Watu wa Dar mbona kama wamekanyaga moto, hawatulii muda wote ni mwendo tu shida nini wakuu?

Watu wa Dar mbona kama wamekanyaga moto, hawatulii muda wote ni mwendo tu shida nini wakuu?

Attachments

  • Screenshot_20250803-115417_SportyBet.jpg
    Screenshot_20250803-115417_SportyBet.jpg
    200.7 KB · Views: 21
Mbona watu wa Dar muda wote wako mbiombio? Shida nini hasa?

Ni kama wamekanyaga kaa la moto!

Kifupi imenishangaza sana.

Yaani muda wote watu wa Dar wapo resi. Kila mtu ni fulu mwendo.

Utaona watu hawa wanaingia kwenye madaladala wengine wanaingia shop almradi muda wote watu wapo kwenye mwendo.

Shida huwa ni nini hasa wakuu mbona pilikapilika kama zote kama wapo mashindano fulani?
Na cha kushangaza la maana wanalofanya hatulioni
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kipindi nimefika dar kwa mara ya kwanza nilivyokuwa nikiona gari limeandikwa gerezani najua waliomo humo ni wafungwa . Na jinsi walivyokuwa wanabanana

Nikaanza kuhisi dar inawafungwa wengi sana.
Haahaa😂😂😂 we jamaa
 
Ni maisha ya kijinga sana tena wala sio sifa kuyaishi.
Kifupi siyapendi hayo maisha. Na watu wanayaishi tu kwakua hawana alternative.
Wanataman sana kuishi kwa utulivuuu kama huku mikoani ila Dar haiwapi hiyo fursa.
Maisha gani unapanda gari saa 12 asubuh unaingia kazin mjini kati saa 2 asubuh.?
Wehu kabisa.
Unatoka saa 10 kazin unafika home saa 3 usiku!!..

Aaaaahhhh ninmaisha ya kifalaa kabisaa
Una utajiri wa mavi kichwani
 
Imajini😆😆
Nimeona mnao comment humu kwa kiasi kikubwa mko mikoani so mara moja moja mje kutoa tongotongo maana mmejaa pumba kichwani ,imagine mtu unacomment kuwa anashangaa watu wanagombania gari limeandikwa gerezani kama sio ushamba ni nini
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kipindi nimefika dar kwa mara ya kwanza nilivyokuwa nikiona gari limeandikwa gerezani najua waliomo humo ni wafungwa . Na jinsi walivyokuwa wanabanana

Nikaanza kuhisi dar inawafungwa wengi sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom