Kuna design wife kama anafanya mambo ya hovyo hivi au na wake zenu pia wapo hivo

Wife wangu fedha inaweza ikatumika kununua kitu Cha familia au ikakutumika kusolve matatizo ya ndani ya familia lakini Kuna mda anasahau na kuhoji hela zimeenda wapi..

Mfano kama last month nilimuahidi wife mwezi huu nikipata salary tutanunua fridge kubwa maana tuliyonayo ni ya mda mrefu na ni ndogo. Basi time ilipofika salary ikatoka nikampeleka shop akachagua Hisense milango miwili safi.

Kwenye bajeti sasa tukabakiwa na hela ya matumizi ya muhimu tu. Isivo bahati mapema mwa mwezi huu ikatokea shida home iliohitaji kusafiri nikamweleza bwana Kuna changamoto home imetokea ila Kwa Hela tuliyonayo ni ngumu kusafiri wote acha Mimi niende nitakuwakilisha. Wife akakataa na akakomaa na yeye ni lazima asafiri.

Tukabajeti hio safari wote wawili tukaona inawezekana kusafiri ila tutakaporudi life lazima liwe tough sana. Kwasababu ya shida tukaenda tu home tukamaliza matatizo tukaenda na kwao tukasalimia pale tukasafiri tukarudi japo alinitia aibu maana huwa kama ana kisirani flani hazungumzi na kila mtu hachangamki yeye ni kimya kimya tu.

Sasa juzi nimeshika simu yake nimekuta amechati na ndugu zake Kwamba Mimi sijielewi natumia Hela vibaya familia inaishi Kwa shida. Na nikaona kama wanamshauri arudi kwao apumzike kidogo asije akafa na shida zangu.

Aisee hii kitu imeniuma sana nikasema hivi sitaingilia wala kuzungumzia hilo nisubiri likamilike aende sitamfata wala kumtafuta. Sema mwanangu ni mdogo nikiwaza hilo aisee naumia sana.
Dah..tuendelee kuishi nao Kwa akili kiongoz, hivyo chill kwanza jiponye majeraha ya moyo kama ulivo sema nakuunga mkono .. pole sana
 
Hao ndio kenge ninaowajua mie🤣🤣🤣🤣
Hawanaga shukrani hawa...wao they just wana take and take.
Ila nawe ulibugi kumruhusu kwenda na wewe ulipaswa kuwa na msimamo. Mwanamke anaongozwa ambaye hataki asiingie kwenye ndoa simple as that.
Hii la kuongozwa unatakiwa wekana wazi mapema kabisa. Pole mwanawane. Huyo akisepa asirudi tena home
 
Mwanamke akishapajua kwenu kiundani na ukoo wenu hapo lazima Kuna mawili
Akudharau sana au akuheshimu sana
 
Wife wangu fedha inaweza ikatumika kununua kitu Cha familia au ikakutumika kusolve matatizo ya ndani ya familia lakini Kuna mda anasahau na kuhoji hela zimeenda wapi..

Mfano kama last month nilimuahidi wife mwezi huu nikipata salary tutanunua fridge kubwa maana tuliyonayo ni ya mda mrefu na ni ndogo. Basi time ilipofika salary ikatoka nikampeleka shop akachagua Hisense milango miwili safi.

Kwenye bajeti sasa tukabakiwa na hela ya matumizi ya muhimu tu. Isivo bahati mapema mwa mwezi huu ikatokea shida home iliohitaji kusafiri nikamweleza bwana Kuna changamoto home imetokea ila Kwa Hela tuliyonayo ni ngumu kusafiri wote acha Mimi niende nitakuwakilisha. Wife akakataa na akakomaa na yeye ni lazima asafiri.

Tukabajeti hio safari wote wawili tukaona inawezekana kusafiri ila tutakaporudi life lazima liwe tough sana. Kwasababu ya shida tukaenda tu home tukamaliza matatizo tukaenda na kwao tukasalimia pale tukasafiri tukarudi japo alinitia aibu maana huwa kama ana kisirani flani hazungumzi na kila mtu hachangamki yeye ni kimya kimya tu.

Sasa juzi nimeshika simu yake nimekuta amechati na ndugu zake Kwamba Mimi sijielewi natumia Hela vibaya familia inaishi Kwa shida. Na nikaona kama wanamshauri arudi kwao apumzike kidogo asije akafa na shida zangu.

Aisee hii kitu imeniuma sana nikasema hivi sitaingilia wala kuzungumzia hilo nisubiri likamilike aende sitamfata wala kumtafuta. Sema mwanangu ni mdogo nikiwaza hilo aisee naumia sana.
Hao ndugu zake watamtafutia mtu wa kukusaidia majukumu yako hasa ya kifedha. Ukweni kwako wana upendo mno. Hawataki upate shida.
 
