wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wanasheria wakuu wa States mbalimbali za Marekani wavipiga mkwara vyombo vya habari visiripoti habari za HAMAS

    Hili ni somo kwa wote wanaodhani Marekani ni kiota cha freedom of speech! Iko hivi baada ya serikali za Magaharibi kuona kuwa public opinion inashift kwa kasi, ambapo raia wengi waliokuwa gizani juu ya ukatili wa Waisrael kwa wapalestina kwa miaka zaidi ya 70 kuanza kuamka. Wenye nguvu ndani...
  2. F

    Tumjadili huyu Mstaafu hapa wakuu tuone ana akili timamu au sio mzima

    Katika kazi zangu za saidia fundi kuna hiki kisanga bwana mdogo alikua analalamika kuhusu mzazi wake wa kike. Mama yake kastaafu alikua mtumishi serikalini halmashauri moja Arusha. Miaka yote ya utumishi hakuwahi kujenga alipopata hela ya kustaafu kiinua gongo ndiyo akajenga nyumba yake ya...
  3. N

    Natafuta kazi wakuu, aliye na connection ya kazi anisaidie

    Nina umri wa miaka 24 ni Mwanachuo lakin nimeweza kuahirisha mwaka kutokana na Hali ya kiuchumi kuwa hairuhusu kuendelea naomba mwenye connection ya kazi yoyote WAKUU ya kuingiza kipato ANISAIDIE hata Kama no wewe mwenyewe utaona ninafaaa sawa kunipa kazi hata Kama no part time. Nilikuwa...
  4. Abdclassic

    Nina shida na Window ambayo haina shida

    Nina shida na window ambayo haina shida Maana nahangaikia Window mwezi wasita huu. Jana kuna Window nimepata ila nikiconnect wifi PC inajizima, pia kila software nayo download inagoma kufunguka au inaweza kufunguka ila ukizima. PC ukiwasha ishaliwa yaani Nimateso na Antivirus nikifunga bado...
  5. sabath gabriel

    Napoleon Bonaparte wa Ufaransa alitawala nchi ngapi?

    msaada wakuu, naomba kuuliza NAPOLEON BONAPARTE wa ufaransa alitawala nchi ngapi wakati wa utawala wake?
  6. benzemah

    Picha: Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Ngurdoto, Arusha 24 Novemba, 2023.

    Matukio mbalimbali katika Mkutano wa Ndani Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Ngurdoto Mkoani Arusha, tarehe 24 Novemba, 2023.
  7. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki mkutano wa 23 wa kawaida wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki, leo Novemba 24, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki Mkutano wa 23 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki. Kauli Mbiu ya Mkutano huo ni "Kuharakisha ufufuaji wa uchumi kupitia hatua za hali ya hewa na kuimarisha usalama wa chakula kwa ajili ya kuboresha maisha"...
  8. MK254

    Israel wakamata wakuu wa hospitali ya Shifa, watolee maelezo kuhusu handaki lililogunduliwa humo

    Haiwezekani handaki lililogunduliwa la mita 55 liwe chini ya hospitali bila wao kujua na muda wote walikua wanakana halipo, watahojiwa zaidi. ====================== The director of Shifa Hospital in Gaza City was arrested by Israeli forces on Thursday morning, and taken for questioning by the...
  9. C

    Dededege inamtesa sana mwanangu, wakuu nisaidieni dawa

    Habari ya mudaa huu wakuu, nilishawa kuja kuomba ushauri kuhusiana na tatizo la mwanangu, baadhi ya watu walipa ushauri tukafanya CT SCAN pale benjamini lakini hakuwa na tatizo lolote kwenye kichwa. Nimerudi tena wakuu, naombeni msaada maendeleo ya ukuaji hayasongi mbele, mtoto anamiezi 16...
  10. benzemah

    Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki Wanakutana Arusha Katika Mkutano Unaojadili Mabadiliko ya Tabia ya Nchi na Chakula

    Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanakutana Jijini Arusha hivi punde katika mkutano Mkuu unaojadili mabadiliko ya tabia ya Nchi na Chakula. -- Rais Samia azungumzia baadhi ya vipaumbele vya Tanzania aliposhiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  11. Morogoro kaskazini

    Wakuu matumizi ya addition assignment (+=) Kwenye JavaScript animation Huwa ni Nini?

    Jamani naomba msaada WA matumizi ya addition assignment kwenye JavaScript animation
  12. Tlaatlaah

    Viongozi wakuu Tanzania wanafanya kazi nzuri sana wapongezwe, waombewe kwa Mungu

    Ni dhahiri na ukweli usiopingika, Dr.Samia Suluhu Hassan, Rais na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalamaTZ, na safu yake nzima ya viongozi serikalini. Wanaiongoza nchi kwa umahiri mkubwa, uwazi sana, weledi wa viwango, upendo, bidii na mapenzi ya dhati sana. Mipango yao inachochea...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo

    WATOTO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE ILI KUWATIA MOYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi. Lakini ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali...
  14. L

    Kwenye pikipiki aina ya TVS, tatizo la kutochaji battery linasababishwa na nini?

    Wakuu habarini naomba msaada kujua hivi pikipiki Tvs tatizo la kuocharge battery linasababishwa na nn na nn tiba yake mana nimenunua makolokolo meng
  15. fundi bishoo

    Nikipataga seat kwenye mwendokasi huwaga najiona kama nimefanikiwa kimaisha vile wakuu

    Siwafichi wakuu, mimi ninapofaniliwa kupata seat kwenye mwendokasi halafu mwendokasi zikiwa ni za shida huwaga najiona kama nimeshawini kwenye maisha. Najiona kama mimi nna gari langu kwahiyo hawa waliosimama huwaga nawaona kama maskini hivi, muda mwingine nawaonea huruma kabisa huku nimefungua...
  16. M

    Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA

    Ameandika Dr. Sisimizi Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame. Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati...
  17. BB_DANGOTE

    Hivi nifenyeje ili nipate mood ya kusoma kwa bidii?

    Mimi ni nimwanafunzi wa advance combination ya PCM ninatamani na nina malengo ya kusoma kwa bidii ila kama akili imechoka ivi na ninavitu vingi sijakava na mda ndo unakalibia kuisha niingie kwenye mitihan mikubwa. Naomba ushauri wenu nifenyeje
  18. muafi

    Msaada wakuu, kuna mtu anaweza kuniangalizia namba ya NIDA?

    Habari zenu, nimekwama nahitaji kuangalia namba ya NIDA ya binti yangu, ila nikiingia kwenye wrbsite ya NIDA naingiza taarifa vzur inagoma! Mwenye uwezo wa kunisaidia wakuu🙏
  19. Makonde plateu

    Ushauri: Nina mtaji wa milioni 200 nataka kufanya biashara ya kuuza magari

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya...
  20. Choosen85

    Imepita miaka 7 toka tumeachana, jana kanitumia SMS ya kejeli

    Wakuu mulibwanji? Mambo huku ni tabulele laaa.... Nilipokuwa chuo nlikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja wa Kiha nlimpenda sana na tulifanikiwa kupata mtoto 1, kiukweli nlitamani ndo awe wife kumbe nilikuwa najiandalia bomu hasa alipotangulia kupata kazi. Alikuwa kasomea ualimu, nilianza pewa...
Back
Top Bottom