Kuna jamaa tulifanya biashara ya kumuzia tovuti ya biashara. Alitanguliza nusu ya malipo, lakini alipoenda kumalizia, akaghairi na kuhitaji hela zake. Kiukweli, niliuza tovuti hiyo kwa sababu ya shida, nikamwambia sina hela hadi nitafute, na nitamrudishia bila ya kukata gharama ya usumbufu...