Kwa Sasa Dunia yetu inapitia mengi sana sana ...tuanze na la ushoga na usagaji....Kisha vita ya wenyewe kwa wenyewe ....tatu ugaidi ukiongozwa na makundi mbalimbali ya wanamgambo...ukame ukosefu wa chakura duniani ..matukio ya makanisa kugeuzwa vituo vya mauaji na upotofu mkubwa wa Imani kiasi...
Nimeona agenda ya kuftarisha imepamba Moto kila Kona huku majina ya viongozi yakitumika....kila kiongozi akiftarisha anamtaja mwenye nchi unajiuliza hizi fedha wametoa wapi? Je NI kweli wametumwa na wanayemtaja? Au uchawa unawasumbua Hadi kwenye Imani?
Lakini pia ifta ilipaswa iwe Kwa maskini...
Binadamu akikosea nguvu za asili za kiume au kike anakosa pia nguvu za asili za kufanya KAZI kwa tija na hivyo uzalishaji kwenye TAIFA ushuka.
Tanzania tumekuwa na wananchi wenye changamoto ya nguvu za kiume na kike. Kuthibitisha au kupata ukweli angalia mabango ya tiba asili, angalia pharmacy...
MSHAHARA WA WABUNGE HAUENDANI NA WANACHOKIFANYA BUNGENI.
Na Thadei Ole Mushi.
Ukiangalia Mshahara wa Mbunge na anachokifanya Bungeni vinatia Hasira Sometimes…
Twende Sawa
Rais Magufuli ndiye Rais aliyevunja Rekodi ya wabunge kuweka maazimio ya kumpongeza Bungeni. Maazimio ya mwisho mwisho...
Mwanancha namba moja.
1. Rais Samia Suluhu Hassan
2. J.M Kikwete.
3. Edward N. Lowasa
4. Simbachawene.
5. Mizengo Kayanza Pinda.
6. Benard Membe.
7. Hussein Mwinyi.
8. Jokate Mwegero.
9. Masauni.
10. Dkt. Philip Mpango.
Kuna wakati mwananch mwingine alitoa hii Orodha ya wanasiasa bora wa muda...
Kumekuwa na maneno mengi ya kejeli na visasi kwa wanasiasa ambao hatunao tena. Masikini wa Mungu hao wanasiasa ambao hatunao tena ukiaangali kwa makini unagunduwa walichokuwa wakikitekeleza ni kwa manufaa yao wenyewe na sera zao sema tu chuki na visasi vinalitesa Taifa.
Mtu anadiriki kusema...
Wanasiasa wa nchi hii baada ya kuona upepo hauko upande wao, wananchi wanamuenzi alie kuwa Rais wetu mpendwa na kipenzi cha mioyo yetu. Wameungana CCM na CDM ili tu walambe asali za nchi hii vizuri.
Wakiwa kwenye mikutano ya hadhara hadi wanaogopa kulitaja jina la JPM kwa mazuri yoyote aliyo...
Week hii aliuawa dada mmoja huko Kibaha, Week hii hii tena kuna dada kauawa huko Musoma. Ukirudi nyuma weeks mbili ago kuna mtu aliuawa na mwingine alipatikana baada ya kupotea kwa muda fulani.
Kuna watu kadhaa wamepotea na kuuawa lakini sisikii Waziri, Naibu , Wabunge wala wapinzani wakikemea...
Nawakumbusha tu vijana.
Kuwa wakati nyie mnabishana kuhusu Simba na Yanga au Liverpool na Man U wanasiasa pamoja na marafiki zao matajiri wanagawanya ajira nzuri nzuri na kuwapatia watoto wao.
Nyie endeleeni kusubiri ajira zile za kukaripiwa na madiwani, ma DAS, ma DED, ma DC n.k, nako hizo...
Tumefika hapa tulipo kwa sababu hatuna mifumo ya kuongoza nchi.
