New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 551
- 879
Hivi hii imekaaje wakuu unakuta mwanaume mzima anasema "lol" mimi naona kama sio sawa
Na Mimi nasubiri majibuKwanza tujue hiyo lol ndio nini?lol pop?
Ni kifupi Cha laugh out loud yaani umecheka kwa nguvuKwanza tujue hiyo lol ndio nini?lol pop?
Eeh akijibu unistue dogoNa Mimi nasubiri majibu
Kwa hiyo mwanaume hatakiwi kulagh out loud?Ni kifupi Cha laugh out loud yaani umecheka kwa nguvu
Mna kuza mambo kuwa makubwaAku! Jamani! Lol!, Salam ya "mambo"kwa mwanaume mwezio....
Hamna ila inavyoandikwa Lol inaleta ukakasi kama mdada ameshtuka flani kwa umbea 😂Kwa hiyo mwanaume hatakiwi kulagh out loud?
Ni makubwa usione ni madogo hayaMna kuza mambo kuwa makubwa
Ila "Aku" kwa mwanaume inasound kiupinde mkuu.Mna kuza mambo kuwa makubwa
Mnafanya mambo kuwa magumu sana kwa jinsia me...ndio maana wanawahi kufa mnawabebesha mambo mengi sana🥲Hamna ila inavyoandikwa Lol inaleta ukakasi kama mdada ameshtuka flani kwa umbea 😂