Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 nina tatizo la usikivu hafifu ambalo lilinianza nikiwa na miaka 14 au 15 hivi. Nashindwa kumsikia vizuri mtu akiwa mbali, anaeongea kwa sauti ya chini sana, mtu anaeongea haraka, mtu mwenye kigugumizi, mtu akiniongelesha tukiwa kwenye makelele na pia...