Kwanza naomba nimpongeza Raisi wetu wa Jamuhuri ya Serikali ya Tanzania, Samia kwa kuruhusu walimu walipokuwa wamesitishiwa vyeo vyao waserereke.
Ila zoezi haliendi kwa haki, Kuna watu walianza kazi miaka ya nyuma na waliguswa na usitishwaji wa upandishwaji lakini hawajaserereshwa.
Sasa hili...
Walimu acheni tamaa. Hizi fursa za muda mfupi achieni majobless, mbaya zaidi kwakua assessment inafanywa na watu kutoka halmashauri basi mwajiri wao anawadaka ili walimu tu maana watumish wengine hawajaomba kwasababu wanajitambua nasio mapunguani
Walimu mbona mnapenda kujidhalilisha ahseeeee...
Watoto mnawalazimisha kwenda mpaka Jumapili wasipokuja mnawachapa.
Jumamosi na Jumapili watoto wanaenda ibadani nyinyi mnawaza kufundisha tuu sijui akili zenu zikoje. Tafuteni kazi nyingine nje ya ualimu mnatia aibu mpaka nafasi za kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura mpoo.
Mnafosi...
Hii bank kuna walimu wanaipigia kelele kwamba wanakata deductions kabisa za makato ya mkopo ambao hawajautoa kabisa na wakipigiwa simu wanajibu kirahisi shida mfumo. Sasa kama shida ni mfumo mbona kwenye kukata tena ambacho hamjampa muhusika mfumo hausumbui?
Vyombo vya dola chunguzeni hii...
Hili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe
Ukienda shule za private ambazo ni vinara wa kuongoza mitihani ya taifa, walimu wao wanapewa mitihani kabla...
CHADEMA wapo kuvunja vunja hoja, umoja na Malengo ya upinzani.
Wao ni kuponda, kukebei, na kutukana kila anayeshindwa kufanya jambo kama wao wanavyotaka au aliyekosea.
1. CHADEMA wao Wote walifurushwa bungeni kwa nguvu ya dola je nani aliwabeza hahaha.
2. Wabunge wenu Akina mdee mpaka leo...
Majority ya walimu kazi yao haina madili,no connections no gape ya upigaji pesa ni wao chaki, Na mshahara wao kiduchu. Maisha ya kuridhika na kidogo chao ndo furaha yao hawakat tamaa wanapiga kazi.
Wengi wao wapo vijijini ndani ndani huko na pikipiki zao asubuhi na jioni wanabebana kwenda na...
Sipo hapa kudhibitisha hili..hili lipo wazi na lishadhibitika mara nyingi sana.
TLS ashawahi shinda Lissu
Jana kashinda Mwambukusi hawa wote waliwabwaga Machawa wa Ccm.
The same Madaktari washawahi itikisa hii Nchi hadi wakaanza wafanyia ukatili NB:Yule Daktar Ulimboka.
Hii Nchi taaluma moja...
Rejea kichwa Cha thread...... Serikali Iko vizuri ni wabunifu....
Walimu mlioomba ajira mpya jiandaeni na interview, hii itaondoa malalamiko. Hongera serikali
Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera kuwapeleka walimu 10 wa shule za msingi na sekondari Dubai kwa watakaofanikisha ufaulu mwakani, imeonekana kuwaamsha walimu kila mmoja akiahidi kufundisha kwa bidii ili kupata nafasi hiyo.
Akizungumza leo Julai 16 katika kikao cha tathimini ya elimu...
Kumekuwa na uonevu mkubwa sana wa CWT UBUNGO ikilazimisha kuwakata walimu mishahara kama michango ya chama bila idhini ya wahusika Wala makubaliano.
Na hata wanapoomba kusitishwa Kwa michango hiyo hawasikilizwi au kupewa mlolongo mrefu wa namna ya kujitoa au hutolewa ndani ya muda mfupi Kisha...
Anonymous
Thread
chama
chama cha walimu
cwt
kulazimishwa
ubungo
walimu
Juzi kati hapo baadhi ya walimu wanaojitambua halmashauri ya Muleba mkoani Kagera walimwendea mkurugenzi kudai haki yao kuhama CWT kwenda CHAKUHAWATA kwenye makato nafuu (elfu 5 tu haijalishi unapokea ngapi tofauti na CWT wanaokataa 2% ya PAYE yako).
Wakiwa ofisini wakiendeleza mazungumzo na...
Anonymous
Thread
afisa
afisa elimu
elimu
inashangaza
kuhamia
sana
vyama
vyama pinzani
walimu
wanaharakati
Sawa Somo la Jiografia tokea Form One hadi Four ulipata A na pia kuna Mwalimu wako mwingine Blanca Shao nae alisema kuna Somo lake ulipata A. Hongera kwa Ufaulu huo ila GENTAMYCINE ( Mtani wako kutoka Mkoani Mara kwa Wazanaki ) nakuuliza Mtani wangu Wewe Mshamba kutoka Mkoani Singida kwa Watani...
CWT ni chama cha walimu kama kinavyojipambanua na kujitangaza siku zote za uwepo wake. Zaidi kinatangazika kwa sifa ya kutetea maslahi ya Mwalimu, haki na kumpigania mwalimu ili apate mazingira mazuri ya kazi.
Nafikiri imefika wakati sasa kama chama kijitathmini hasa kuhusu kazi yake na gharama...
Wasalaam
Jana jioni nimesikia kisa cha kushangaza sana. Wakati nikiwa kwenye simu naongea na aunt, mtoto wa form one (mtoto wa aunt) alirudi analia. Kumuliza analia nini? Akajibu shuleni wameshikishwa pedi chafu
Kisa kenyewe ni hiki kilichotokea shule ya Rasesa Secondary School huko Rawia...
Leo tena nimekuja kulalamika,
Hivi mwaka 2019 serikali iliona nini?
Ilijisikiaje au kwakuwa head alikuwa mwalimu wa science akaona awabebe wenzake?
Najua lengo ni kuwatia motisha walimu wa science,
Sawa.
Lakini je ili iweje? Kwa faida ipi?
Shule ni zile zile,
Wanafunzi wale wale,
Tena wakifika...
UTANGULIZI.
Walimu wamekuwa chachu na msaada mkubwa sana katika taifa letu, kwani wao ndiyo daraja la mafanikio ya watu wengi, tunakubaliana kuwa, walimu wamekuwa kama wazazi/walezi wetu na kuna muda wanachukua jukumu la kutuwajibisha ili kuhakikisha tunakuwa watu bora zaidi katika jamii...
ipo wazi kuwa c.w.t Ina mchango mkubwa Sana katika kulinda haki za walimu.hoja yangu ni kwamba kwanini michango inayokusanywa na c.w.t isitumike kutoa mikopo WEZESHI kwa WALIMU ilikuinua ustawi wao.