Nilipo angalia majibu yangu ya kidato cha nne nililia sana nilipoona nimepata 4 kumbe kilio kile niliona mbali sana wakuu.
Maisha yananichapa vibaya sana kulala njaa kwangu imekuwa jambo la kawaida. Inafika hatua naeanda kwenye mihangaiko wiki nzima siambulii chochote daah 😠.
Natamani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi ya Afrika, Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023.
https://www.youtube.com/watch?v=SJN3jOLB9G8
===
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia...
Hali ni mbaya wakuu natamani kudanja, mkiona sipo hewani mjue either ni simu imezima au mimi nimezima kabisa tumekubali 5 kwelii kwa hawa wakulima wa nyanya.
Wakuu, nahitaji kufungua account ya forex ambayo nitakuwa na uwezo waku withdraw.
Nina taarifa zote ila sina tu hicho kitambulisho, kwahiyo naomba mnipe njia kama ina wezekana na kwa wazoefu mnisaidie experience zenu katika biashara hii.
Nasikia wenzenu wamesimamishwa kwa sababu ya 'kuruhusu' wanafunzi kucheza wimbo usio na 'maadili' wa Honey. Saaawa.
Kusimamishwa kwao ni ujumbe kwenu mlio madarakani. achaneni na habari za muziki huko mashuleni kwenu.
Kuachana na muziki tafsiri yake futeni mahafali, hakuna mahafali ambayo...
Nimefuatilia maamuzi ya waziri Mkenda kwa wakuu wa shule na walimu waliohusika kwenye kucheza wimbo wa zuchu Binafsi naona maamuzi ya Waziri Mkenda ni ya kukurupuka na hofu ya kutenguliwa nyadhifa yake. :
1. Maadili ya mtoto yaanzia nyumbani, Hawa watoto huu wimbo wamjifunza makwao kupitia...
Habari za asubuhi wadau.
Kuna jambo naona Viongozi wetu wa kitaifa wanapoaamua kufanya maamuzi kwa mambo ya kitaifa juu ya wizi na ufisadi kwa Halmashauri Fulani isiishie kuwa timua tu watumishi wa Halmashauri Bali hata watumishi wa vyombo vya uchunguzi maana ni watu wameishi pamoja na hao...
Mwananchi huyu kaeleza yote.
Kati ya sheria za kuchekesha na kuudhi kwa pamoja kwa mlipa kodi, ni hii sheria iliyopitishwa na Bunge wiki hii.
Ati nao WENZA wa viongozi wakuu , nao wapewe mafungu ya pesa zilizokusanywa kama kodi kutoka kwa walalahoi.
Sasa mwenza naye ameshakuwa kiongozi...
Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wanatarajia kukutana katika mkutano wa dharura Jijini Luanda, Angola tarehe 04 Novemba, 2023.
Mkutano huo unalenga kujadili juhudi za SADC katika kuimarisha hali ya amani, ulinzi na usalama Mashariki mwa Jamhuri ya...
Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo.
Amesema hayo nje ya Bunge...
Kama kawaida HAMAS baada ya kushambulia Israel, walikwenda kujificha ndani ya akina mama na watoto, sasa huyu mkuu wao aliingia na kutulia ndani ya wakimbizi, Israel walifyatua tu humo humo na kumuua Ibrahim Biari.
Wananchi wapenda amani waliagizwa waondoke ili HAMAS wabaki wenyewe na...
Bunge limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 4 wa mwaka 2023 ambapo moja ya marekebisho katika sheria ya Mafao ya Kustaafu katika Utumishi wa kisiasa inapendekezwa Wenza (Mke/Mume) wa Marais Wastaafu, Wenza wa Makamu wa Rais Wastaafu na Wenza wa Mawaziri Wakuu...
naomba kutumia mfano wa makinda ya ndege au watoto wa nguruwe!
ukipita kwenye banda ukakuta pako kimya ujue vinanyonya!
kila kimoja kinanyonyo lake mdomoni kinakamua!
Hivi ndivyo ilivyo kwenye vyeo vinavyogongana maslahi kama hivi.
TWENDE PAMOJA KWA SABABU ZIFUATAZO!
Vyeo hivi vya Mkurugenzi...
wakuu kwema
hapa nina changamoto moja hivi nahitaji home internet ila option yangu ni kati ya vodacom na airtel
ambayo wote wana vifurushi vya unlimited kwa mwezi vya 5G
wakuu naombeni msaada nichukue ipi kati ya hizi
naishi Tabata segerea.
Umesikika katika hotuba yako ya leo kuwa utawarukia mawaziri na wakuu wa mikoa. Nakutahadharisha wewe ni kama Ahmed Ally wa Simba au Ali Kamwe wa Yanga, huna nguvu ya kujipangia unachotaka. Una ripoti kwa Katibu Mkuu, ndiyo anakupa kitu cha kuongea.
Hawa jamaa wa kataa ndoa wapo sahihi kabisa yaani jamani kwenye ndoa kuna mambo ya hovyo sna aisee asikuambie mtu kabisa kqwnye ndoa kuna mambo ya hovyokupitiliza bora wakati niko single ilikuwa poa sana
Nilihisi kwenye ndoa nitapata peace of mind yaaani ndiyo kwanza napata depression na...
Kila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana kutangulia kwenye mataifa anayokwenda mkuu wa nchi kiuchumi?
Anakwenda kutangaza biashara binafsi kwa...
Taratibu tutaongea lugha moja humu.....
https://twitter.com/i/status/1716646861572849818
A senior leader of the Palestinian group Hamas has been arrested in the occupied West Bank following an Israeli night raid of his home, according to news reports.
A video clip posted by Al Jazeera Arabic...
CHADEMA ina viongozi ambao siyo matajiri sana na siyo maskini sana. Siyo mafisadi wala hawana nafasi yakupata kipato kisicho halali. Wanafamilia sawa na viongozi wa CCM na wanavaa na kula kama wenzao wa chama tawala.
Pamoja na kuwa na kipato cha haki ila wako huru kueleza hisia zao kisiasa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Mkuu wa Mwaka na Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika leo tarehe 23 Oktoba, 2023 jijini Arusha.
https://www.youtube.com/live/gOdQrZvdJlU?si=fUnyYXmTXBTiovDh
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.