Kwanini Mwanaume acheke kwa nguvu?Kucheka kwa nguvu kuna shida gani?
Nadhan Mleta uzi hio LOL Atakua amefananisha na looh Ile ya mademu wa kiswaziNi kifupi Cha laugh out loud yaani umecheka kwa nguvu
Hivi hii imekaaje wakuu unakuta mwanaume mzima anasema "lol" mimi naona kama sio sawa
Kisu kimegonga kwenye mfupa?Wapi imeandikwa kuwa yatumiwe na mwanamke?
Kiswahili hujui wewe unatuletea pigo za kukaza kishamba shamba mambo ni salamu msenge wewe
Kucheka nadhani kuna sound ya hahaha, hehehe nk sio lol.Kwa hiyo mwanaume hatakiwi kulagh out loud?
Itakuwa kama usipojua maana yake lazm uone imekaa kiduwanziNadhan Mleta uzi hio LOL Atakua amefananisha na looh Ile ya mademu wa kiswazi
Mleta Mada pia ameshindwa jua kuwa LOL, Lmao ni vipupisho vinavyotumila kwenye chatting sio kwenye maongezi ya uso kwa Uso mdoma kwa mdomo. Ile LOOh!! Ndo ipo kwenye maongeziItakuwa kama usipojua maana yake lazm uone imekaa kiduwanzi
Asitusumbue akili yeye mwenyew kaandika lol 🤣🤣🤣Youbettersleep than typing something rejected by the motion mover🤣🤣🤣
Mwanaume rijali unachekaje Kwa nguvu? Gentleman anatakiwa kutabasamu tuKucheka kwa nguvu kuna shida gani?
Sepa zako ukoMpaka ujue kuandika
😂😂😂😂😂Ungeomba ningekupa tu 😂
😂😂😂😂😂Nadhan Mleta uzi hio LOL Atakua amefananisha na looh Ile ya mademu wa kiswazi
Una cheka nini sasampa😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂Kuna Baba mtu mzima huko Dsm nilimwamkia akaitikia "Abee" huku akiangalia chini kwa aibu... nikaenda kutubu parokiani kwa niaba yake🤣🤣🤣🤣
Best em niachee, sasampa unaijua wee?Una cheka nini sasampa
😁😁😁Sasa tufanyeji LOL!
SawaBest em niachee, sasampa unaijua wee?
Em tuletee mapishi, tujifunze recipes tuwadikoshie shem zako.
😂😂😂😂😂