Wakuu habari,
Naomba msaada kwa yeyote anae jua ni mfumo upi( software program) inayotumiwa na serikali kuchagua majina ya watu kwa ajira baada ya graduate kufanya maombi pale nafasi zinapo tangwaza.
Naombeni hivi sasa, babu yangu wa Tanga anahitaji afanye mambo kidogo( system manipulation).
Hope ni wazima.
Wakuu nataka nifanye research itakayo tikisa dunia na ulimwengu wa sayansi kwa ujumla.
Wakuu naomba mawazo yenu je nifanye juu ya topic ipi??
naomba kuuliza wakuu nmenunua fridge hisense rd 20 lakn naona mbele kwenye milango kuna rangi ya silver na pembeni kuna rangi flani ya kqma kijivu flan je ndo yanakuag hvo au nimepgwa hapa wakuu
Heshima sana wanajamvi,
Inafahamika Jumanne yatakuwepo maandamano hapa Jijini Arusha.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha imekuwa katika harakati kubwa za kutaka kuyazuia maandamano hayo kwa kutumia njia haramu na zinazo kiuka misingi ya katiba yetu yenye mapungufu mengi.
Mosi kamtumia mwenyekiti...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua wafanyabiashara wote wanaohujumu upatikanaji wake.
Akitoa agizo hilo leo Februari 21, 2024 Ofisi ndogo...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua wafanyabiashara wote wanaohujumu upatikanaji wake.
Akitoa agizo hilo leo Februari 21, 2024 Ofisi ndogo...
Kuna mchepuko wangu wa zamani (shepu matata) alinipigia simu mwezi uliopita, na kunijulisha nimpokee rafiki yake anakuja mkoa niliopo kwa ajili ya kushughulikia mambo yake.
Ingawa alinisii, nisimsaliti kwa sababu huyo rafiki yake ni pisi kali; mi nikamwambia haina shida, mi sina madhara kwa...
Mambo yamebadilika wakuu
Zamani ilikuwa mwanaume ndio anaomba namba kwa mwanamke, na anaishia kuzungushwa zungusha na mwisho wa siku anaweza asipewe namba.
Ila nyakati hizi mambo yamebadilika; wanawake ndio wanaomba namba, na ukimpatia tu; anaanza kukusumbua muweze kuonana na kupangilia...
Jana nilitembelewa na mzazi mwenzangu (mchepuko) kutoka mkoa wa jirani; na lengo la safari yake ni kwa ajili ya kupeana vitamini S, pamoja na kujadili mambo ya kimaisha, kibiashara n.k
Kwa sababu ni muda mrefu tulikuwa hatujaonana, takribani miezi mitano hivi; ikawa ni furaha kwetu wote kuonana...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan usiku wa kuamkia leo, Jumapili Februari 18.2024 amewasili jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU), ikiwa ni saa chache tangu awaongoze waombolezaji kwenye mazishi ya kitaifa ya...
Wakuu kama thread inavojieleza either kulingana na uzoefu wako au umeskia ndugu jamaa wanasema tupate, mkombozi wa mapishi kwa umeme.
Induction cooker
Multi Cooker
Nmeona watu wana kumbushia experience yao na hii kitu huko X,sisi tuliyo ikuta inapotea mpk leo tuna experience na huu ugolo wa wamasai.
Wanasema ni kali kuliko ugoro wa kawaida sasa wahindi wanaweza kumudu vipi na sisi tukashindwa.
Wakuu mdogo wenu nipo njia panda, Jana usiku sasa tatu kamili nime pigiwa simu na mwanamke aliejitambulisha kuwa ni mkurugenzi wa shule moja binafsi hapo jijini Arusha (jina nimelitunza O level hadi A level), lengo la simu yake amenambia kuwa wananihitaji katika shule yao mara baada ya kumaliza...
Tusizungumze mengi sana twende tu moja kwa moja kwenye pointi ninayotaka kusema.
1. Paul Makonda elimu yake inatiliwa mashaka.
2. Paul Makonda alifanya mambo yasiyo na weledi wa kiuongozi alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar, mojawapo ni kuvamia kituo na redio cha Clounds FM, kuwaweka chini ya ulizi...
Kiongozi hatokei Kila mahali na Kila kabila.
Wamasai ni moto wa kuotea mbali.
1. Sokoine - Monduli
2. Lowassa - Monduli
Weka Hapo Msuya , Kilimanjaro.
Sio Kila mahali unamchukua hapo Kiongozi.
Kwa mfano anatoka Makamu Mwenyekiti wa (Chanzo Cha Matatizo) CCM kwenea Ntwara, akifika huko anasimikwa uchifu, akija mwenyekiti wa hicho kijiwe naye anasimikwa uchifu.
Mara utasikia wazee na machifu wa Songwe wamemsimika uchifu mkuu wa mafisadi huku wakimpa sifa kem kem.
Numejiuliza, taratibu...
Habari wadau wa JF,
Natumai mu wazima. Mimi ndoto yangu ni kuja kusomea uengineer wa ndege ila sina idea sana kuhusu hiyo kozi kwa hapa Tanzania.
Nimejaribu kutafuta ma experts wa io kozi sijapata na pia mitandaoni wanaongelea juu juu. Jivyo nilikua naomba kama kuna mtu anaejua zaidi kuhusu...
Mimi nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kinachoendelea kuhusu ziara za Makonda mikoani, na zoezi la kusikiliza kero mbalimbali za wananchi. Kimsingi hali inafikirisha sana, na hapa Mwanasheria Mkuu wa serikali ameliona hili. Tuna wakuu wa Wilaya,wakuu wa mikoa , wabunge Takukuru nk wote kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.