Inashangaza kuona anatokea mtu mmoja mjinga anavunja katiba ya nchi na bado anaendelea kuwa kiongozi.
Hatuwezi kupiga hatua kama Taifa liashindwa kuwa na mfumo sahihi.
Wasomi hakikisheni mnalikomboa Taifa kila kitu kinabi kuwa...
Hii kasumba ya Watanzania kukimbilia kusoma masomo ya science eti kwa sababu umeambia na mwanasiasa, mtaishia Kupata majuto Makubwa.
Au unaanzisha Biashara eti kwa sababu umeambiwa na mwana-siasa utaishia kupata stress.
Sera za nchi yetu hazitabiriki na sio endelevu.
Soma kitu kwa utashi wako...
Nasema na wanasiasa na wanaojiita wanaharakati tuna jambo kubwa sana kwa wakati huu kama nchi kukosekana kwa mvua ya kutosha ambayo tunategemea kwenye kilimo ukiwemo na umeme
Hoja yangu ni hii mtumie majukwaa kuhamasisha wananchi kufanya kazi kwa bidii na hata kwa hizi mvua chache hamasisheni...
Lema alichokisema kuhusu boda boda kina ukweli ndani yake ama ni uongo na uzushi wake?
Kitaalam kuendesha boda boda bila ya kuvaa "Vest" kunaweza kumsababishia mwendeshaji "Pneumonia" ama afya zao ziko salama.
Hivi CCM wanajua tofauti kati ya Kazi na ajira? Kisheria kuendesha Bodaboda ni kazi...
Salam wakuu,
Bila kupoteza muda huu ndiyo uhalisia wa hali ya siasa nchini kwa sasa.Wanasiasa wako busy kufurahishana na kulambishana asali huku wakipongezana kwa kauli ya "MARIDHIANO" huku wakisahau wananchi wanagongwa 800k wanapounganisha umeme, wanasahau wananchi wengi wanataabika kwa huduma...
Nadhani hali si shwari kati ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera na wanasiasa wa Mkoa huo. Maneno ya Mwijage ni kama vile anatupa vijembe kwa mkuu huyo wa Mkoa.
Itakumbukwa kwamba wakati akiingia kagera, Chalamila alikuwa akitoa kauli kwamba Diwani au mbunge akizingua anamuweka ndani, na alikuwa...
Kipindi cha kampeni bodaboda hufanya amsha amsha ya mitaa na kuhadaiwa na wanasiasa kuwachagua kwa ahadi fulani.
Baada tu ya uchaguzi kuisha hudharauriwa na wanasiasa kama walivyodharauriwa na Lema.
Walimu hawa kazi yao haitofautini sana na bodaboda katika kuwafikisha wanasiasa pale...
Najua Teuzi mpya zimeanzia kwa Wakuu wa Wilaya
Bado Wakuu wa mikoa, Makatibu Wakuu, Mawaziri nk
Kwa hii trend humo kwenye njia panda mabarabarani na kwenye Maji na viwanja vya Ndege ni Heri zoezi la Teuzi likamilishwe ili maisha ya kawaida yaendelee
Kwaresma njema!
Mwenyekiti wa chama cha roots na mgombea urais katika uchaguzi uliopita nchini Kenya Profesa George Wajackoyah yupo hapa Tanzania muda mfupi amemaliza kuongea na EATV na kuomba kuonana na Rais Samia ili awekeze katika kilimo cha bangi, profesa Wajackoyah aligombea uchaguzi nchi Kenya kwa sera ya...
Siasa za CCM zianze kuangalia vitu vya Msingi tu kila wakija kwenye soka always ni nuksi tu.
Kwanza watu wanawekeza mabilion Alafu mwanasiasa anataka apate sifa kwa m 5 isiyotosha ata mshahara wa mwezi wa mchezaji.
Kawaida Simba hununua away game kwa m 200. Sasa Hawa wanaomshauri mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.