Watu wa Dar mbona kama wamekanyaga moto, hawatulii muda wote ni mwendo tu shida nini wakuu?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
5,168
Reaction score
8,982
Mbona watu wa Dar muda wote wako mbiombio? Shida nini hasa?

Ni kama wamekanyaga kaa la moto!

Kifupi imenishangaza sana.

Yaani muda wote watu wa Dar wapo resi. Kila mtu ni fulu mwendo.

Utaona watu hawa wanaingia kwenye madaladala wengine wanaingia shop almradi muda wote watu wapo kwenye mwendo.

Shida huwa ni nini hasa wakuu mbona pilikapilika kama zote kama wapo mashindano fulani?
 
Shida ni kwamba ni Dar es salaam ndio mana
 
Mbona watu wa Dar muda wote wako mbiombio? Shida nini hasa?

Ni kama wamekanyaga kaa la moto!

Kifupi imenishangaza sana.

Yaani muda wote watu wa Dar wapo resi. Kila mtu ni fulu mwendo.

Utaona watu hawa wanaingia kwenye madaladala wengine wanaingia shop almradi muda wote watu wapo kwenye mwendo.

Shida huwa ni nini hasa wakuu mbona pilikapilika kama zote kama wapo mashindano fulani?
Watu million 7 dar ulitaka wawe na ratiba moja....
 
downloadfile-5.png
 
Mbona watu wa Dar muda wote wako mbiombio? Shida nini hasa?

Ni kama wamekanyaga kaa la moto!

Kifupi imenishangaza sana.

Yaani muda wote watu wa Dar wapo resi. Kila mtu ni fulu mwendo.

Utaona watu hawa wanaingia kwenye madaladala wengine wanaingia shop almradi muda wote watu wapo kwenye mwendo.

Shida huwa ni nini hasa wakuu mbona pilikapilika kama zote kama wapo mashindano fulani?
Sasa Buraza Kede,Wakibweteka na life lilivyo kaza wataishije?
 
Zamani nilijua watu wakishuka kwenye pantoni ni sheria kukimbia😅
Dah kuna siku kidogo jamaa adumbikie baharini. Nilikuwa naenda kumuona jamaa yangu Kigamboni sasa ile mlinzi wa SUMA amefungulia geti tuingie nikaleta mambo yangu ya Bariadi.Watu walikuwa wanasukuma hatari(kama nyumbu vile).Daslamu maisha yenu ni magumu sana sio siri
 
Back
Top Bottom