Kuna design wife kama anafanya mambo ya hovyo hivi au na wake zenu pia wapo hivo

Wife wangu fedha inaweza ikatumika kununua kitu Cha familia au ikakutumika kusolve matatizo ya ndani ya familia lakini Kuna mda anasahau na kuhoji hela zimeenda wapi..

Mfano kama last month nilimuahidi wife mwezi huu nikipata salary tutanunua fridge kubwa maana tuliyonayo ni ya mda mrefu na ni ndogo. Basi time ilipofika salary ikatoka nikampeleka shop akachagua Hisense milango miwili safi.

Kwenye bajeti sasa tukabakiwa na hela ya matumizi ya muhimu tu. Isivo bahati mapema mwa mwezi huu ikatokea shida home iliohitaji kusafiri nikamweleza bwana Kuna changamoto home imetokea ila Kwa Hela tuliyonayo ni ngumu kusafiri wote acha Mimi niende nitakuwakilisha. Wife akakataa na akakomaa na yeye ni lazima asafiri.

Tukabajeti hio safari wote wawili tukaona inawezekana kusafiri ila tutakaporudi life lazima liwe tough sana. Kwasababu ya shida tukaenda tu home tukamaliza matatizo tukaenda na kwao tukasalimia pale tukasafiri tukarudi japo alinitia aibu maana huwa kama ana kisirani flani hazungumzi na kila mtu hachangamki yeye ni kimya kimya tu.

Sasa juzi nimeshika simu yake nimekuta amechati na ndugu zake Kwamba Mimi sijielewi natumia Hela vibaya familia inaishi Kwa shida. Na nikaona kama wanamshauri arudi kwao apumzike kidogo asije akafa na shida zangu.

Aisee hii kitu imeniuma sana nikasema hivi sitaingilia wala kuzungumzia hilo nisubiri likamilike aende sitamfata wala kumtafuta. Sema mwanangu ni mdogo nikiwaza hilo aisee naumia sana.
Ukubwa jalala.
 
Nikwambie TU MKUU,

Acha kuendesha ndoa yako kigetleman, itakucost Sana.

Kwenye ndoa, hasa MASWALA ya kiuchumi, yanahitaji utalebani.
Mkuuu
Democrasia muhimu mkuu

Ukiileta ubaya ubwela utaharibu
 
Wife wangu fedha inaweza ikatumika kununua kitu Cha familia au ikakutumika kusolve matatizo ya ndani ya familia lakini Kuna mda anasahau na kuhoji hela zimeenda wapi..

Mfano kama last month nilimuahidi wife mwezi huu nikipata salary tutanunua fridge kubwa maana tuliyonayo ni ya mda mrefu na ni ndogo. Basi time ilipofika salary ikatoka nikampeleka shop akachagua Hisense milango miwili safi.

Kwenye bajeti sasa tukabakiwa na hela ya matumizi ya muhimu tu. Isivo bahati mapema mwa mwezi huu ikatokea shida home iliohitaji kusafiri nikamweleza bwana Kuna changamoto home imetokea ila Kwa Hela tuliyonayo ni ngumu kusafiri wote acha Mimi niende nitakuwakilisha. Wife akakataa na akakomaa na yeye ni lazima asafiri.

Tukabajeti hio safari wote wawili tukaona inawezekana kusafiri ila tutakaporudi life lazima liwe tough sana. Kwasababu ya shida tukaenda tu home tukamaliza matatizo tukaenda na kwao tukasalimia pale tukasafiri tukarudi japo alinitia aibu maana huwa kama ana kisirani flani hazungumzi na kila mtu hachangamki yeye ni kimya kimya tu.

Sasa juzi nimeshika simu yake nimekuta amechati na ndugu zake Kwamba Mimi sijielewi natumia Hela vibaya familia inaishi Kwa shida. Na nikaona kama wanamshauri arudi kwao apumzike kidogo asije akafa na shida zangu.

Aisee hii kitu imeniuma sana nikasema hivi sitaingilia wala kuzungumzia hilo nisubiri likamilike kimya aende sitamfata wala kumtafuta. Sema mwanangu ni mdogo nikiwaza hilo aisee naumia sana.
Sasa ndugu,ukikaa ndipo unapokesea,tafuta siku mkae wote wawili mweleze hili jambo,na zaidi ya hapo pia ongea na wazazi wake juu ya udhaifu wa mkeo kwamba huwa haongei ukweli,hapo utakuwa umekomesha hili tatizo
 
Mshachokana, Kazia hilo la ndugu zake litokee mpumue kidogo.
 
Wife wangu fedha inaweza ikatumika kununua kitu Cha familia au ikakutumika kusolve matatizo ya ndani ya familia lakini Kuna mda anasahau na kuhoji hela zimeenda wapi..

Mfano kama last month nilimuahidi wife mwezi huu nikipata salary tutanunua fridge kubwa maana tuliyonayo ni ya mda mrefu na ni ndogo. Basi time ilipofika salary ikatoka nikampeleka shop akachagua Hisense milango miwili safi.

Kwenye bajeti sasa tukabakiwa na hela ya matumizi ya muhimu tu. Isivo bahati mapema mwa mwezi huu ikatokea shida home iliohitaji kusafiri nikamweleza bwana Kuna changamoto home imetokea ila Kwa Hela tuliyonayo ni ngumu kusafiri wote acha Mimi niende nitakuwakilisha. Wife akakataa na akakomaa na yeye ni lazima asafiri.

Tukabajeti hio safari wote wawili tukaona inawezekana kusafiri ila tutakaporudi life lazima liwe tough sana. Kwasababu ya shida tukaenda tu home tukamaliza matatizo tukaenda na kwao tukasalimia pale tukasafiri tukarudi japo alinitia aibu maana huwa kama ana kisirani flani hazungumzi na kila mtu hachangamki yeye ni kimya kimya tu.

Sasa juzi nimeshika simu yake nimekuta amechati na ndugu zake Kwamba Mimi sijielewi natumia Hela vibaya familia inaishi Kwa shida. Na nikaona kama wanamshauri arudi kwao apumzike kidogo asije akafa na shida zangu.

Aisee hii kitu imeniuma sana nikasema hivi sitaingilia wala kuzungumzia hilo nisubiri likamilike aende sitamfata wala kumtafuta. Sema mwanangu ni mdogo nikiwaza hilo aisee naumia sana.
Kosa Lako lilianza pale Ambapo ulimjulisha mkeo kipato Chako..... Make it secret! Na hakikisha financial matter zinakuwa under your control bro.... Wanawake hawajuagi kama Huna.... If your salary is 2M mwambie unalipwa 1 M Ili ikiisha iyo 1 M ajue imeisha na aanze Kuona we mpambanaji unavyoanza kutoa Hela ya ziada baada ya salary Yako kuisha! POLE AWALI YA YOTE... WANAWAKE HAWAJUAGI WANATAKA NINI INFACT... unaweza Kuta ulienda na Kwao ukawaachia Laki na kwenu ukuacha KITU lakini akakulaumu Kuwa we mbinafsi
 
huenda mkeo alichat na wanawake team kataa ndoa, unadhani watamshauri nn? na ukute aliokuwa anachat hakuna hata mwenye ndoa,, nna uhakika mkeo umri wake hauzidi miaka 30,, na wewe sidhani umevuka 38šŸ˜†,, ndoa changa kabisa,, mna ndoto kubwa sana,,

kitu kimoja endelea kumkaza vzur pale kwa bed,, hakikisha unaisugua kona zotešŸ˜„,, amalize staili zote,, binua sana hadi kesho yake akienda haja ndogo ahisi mavi yanamwagika,, embu fanya hivi kwanza ukiweza untakuongezea maarifa mengine
 
90% umefeli kuhandle nyumba yako. Unamuogopa au kumpenda mkeo kupitiliza. Anakumudu na atakusumbua. Ukisikia wanaume wote MBWA elewa wenzio tumekubali kuitwa hvo ila mambo yaende
 
Umefanya makosa 3 mpaka 5 makubwa sana ambayo leo yanakugharimu
Kosa
1. Kuleta demokrasia kwenye ndoa yako, hili ni kosa kubwa umelifanya ndoa ni taasisi inayoendeshwa kidicteta sasa ukileta demokrasia haya ndio madhara yake. Mfano unamuambia mkeo abaki ili kupunguza bajeti eti anataka na yeye kwenda?, kisa nn, kuna ulazima gani vipi kuhusu hapo nyumbani wote mkisafiri nani atalinda nyumba. Lakini hii haimaanishi usichukue ushauri mzuri anaokupatia ila usimsikikize wala kufanya kila analokushauri

2. Kujua kipato chako chote, ni kosa kubwa sana mkeo kujua kipato chako choote unachokipata. Yaani kama unaingiza 5M hatakiwi kujua wewe unaingiza kiasi gani na lini maana atakusumbua. Mwanaume unatakiwa uhakikishe unatimiza majukumu yako ya kifamilia yote ukumbuke una ndugu, wazazi ambao pia wanaweza kupata dharula sasa utawasaidiaje wakati mkeo anajua kipato chako hivyo atakucontrol kwenye namna ya kuitumia hiyo hela

3. Mwanaume kutokujua kutofautisha mambo ya muhimu, lazima na haraka.
Mwanaume unatakiwa kutambua jambo gani linahitaji ulimalize haraka, jambo gani ni la msingi na jambo gani ni la lazima. Usipojua haya basi siku zote utakuwa unapata shida kwenye kufanya maamuzi.
Mfano je kununua fridge mpya ilikuwa ni muhimu au lazima au ni jambo la haraka? Na je ni jambo la lazima na haraka au jambo la muhimu na haraka au tu ni jambo la muhimu na sio lazima au kuhitaji uharaka kulikamilisha?
Think then Act

4. Mwanaume unatakiwa ujitahidi kuweka akiba, maana changamoto haina hodi hata ukisolve changamoto leo haimaanishi nyingine haiwezi kutokea kesho. Haya mfano hapo mtoto angeumwa ungefanyaje?

