New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 551
- 879
- Thread starter
- #21
Maswala ya kifupi kifupi mwanaume muachie dadaNi kifupi Cha laugh out loud yaani umecheka kwa nguvu
Maswala ya kifupi kifupi mwanaume muachie dadaNi kifupi Cha laugh out loud yaani umecheka kwa nguvu
Mnakuza mambo bhna af fwatilien mbo ya msingiNi makubwa usione ni madogo haya
kucheka gani huko kwanza mwanaume wa kweli unapaswa ununeKwani mwanaume hatakiwi kucheka hivyo?
sawaIla "Aku" kwa mwanaume inasound kiupinde mkuu.
Kuhusu kufa lazma tuwahi maana tunapoenda hapaeleweki kwahiyo vidume tunaenda kuwaandalia mazingiraMnafanya mambo kuwa magumu sana kwa jinsia me...ndio maana wanawahi kufa mnawabebesha mambo mengi sana🥲
Tangulieni wapenzi zetu...😘😘Kuhusu kufa lazma tuwahi maana tunapoenda hapaeleweki kwahiyo vidume tunaenda kuwaandalia mazingira
Mbona huyatumii?Mnakuza mambo bhna af fwatilien mbo ya msingi
Ila tuna mikazo yetu sometimes huwaga ya kijinga ila tunaishi nayo tuMaswala ya kifupi kifupi mwanaume muachie dada
Mwanaume wa kweli unapaswa kununa kucheka kwa nguvu waachie wadadaKucheka kwa nguvu kuna shida gani?
Waone mmeridhika kutufanya chamboTangulieni wapenzi zetu...😘😘
Are you sure?Mbona huyatumii?
Acha ku complicate maisha mkuu, tafuta mkwanjaHivi hii imekaaje wakuu unakuta mwanaume mzima anasema "lol" mimi naona kama sio sawa
Nakuonya...Acha mara Moja!Are you sure?
kucheka gani huko kwanza mwanaume wa kweli unapaswa unune
Effect?Nakuonya...Acha mara Moja!
Yanalegeza sauti mwisho wa siku na viungo vinalegeaEffect?
For instence?Yanalegeza sauti mwisho wa siku na viungo vinalegea