Watu wa Dar mbona kama wamekanyaga moto, hawatulii muda wote ni mwendo tu shida nini wakuu?

Ni maisha ya kijinga sana tena wala sio sifa kuyaishi.
Kifupi siyapendi hayo maisha. Na watu wanayaishi tu kwakua hawana alternative.
Wanataman sana kuishi kwa utulivuuu kama huku mikoani ila Dar haiwapi hiyo fursa.
Maisha gani unapanda gari saa 12 asubuh unaingia kazin mjini kati saa 2 asubuh.?
Wehu kabisa.
Unatoka saa 10 kazin unafika home saa 3 usiku!!..

Aaaaahhhh ninmaisha ya kifalaa kabisaa
 
Mbona watu wa Dar muda wote wako mbiombio? Shida nini hasa?

Ni kama wamekanyaga kaa la moto!

Kifupi imenishangaza sana.

Yaani muda wote watu wa Dar wapo resi. Kila mtu ni fulu mwendo.

Utaona watu hawa wanaingia kwenye madaladala wengine wanaingia shop almradi muda wote watu wapo kwenye mwendo.

Shida huwa ni nini hasa wakuu mbona pilikapilika kama zote kama wapo mashindano fulani?
Dar hakuna mashamba
Hivyo mtaji wako ni pilika zako.

Hakuna Nyanya,matembele, Wala mboga za bure kama huku kwetu Tukuyu.
 
Ni maisha ya kijinga sana tena wala sio sifa kuyaishi.
Kifupi siyapendi hayo maisha. Na watu wanayaishi tu kwakua hawana alternative.
Wanataman sana kuishi kwa utulivuuu kama huku mikoani ila Dar haiwapi hiyo fursa.
Maisha gani unapanda gari saa 12 asubuh unaingia kazin mjini kati saa 2 asubuh.?
Wehu kabisa.
Unatoka saa 10 kazin unafika home saa 3 usiku!!..

Aaaaahhhh ninmaisha ya kifalaa kabisaa
Kweli me mwakani nahama
Mtoto anakuona mara moja kwa week anadhani wewe ni mgeni unakujaga kwao usiku
Kumbe wewe ndo mama yake
 
NI majiji yote tu
Mwanza ni jiji lakini hakuna mambo kama ya wa daslamu,Dodoma pia,Tanga pia. Nisijue Arusha na Mbeya.Honestly Dar watu wake wanaishi maisha magumu sema wajanja wajanja wale jamaa.Dar kila mtu tapeli na kila mtu anajiona mzungu tayari au mtu wa duniani huko.Utasikia mimi sinywi local beer(ukikauliza mfukoni kana kiasi gani?hamna kitu)
 
Population density
 
Population density
Yeah true!sema kuna tabia wanazo wa Daslamu huwezi toa lawama kwa population bali vingine ni kuwa wastarabu tu.Imagine gari mtu anaona imejaa ila anakubali kwenda miguu juu juu kwenye gari(hii nayo to blame population).Mtu karuhusiwa akapande kivuko anaenda kwa kukimbia na kusukuma wenzake(Safety hamna hapa)
 
Ni maisha ya kijinga sana tena wala sio sifa kuyaishi.
Kifupi siyapendi hayo maisha. Na watu wanayaishi tu kwakua hawana alternative.
Wanataman sana kuishi kwa utulivuuu kama huku mikoani ila Dar haiwapi hiyo fursa.
Maisha gani unapanda gari saa 12 asubuh unaingia kazin mjini kati saa 2 asubuh.?
Wehu kabisa.
Unatoka saa 10 kazin unafika home saa 3 usiku!!..

Aaaaahhhh ninmaisha ya kifalaa kabisaa
Nakazia
 
Eeh bana nilikuwa nakimbia hatari huku nikiilaumu serikali kwa kuweka sheria hii
Mimi iliwahi kutokea kuwafananisha watu wa Dar na wanyama,ila baadae nilifahamu kwa uzoefu.Siku muuliza mtu yeyote.Nilikuwa na fanya mishe zangu jijini,nimetoka mkoa,sasa wakati ule wa asubuhi kusafiri,nilikuwa nakasirika kuona binadamu wakivamia gari kama wanyama.Nilikuwa na kaa pembeni najiuliza hawa vipi?IIkawa ni bora nisubiri muda sahihi wa kupanda gari,mwezi wa kwanza,wapili,watatu.Nikapata majibu alaaa,kumbe bila kuwa mnyama husafiri bongo Daslaam.Hivyo watu wote wa Dar nawaomba radhi kwa kuwafananisha na wanyama bila kujua kwanini.
 
Mbona watu wa Dar muda wote wako mbiombio? Shida nini hasa?

Ni kama wamekanyaga kaa la moto!

Kifupi imenishangaza sana.

Yaani muda wote watu wa Dar wapo resi. Kila mtu ni fulu mwendo.

Utaona watu hawa wanaingia kwenye madaladala wengine wanaingia shop almradi muda wote watu wapo kwenye mwendo.

Shida huwa ni nini hasa wakuu mbona pilikapilika kama zote kama wapo mashindano fulani?
Sasa,ujidai unamtaarifu unaenda kumtembelea ukitokea huku kijijini kwetu Kumshindwi Kigoma,ndiyo anaongeza mwendo hutomuona tena!
 
Back
Top Bottom