5. Mwanaume acha kuendeshwa na hisia tumia AKILI, mwanaume hutakiwi kujali nini mkeo anajadili na ndugu zake kuhusu wewe, kama kweli ana maisha magumu arudi kwao, usiwaze sana kuhusu mtoto atakuwa na utamlea. Lakini mwanaume ukiwa na hisia nyingi za siku zote kutaka kumridhisha mkeo kila akilalamika basi ujue atakuchoka na wewe utachoka na mwisho wa siku utajua gundua hakuna jambo lolote lile la msingi umewahi fanya. Wanawake siku zote ni watu wa kulalamika na mara chache sana hushukuru na ndio maana wanaume waliopata bahati ya kuwa na wanawake wanaoshukuru huwa wanapambana sana kujiongeza. Mfano leo mkeo anapanda daladala kwenda kazini lakini ukimnunulia paso iwe inamrahisishia safari anaweza asiridhike akija kuona shoga ake kapewa range au vanguard na mumewe So be Smart
 
huenda mkeo alichat na wanawake team kataa ndoa, unadhani watamshauri nn? na ukute aliokuwa anachat hakuna hata mwenye ndoa,, nna uhakika mkeo umri wake hauzidi miaka 30,, na wewe sidhani umevuka 38[emoji38],, ndoa changa kabisa,, mna ndoto kubwa sana,,

kitu kimoja endelea kumkaza vzur pale kwa bed,, hakikisha unaisugua kona zote[emoji1],, amalize staili zote,, binua sana hadi kesho yake akienda haja ndogo ahisi mavi yanamwagika,, embu fanya hivi kwanza ukiweza untakuongezea maarifa mengine
Misery loves company
 
Mkeo hana tatizo, wewe ndio mdhaifu. Kwa kipato chako kulikuwa na ulazima wa kununua Hisense friji mpya kipindi hiki? Je kulikuwa na ulazima gani kusafiri wawili wakati angeweza akasafiri mmoja kupunguza gharama zisizo na msingi? Unahitaji kubadilika.
 
Wife wangu fedha inaweza ikatumika kununua kitu Cha familia au ikakutumika kusolve matatizo ya ndani ya familia lakini Kuna mda anasahau na kuhoji hela zimeenda wapi..

Mfano kama last month nilimuahidi wife mwezi huu nikipata salary tutanunua fridge kubwa maana tuliyonayo ni ya mda mrefu na ni ndogo. Basi time ilipofika salary ikatoka nikampeleka shop akachagua Hisense milango miwili safi.

Kwenye bajeti sasa tukabakiwa na hela ya matumizi ya muhimu tu. Isivo bahati mapema mwa mwezi huu ikatokea shida home iliohitaji kusafiri nikamweleza bwana Kuna changamoto home imetokea ila Kwa Hela tuliyonayo ni ngumu kusafiri wote acha Mimi niende nitakuwakilisha. Wife akakataa na akakomaa na yeye ni lazima asafiri.

Tukabajeti hio safari wote wawili tukaona inawezekana kusafiri ila tutakaporudi life lazima liwe tough sana. Kwasababu ya shida tukaenda tu home tukamaliza matatizo tukaenda na kwao tukasalimia pale tukasafiri tukarudi japo alinitia aibu maana huwa kama ana kisirani flani hazungumzi na kila mtu hachangamki yeye ni kimya kimya tu.

Sasa juzi nimeshika simu yake nimekuta amechati na ndugu zake Kwamba Mimi sijielewi natumia Hela vibaya familia inaishi Kwa shida. Na nikaona kama wanamshauri arudi kwao apumzike kidogo asije akafa na shida zangu.

Aisee hii kitu imeniuma sana nikasema hivi sitaingilia wala kuzungumzia hilo nisubiri likamilike aende sitamfata wala kumtafuta. Sema mwanangu ni mdogo nikiwaza hilo aisee naumia sana.
Tatizo ni wewe sio huyo mke.
Nakuuliza maswali. Pia ntakusaidia kujibu.

1. Huo mshahara ni wa nani?
Wa kwako.
Sasa kwanini unaruhusu mkeo ajue unalipwa kiasi gani.
2. Mipango ya familia ni ya nani?
Ya kwenu wote.
Pangeni wote hiyo mipango, huyo ni mke wako. Lakini tambua kiongozi ni wewe
3. Nani anatoa pesa kufadhili mipango? Ni wewe
Rekebisha mpango kulingana na pesa iliyopo. Acha kuintertain akili ya mwanamke.

Ni kwa ufupi tuu.
 
Back
Top Bottom