Wakuu naomba kuuliza Hivi hizi simu za Samsung gt e1207 bado zinafanya kazi mpaka miaka hii

Wakuu naomba kuuliza Hivi hizi simu za Samsung gt e1207 bado zinafanya kazi mpaka miaka hii

flynn05

Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
66
Reaction score
108
Naitaji kununua na nimeiona dukani ila ni simu za mda mrefu sana, so najiuliza na naomba mnisaidie watu wa tech, je ni bora na zinafanya kazi vizuri tu au ninunue tecno ya elfu 20?!
 

Attachments

  • samsung-guru-1200-gt-e1200.png
    samsung-guru-1200-gt-e1200.png
    108.9 KB · Views: 37
Naitaji kununua na nimeiona dukani ila ni simu za mda mrefu sana, so najiuliza na naomba mnisaidie watu wa tech, je ni bora na zinafanya kazi vizuri tu au ninunue tecno ya elfu 20?!
Ninayo yangu nyeusi tangu 2015 hadi leo ipo inafanya kazi bila shida ,ni simu nzuria sana hiyo na battery yake bado inakaa na charge siku 5 had 7
 
Tanzania hatujafungia 2G bado, so itafanya kazi hata kama simu ni ya miaka ya 90, gprs na edge bado zipo.

Baadhi ya Nchi wanafungia 2G na 3G so sehemu kama hizo ndio haitafanya kazi.
 
Back
Top Bottom