Ma broo lia lia kwenye moja na mbili.
Wakwangu aliomba hela ya birthday 🤣nikamwambia Sawa nitakupa wakati anaona kabisa tunadaiwa kodi, nilichokifanya nimeondoka zangu kimya kimya, mpaka birthday yake imeisha, ila hela stoi
 
Sheria ya Kwanza ya ndoa Usifatishe kufanya jambo la kiuchumi kisa mwanamke wako kasema na Huna uwezo maana Hawana kumbukumbu.. Mwezi mmoja unaweza lipa kodi..ukalipa ada na bado kesho ukisema hela imekuishia Asikuelewe kabisa ndivyo walivyo.
Pili Usimshirikishe shida za kiuchumi mkeo ukidhani atakuonea huruma Otherwise uwe na uhakika Ana hiyo hela ya kukupush kam Hana jua umeongeza matatizo bora ukakope kwa rafiki zako.
Tatu usimpe ahadi mkeo ambazo unajua huwezi zitimize huyo sio Demuu kwamba kesho utampiga chenga.
 
Umefanya makosa 3 mpaka 5 makubwa sana ambayo leo yanakugharimu
Kosa
1. Kuleta demokrasia kwenye ndoa yako, hili ni kosa kubwa umelifanya ndoa ni taasisi inayoendeshwa kidicteta sasa ukileta demokrasia haya ndio madhara yake. Mfano unamuambia mkeo abaki ili kupunguza bajeti eti anataka na yeye kwenda?, kisa nn, kuna ulazima gani vipi kuhusu hapo nyumbani wote mkisafiri nani atalinda nyumba. Lakini hii haimaanishi usichukue ushauri mzuri anaokupatia ila usimsikikize wala kufanya kila analokushauri

2. Kujua kipato chako chote, ni kosa kubwa sana mkeo kujua kipato chako choote unachokipata. Yaani kama unaingiza 5M hatakiwi kujua wewe unaingiza kiasi gani na lini maana atakusumbua. Mwanaume unatakiwa uhakikishe unatimiza majukumu yako ya kifamilia yote ukumbuke una ndugu, wazazi ambao pia wanaweza kupata dharula sasa utawasaidiaje wakati mkeo anajua kipato chako hivyo atakucontrol kwenye namna ya kuitumia hiyo hela

3. Mwanaume kutokujua kutofautisha mambo ya muhimu, lazima na haraka.
Mwanaume unatakiwa kutambua jambo gani linahitaji ulimalize haraka, jambo gani ni la msingi na jambo gani ni la lazima. Usipojua haya basi siku zote utakuwa unapata shida kwenye kufanya maamuzi.
Mfano je kununua fridge mpya ilikuwa ni muhimu au lazima au ni jambo la haraka? Na je ni jambo la lazima na haraka au jambo la muhimu na haraka au tu ni jambo la muhimu na sio lazima au kuhitaji uharaka kulikamilisha?
Think then Act

4. Mwanaume unatakiwa ujitahidi kuweka akiba, maana changamoto haina hodi hata ukisolve changamoto leo haimaanishi nyingine haiwezi kutokea kesho. Haya mfano hapo mtoto angeumwa ungefanyaje?

5. Mwanaume acha kuendeshwa na hisia tumia AKILI, mwanaume hutakiwi kujali nini mkeo anajadili na ndugu zake kuhusu wewe, kama kweli ana maisha magumu arudi kwao, usiwaze sana kuhusu mtoto atakuwa na utamlea. Lakini mwanaume ukiwa na hisia nyingi za siku zote kutaka kumridhisha mkeo kila akilalamika basi ujue atakuchoka na wewe utachoka na mwisho wa siku utajua gundua hakuna jambo lolote lile la msingi umewahi fanya. Wanawake siku zote ni watu wa kulalamika na mara chache sana hushukuru na ndio maana wanaume waliopata bahati ya kuwa na wanawake wanaoshukuru huwa wanapambana sana kujiongeza. Mfano leo mkeo anapanda daladala kwenda kazini lakini ukimnunulia paso iwe inamrahisishia safari anaweza asiridhike akija kuona shoga ake kapewa range au vanguard na mumewe So be Smart
Umeua mkuu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wakwangu aliomba hela ya birthday 🤣nikamwambia Sawa nitakupa wakati anaona kabisa tunadaiwa kodi, nilichokifanya nimeondoka zangu kimya kimya, mpaka birthday yake imeisha, ila hela stoi
Dah , kuna wanawake wana vipaumbele vya ajabu sana
 
Yaan mwanamke asipo amini akili zangu hanifai.

😂😂😂
Sasa km hazichaji unataka akusifie? Lakini sio mbaya si kawaambia ndugu zake kwenye simu hajakuchana live 😹😹😹
 
Nilifikiri huwa yananipata Mimi tu, wife ansniona bahili, anatishio kuacha watoto aende zake, kisa simpi pesa!
Tumefanya uwekezaji mkubwa,watoto wapo shule nzuri, familia ina bima ya afya mpaka nje ya nchi, nimesomesha ndugu zake kadhaa, nimewatafutia kazi, sasa wameoa na kuolewa, lakini nasimangwa balaa,
Pole sana kweli wanawake wema ni wachache naona malalamiko ni mengi
 
Back
Top Bottom