza huyu mwanamke anaposema jamaa hahudumii familia !!!?

Au huyu make wa jamaa wamemroga labda!!?au hizo meditation za usiku wa mane za kufungua jicho la tatu zimemfanya akawa kichaa!!?

Kifupi jamaa kachanganyikiwa nampa pole!!!
 
Hawa viumbe acha tu
 
Back
Top Bottom