Serikali yoyote duniani Ina kitengo cha uuaji!
Kitengo rasmi Cha kuwashughulikia wahuni, wenye kuhatarisha usalama wa raia, amani ya Nchi, au wenye kuhatarisha mustakabali na utulivu wa serikali inayotawala!
Leo hii tunaona serikali inavyowashughulikia raia wake kwa kututanabaisha kuwa wao ni...
Hayati mmoja mwanasiasa akiwa waziri wa fedha aliongea kwa jeuri sana kauli iliyomfuata hata baada ya kifo chake, pale aliposema ndege ya Rais ni lazima itanunuliwa ikibidi hata wote tule majani!. Kauli ile ilileta mijadala mingi miongoni mwa wafuatiliaji wa siasa za nchi hii.
Ilikuwa ni jeuri...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini (TEC) Padri Charles Kitima amewaasa wanasiasa kujirekebisa kwani ipo siku vijana wataleta mapinduzi miaka michache ijayo. Ameyasema haya kwenye mjadala wa maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Demokrasia Septemba 15, 2022.
"Msipo jirekebisha ninyi...
"Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam Mhe. Paul Makonda, amezindua zoezi la kupuliza dawa katika maeneo tofauti ya Mkoa wake Ili kuua vidudu vinavoeneza ugonjwa wa Corona (COVID 19)"
Kama kuna mtu anaona wanasiasa wanafaidi naye aingie kwenye kinyang'anyiro cha udiwani, ubunge ama urais.
Lakini...
1. Uwe tayari kufanya ulozi na makafara. Mfano mzee wa nje ya box na mzee wa mama Amina.
2. Uwe tayari kutoa roho ya mtu. Kuna wanasiasa Alphonce Mawazo, Dr. Mvungi, n.k...
1. Raila Odinga (KE): Amewania mara ya 5 na kuangushwa zote
Odinga, mwanasiasa mkonge na mpinzani wa muda mrefu alikuwa anaungwa mkono na Rais anayemaliza muda wake, Uhuru Kenyatta ambaye pia ni mtoto wa rais wa kwanza wa taifa hilo, hayati Mzee Jomo Kenyatta.
Lakini hili si jaribio la kwanza...
Viongozi wa serikali Kila gharama serikali inayoingia kuhudumia jamii mnalalamika wakati Kodi mnazichukua kwetu. Kwani mnataka pesa ya serikali mfanyie nini? Mbona kama V8 zenu, maposho na mishahara mikubwa mnayolipana hatulalamiki?
Juzi Waziri Afya eti NHIF inapata hasara Hadi kutamani...
Wiki jana nilisema humu kwamba wanasiasa wa Tanzania pasipo na kuwiwa utashi wa kulisimamia soka letu hakika hatutofika popote!
Hivi zaidi ya majivuno na nyodo uongozi wa Karia pale TFF unacho kipi cha ziada ulichokifanya sana sana ni kufungia wanafamilia wa mpira wa miguu?
Football ni zaidi...
Wadukuzi Nchini Australia wametengeneza tovuti ya habari za uwongo ili kukusanya taarifa kutoka kwa Maafisa wa Serikali, Wanasiasa na waandishi wa habari.
Walengwa wamepokea barua pepe zinazoonesha zimetoka katika vyombo vya habari vya Australia kukiwa na habari mbalimbali ambazo zimeibwa kutoa...
Kwa nilichokishuhudia uwanja wa Taifa ni aibu kwa mamlaka za mpira wa miguu hapa Tanzania.
Kundi kubwa la mashabiki waliosemekana ni wa Yanga walishangalia bila aibu goli/ushindi wa timu ya Taifa ya Uganda huku wakisema "acha mwana majivuno Karia apigwe ili aendelee kuwafungua wana michezo wa...
