Habari za wakati huu ndugu zangu?
Leo nimekuja kwenu kwa anayefahamu taratibu za kusajili tawi la Yanga. Ningependa kujua hatua kwa hatua. Yaani vigezo na masharti, ada za usajili na mambo mengi mpaka tawi kufunguliwa.
Tumejikusanya mashabiki 30 na wengine wanazidi kuongezeka tunataka tupate...