Nahitaji present research yangu katika kampuni flani hapa Tanzania mainly nahitaji gusia maswala ya microfinance kama hizi mikopo ya simu, kausha damu, mikopo ya mitandaoni nk.
Naomba mawazo yenu, changamoto, faida nk gusia chochote kuhusu mada nahitaji andaa kitu bora.
Asanteni Wasomi...