Wadau niaje, mimi ni mwalimu wa sekondari wa hesabu na physics, sasa hapa katikati nilihamia mikoa ya kusini, ikabidi nianze upya process za kutafuta kazi.
Asee kwa kuwa maisha hayasubiri nikasema nisichague kazi , nilitonywa na mwana kuwepo kwa nafasi ya ualimu english medium shule moja...