Yawezekana kabisa mifumo ndio imeoza kwa rushwa hivyo wanasiasa wanapoingia katika uongozi wowote ule Rushwa ndio inayowakaribisha kama mwenyeji.
Wafanyabiashara wakubwa ndio wanaoendesha hii dunia na ndio wanaotengeneza mifumo ovu ya kifisadi.
Wewe jaribu tu kuwaangalia wabunge na madiwani...
Rais Samia akiwa anapokea ripoti ya kikosi kazi alichounda ameongelea Tume huru ya uchaguzi na kuhoji uwepo wa kuendelea migogoro kwenye nchi za jirani zinazotajwa kuwa na tume huru.
Rais Samia ametaka kujua 'Definition' ya tume huru na ipi kiu itakayopatikana kwenye tume huru.
======
Samia...
1. Ni Majuha
2. Ni Wanafiki
3. Ni Waongo
4. Ni Waoga
5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi
6. Wana Uwendawazimu wasioujua
7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu
Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya...
Tutaanza sasa Kuwahisi kuwa huenda hamtaki / hampendi Kukaa Tanzania mliko na Wajibu nako na mnataka kuwa Angani 24/7 kwani Tanzania inanuka na Watanzania tunanuka vile vile.
Na hata pia Kiafya Mwanasiasa Kusafiri kila mara (tena kwa Ndege) ndani na nje ya Tanzania siyo vyema sana na ni Hatari...
Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana.
Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya...
chadema
hatia
jaji
jaji tiganga
katiba
katiba mpya
kesi
kesi ya kujibu
kesi ya mbowe
kisheria
kufungwa
kufurahi
kusikiliza
maamuzi
mbowe
miaka
miaka 30
sabaya
sana
wanasiasa
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya DW amesema wanasiasa wakubwa wa upinzani wako wengi nchini Tanzania na hakuna anayeishi kwa mashwaka kwa kuwa hakuna aliyenyukuliwa hata kuumwa na sisimizi, hivyo Tundu Lissu aulizwe mashaka yake ni yapi.
Aidha kuhusu...
Asalamalakum,
Nchi yetu imebarikiwa kuwa na resources nyingi sana ikiwemo dhahabu, gas, ardhi, strategic location na amani, hivi ni vitu muhimu sana kwa watu wanaotaka kujiendeleza kiuchumi, unfortunately kumekuwa na "scandals" kadhaa za wanasiasa kuuza rasilimali za taifa kwa wawekezaji bila...
Angalia Msukuma anavyowashambuliaga Wakurugenzi kule Jimboni kwake. Yaani Mwanasiasa yeyote akitaka kujitoa kwenye kutowajibika basi huanza kumshambulia Mtumishi wa Umma anayehusika na jambo Fulani.
Musukuma kwa kupitia Kamati inayohusika na zabuni angeweza kuzuia kile alichodai ni matumizi...
Ukiangalia Kenya watoto wengi wa wanasiasa wakubwa hujiajiri isipokuwa wachache
Mfano tajiri mfanyabiashara mkubwa kenya ni Gideon Moi mtoto wa Raisi wa zamani wa kenya Marehemu Daniel Arap Moi
Tanzania ni kinyume mitoto ya viongozi wakubwa wa siasa haina uwezo wa kujiajiri hata uwezo tu wa...
Hakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000).
Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea!
Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia...
Wakuu, hii imekaaje, kwamba wanasiasa wote wa afrika (mfano Kenya). Unaweza ukamkuta na kosa na kulieleza bungeni ili aweze kutoa majibu, likini majibu ya mawaziri wenye wizara husika yanakua ni.
a) Tumesikiliza tutalifanyia kazi
b) Hilo lipo kwenye mpango, tutalirekebisha
Haya majibu huwa...
Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo Tarafa ya Mgeta wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa wanayoyatumia kufuatia madarasa hayo ambayo yamejengwa kwa mawe tangu mwaka 1970 kuanza kupasuka kisha kudondosha mawe.
Chanzo: EastAfricaTv...
Fadhili Mpunji
Katika siku za hivi karibuni imetokea hali ya ajabu katika siasa za eneo la Pembe ya Afrika, ambayo inafuatiliwa na jumuiya ya kimataifa. Hali ya kushangaza mgogoro wa ndani wa Somalia, au tunaweza kusema taabu ya watu wa Somalia sasa inaanza kuonekana kama ni neema ya wanasiasa...
Nchi imekuwa ngumu kutawalika, tunawatafuta machifu Kwa lengo lakuwatumia Kwenye Siasa 2025. Hii inatokana na ukweli kwamba wale wanaoitwa machifu siyo viongozi wa kimila Bali ni wazee wastaafu wenye kadi ya Chama cha Mapinduzi. It's like Jumuiya ya wazazi imeshindwa kuaminika nakufanya kazi...
Tanzania ya Mwl Nyerere ilijengwa katika misingi ya umoja na ndio sababu kubwa ya kufuta uchifu.
Leo taifa letu lina zaidi ya miaka 60 tangu tupate uhuru anatokea mwanasiasa mmoja anaenzi uchifu.
Mataifa kama Uganda na Nigeria ambayo yaliendelea na uchifu yalijikuta yakipata matatizo makubwa...
Kuna taarifa zakupotea vijana watano zinasambaa mitandaoni Lakini hakuna kiuongozi wa serikali aliyetia Beno, wote wapo kimya kama vile waliopotea siyo watu. Viongozi wa dini nao wapo kimya utadhani Hawa siyo waumini wao.
Ni lini mliopewa dhamana mtachukulia haya mambo kwa uzito wake? Six years...
Msanii wa miondoko ya Reggae Ras Mtimanyongo amesema hakuna mwananchi aliyewatuma wanasiasa kudai katiba mpya kwa niaba yao hivyo wasiwaingilie.
Ras anasema Zitto Kabwe yuko sahihi kwa 100% kinachowahusu wanasiasa kwa sasa ni Tume huru ya uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Wapo wanadani wapo na amani waishi maskini lakini wawe na uzima wa akili,mwili na nafsi. Lakini wapo wanadamu wanatamani waishi bila amani ila wawe na fedha.
Wapo wanadamu wameridhika na kile wanachopata Cha haki, wapo wanadamu wanakwenda Kwa waganga wapate Cha ziada bila kujali masharti...
Katika kuzingatia màhitaji ya wakati huu kisiasa, watu wengi wamejiweka katika nafasi za kisiasa na kila mmoja akijiona mbobezi wa mambo ya siasa na mchambuzi mahili, hapa yamejitokeza makundi kadhaa kwenye Jamii zetu ambayo.
1) Wasomi na wahitimu wa vyuo vikuu bila kujali amesomea nini wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.