Hivi hii imekaaje wakuu? Unakuta mwanaume mzima anasema "lol". Mimi naona kama sio sawa

Hivi hii imekaaje wakuu? Unakuta mwanaume mzima anasema "lol". Mimi naona kama sio sawa

Hayo maneno yafaa ayatumie mwanamke tu na si vinginevyo
Wapi imeandikwa kuwa yatumiwe na mwanamke?

Kiswahili hujui wewe unatuletea pigo za kukaza kishamba shamba mambo ni salamu msenge wewe
 
lugha ni vitu vya kukubaliana
 
Kwakwel sio sawa utakuwa shoga wewe unakuja JF kuandika upuuzi huo ambao unaushangaa... Idiot
 
Lugha za mtandao na hazijaanza leo kutumika. Mf. ASAP, Idk, LMFAO inategemea unatumia wapi na nani
 
Back
Top Bottom