Kuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi?
Jeshi la Misri linajitambuwa, lilikataa Amri kutoka Kwa Amiri Jeshi wao Hosni Mubarak na kusimama na wananchi, leo Tanzania anatoka Mlevi mmoja wa...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Wakuu naomba kama kuna mtu anauelewa kuhusu kitu kinaitwa Chango/Mchango kinachowapata watoto wadogo anieleweshe maana nimebaki njia panda!
Shemeji/wifi yenu kanizalia kakijana ka kiume sasa tatizo kanasumbuliwa na hiyo kitu. Hospitali tushanunua dawa...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Siku ya leo kwangu imekuwa siku mbaya sana kwasababu mimi huwa nina huruma sana na huwa naguswa na matatizo ya watu wengine wanayopitia!.
Leo nilikuwa nimeenda Hospitali moja pale Sinza,nilimpelekea Dada mmoja hivyo ikabidi nipaki nje kumsubiri!, Sasa...
Wakuu Leo nimegundua kitu mbali na hizi fataki za mwaka Mpya hapa jukwaani JF,Ni Nani mwingine amegundua leo wote profile picture zetu zinafanana?
Happy New Year 2024 n More Blessings to ya'll.
kwema wakuu,
Mdogo wenu huu mwaka nimejitafuta nataka nikanunue uwanja mwsho wa upepo uko ndani ndani.
Sasa sijui chochote kuhusiana na kununua uwanja naombeni mnipe muongozo mdogo wenu napoenda kukamilisha hii ndoto yangu maana naogopa kutapeliwa wakuu
Habari wana Jamii.. Nilikua na omba kujua namna ya kupata connection ya kazi/ajira Kwenye Mashirika ya kimataifa kama vile UN,Unicef na kadhalika .. Nina Degree ya Account na CPA.
Shukran..
Wakuu,ivi unapohisi umekuwa exposed kwenye mazingira au umefanya sex na mtu ukahisi ana HIV, kisha ukaanza LTD (pep) within 72 hrs. Lakn badae ukagundua ulie sex nae Hana HIV ila Ilikuwa ni hofu tu, je pep TLD inaweza kuwa na madhara yepi?
I'm stressed, issue ipo hivi juzi Christmas mida ya saa tatu usiku, Kuna mrembo aliingia room kwangu kama kawaida si mnajua ujana huu nikapiga show fresh mtoto akarudi kwako.
Sasa Jana mida ya jioni napata taarifa kuwa yule demu yupo kwenye dose ya Arv inshort she is HIV positive, nirivurugwa...
Haya ukisoma tu hii Thread yangu GENTAMYCINE kama Wewe ni mpenda Ushirikiano basi Karoge sana na kama ni muamini Mungu kama Mimi basi nakuombea ufanye mno Dua kwani muda wowote nimeoteshwa na Mizimu yangu Mikali ya Kizanaki ( Mara ) na Kiyao ( Mtwara ) kuwa kuna reshuffle kwa Mawaziri na Wakuu...
Habari zenu wakuu,
Nimekuwa kwenye mahusiano na msichana mmoja kwa muda mrefu sana, sijawahi kufikiria kumuoa kutokana na tabia yake ya kunipiga vizinga.
Juzi wakati nipo mahali nilikutana na Mpangaji anaeishi kwenye nyumba ya Mama mkwe, yule Dada akawa akaniambia kuwa Mpenzi wangu amekuwa...
jf ni kisima cha maarifa , hapa kuna wadau wa kila aina.
napanda tena jukwaani ,nikiomba ushauri kwa ajili yangu na kwa wengine pia.
ndoto yangu ya kuzitumikia UN AGENCIES mfano UNDP,FAO,IFAD,WFP NK pamoja na serikali kuu bado haijafa. nina bachelor ya uchumi na mbeleni nataka nianze na...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akipokea mchango wa Walimu Wakuu wa shule za Sekondari nchini kwaajili ya waathirika wa maafa ya maporomoko ya matope na mawe kutoka mlima Hanang uliowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed...
Kwa wale watumishi wa umma mnaijua hii portal.
Mikopo siku hizi ina flow vizuri magazine.
Hii portal kwangu kila aina na jaribio imekataa kunitambua. Inaandika verification fail.
Nitaweka interface hapa kurahisisha.
Kwa ambaye amefanya hii kitu akafanikiwa please help
Link ni...
Habari ya muda huu,
Naombeni wataalam wanisaidie kukadiria hesabu ya tofali ya kijuba hiki.
Niko kwwenye hatua za awali za KUFIKIRIA kujenga, kiwanja nimeshanunua wakuu. Tuanzie hili la tofali, Nitashukuru sana
Nina Google Pixel 4XL inanisumbua, sometimes inazima yenyewe ukiiwasha inaleta ujumbe "problem reading battery meter". Kwa mwenye experience na shida hiyo suluhisho lake ni lipi naomba kujuzwa 🙏🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.