Bila shaka wengi mnamkumbuka vizuri huyu Mheshimiwa, mimi namkumbuka zaidi kwa uchapakazi wake akiwa Naibu Waziri Tamisemi awamu ya 4, alionekana kuwa mtendaji mzuri na alivutia kwa uwezo wake wa kujieleza, kujenga hoja na kujibu maswali Bungeni.
Nilitarajia makubwa kwake kisiasa hata siku...