Wananchi wapo katika hali ya kupigwa na butwaa kuhusiana na hayo makato mapya ya mihamala kibenki. Serikali yetu imekuwa ikifanya maamuzi ya tozo bila utoaji taarifa kwa wananchi husika ambao sisi ndio waathirika wakubwa wa tozo hizo kiuchumi, kila maamuzi yanapofanywa na serikali inayotambua...
Ndio si unajua !! Wanasiasa ndio haswaa!! Wenye mradi wao. Waite wakulima ikulu ,kamwe hawatazungumzia Katiba mpya. Unajua KwaninI hii tu iliyopo imefanya maajabu nchi imepiga hatua kubwa sana kimaendeleo.
Waite wavuvi na machinga ikulu waulize mnataka nini, kamwe hawatazungumzia Katiba mpya...
Point kwa Point
Waziri mkuu mstaafu mzee Msuya amesema uzalendo ni swala la kiroho zaidi siyo kimwili
Kuwa mzalendo ni lazima kwanza uwe na UTU
Msuya amesema wanasiasa wamejaa Tamaa na Ubinafsi na pindi wapatapo Madaraka husema "huu ndio wakati na Sisi tule bila kusaza"
Source: ITV
Hii ni nane-nane na kuna wanasiasa wengi wanazindua sherehe na taasisi za serikali zinajilazimisha kwamba wamefanya makubwa ktk kilimo. Huu ni unafiki kwa wanasiasa na taasisi za serikali.
Tunayoyaona ktk maonesho haya, kama kweli ndiyo mafanikio ya kilimo kila mwaka, basi kilimo cha nchi hii...
Ni ushauri wangu wa Mwisho kukupa hutaki unaacha!
Mmekopa kushusha bei ya mafuta Ili bidhaa zishuke lakini wapi!
Mmemnanga marehemu Sana lakini wapi,
Mmetoa ahadi za uongo Napo pia wapi!!bila bila!!Leo nimeulizia gunia la mahindi,bati,simenti na sukari nikasema Hadi januari lazima mchutame...
Sakata la Manara tuwaachie TFF!
Walichokiamua wao sisi kama watazamaji tunatakiwa kuheshimu!
Kama kuna rufaa mwacheni mhusika mwenyewe!
Kuilaumu TFF ni ishara ya kupungukiwa hekima; Watu kama ZITTO sikutegemea kabisa waoneshe ujinga hadharani!
Kuna yule pia anajiita Prof. MKUMBO, huyu naye...
Habari wana JF ,Ujue kwenye maisha kuna watu ambao huwezi ona wanagombana na watu au kuna watu ambao wanafanya vitu kwa ajili ya watu wengine ambavyo ni hatari kiasi kwamba hata wewe huwezi fanya hivyo ,Watu hawa huwezi wachukia hata wawe na mapungufu mengine .
Mfano wao ni kama wafuatao :-
1...
WNAJAMVI,
huyu DG tangia aingie TPA amejitahidi sana kuziba mirija ikiwemo kuhakikisha kila mtu analipa anachotakiwa.
Lakini makampuni kama silent ocean na GSM wamekuwa wakilazimisha wapewe eneo wawekeze kinyume ya sheria ya PPP lakini yeye aliwaeleza wafuate utaratibu wa uwekezaji...
Kuna msemo unasema kwamba usimuamushe aliyelala ukimuasha utalala wewe.
Na hawa watanzania waliolala leo hii hawajui haki zao ipo siku wataamka. Hawatataka upuuzi. Hawatataka ujinga unaoendele sasa hivi. Maana wanasisa wanaotafuna kodi zao wanaona wao ni wajinga.
Maisha yamekuwa magumu. Bidhaa...
Habari wana JF, Toka siasa za vyama vingi zianze kumekuwa kumekuwa na hama hama sana ya vyama ,wengine wanahama kutokana na migogoro kwenye vyama vyao wengine wanadai wanaunga juhudi za Chama tawala.
Binafsi mimi huwa napata tabu sana kuwaamini wanasiasa kinachonishangaza mtu anahama na watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.