zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. Afichaye dhambi zake hatofanikiwa

    3 Yoh 1..2 N mapenzi ya Mungu ufanikiwe, Lakini sio ktk dhambi. Kama unataka kufanikiwa tubu omba rehema Acha dhambi za sirini
  2. Ushauri: Kila anayeonyesha Pesa zake mitandaoni serikali imtake aonyeshe na kodi aliyotoa

    Kama mtu amepata ujasiri wa kuonyesha maburungutu ya pesa mitandaoni, huku aonyeshi chanzo halali cha pesa hizo serikali isikalie hilo jambo kimya. Angalau watakwe kufanyiwa tax clearance wapewe doc ya kujipata na pesa mitandaoni. Hiyo itathibitisha ni pesa halali na huyo mtu anafaa kutumikq...
  3. Ukikamua tunda ili kupata juice unapoteza nyuzinyuzi zake ( Fibers)

    Ukikamua tunda ili kupata juice unapoteza nyuzinyuzi zake ( Fibers). FAIDA ZA KULA FIBERS; Mosi , Fibers ni chakula cha chembe hai za utumbo mpana. Utumbo mpana huzibadili fibers kuwa mafuta yajulikanayo kama BUTYRIC ACID. Mafuta haya ndo chanzo cha nishati kwa chembe hai za utumbo mpana (...
  4. U

    IDF yaandika historia tena, ndege zake 100 zasambaratisha kambi za Hezbollah, walikuwa wanajiandaa kuishambulia Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Israel yafanya kufuru Leo asubuhi Iko hivi Hezbollah walishajiandaa kuisambaratisha Israel hasa maeneo ya kati na kaskazini Hata hivyo idarayaza ujasusi za Israel zilipata taarifa kamili ya mipango hiyo ya magaidi Sasa walichofanya IDF ni kuwawahi Kwa kuishambulia...
  5. Kila mwaka Azam huwa anatolewa kimataifa kabla Simba haijaanza mechi zake

    Sisi Azam tukubali hatuna timu tuna kikundi cha wachezaji SOMA - LIVE - CAFCL: APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg| aggregate : 2-1 | 🏟 Amahoro Stadium | 1900hrs | 24.08.2024
  6. K

    Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI

    Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI linaloendelea Visiwani Zanzibar. Wizara ya Nishati inashiriki katika tamasha hilo kupitia Maonesho ambayo Wizara inatoa huduma moja kwa moja kwa wananchi kwa...
  7. Huwa najiuliza sana tu kama Mzee Mpili akiwa Mzee hivi anaonekana ni Mtata, je, enzi zake akiwa Kijana alikuwaje?

    Ni Mzee ambaye pamoja na kuwa ni mwana Yanga SC na Mimi kuwa mwana Simba SC ila huwa ananichekesha mno.
  8. Nyimbo maarufu kuliko original zake

    1. Changes ya Tupac https://youtu.be/eXvBjCO19QY?si=Fwtyece1Ac7kPCkH Origina yake https://youtu.be/GlRQjzltaMQ?si=ZwPSmhk-4Vx8__Ku 2. Forever Young ya Jay Z https://youtu.be/Kzq15y2J4UM?si=JQi1v7F_i7B7gYTF Original yake https://youtu.be/t1TcDHrkQYg?si=bwgTEt655tTKDUq0 3. Toy Soildiers Eminem...
  9. Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Ndugu mwana JF, Napenda kuzidi kuwakumbusha kuhusu biashara ya mafuta saivi ndio biashara inayoshika hatamu Kwa Kasi sana. Biashara ambayo inakupa faida Kwa haraka bila mawazo kwani biashara hii ni nzur sana. Unaweza wekeza kituo 1 Cha mafuta ndani ya mwaka 1 ukawa na uwezo wa kujenga kituo...
  10. Ushauri: Uwekezaji katika maeneo ya kambi za Jeshi utazamwe kwa jicho la 3

    Majeshi yetu ya Ulinzi na usalama ni vyombo nyeti mno katika mustakabali wa usalama wa nchi yetu (Kisiasa,Kiuchumi na Kijamii). Maeneo ya kambi za Jeshi ni maeneo adhimu na yanapaswa kutochangamana na maeneo ya kiraia kwa namna moja au nyingine. Miaka michache iliopita tulipata janga la mabomu...
  11. Mdude Nyagali: Wamasai wanafukuzwa Ngorongoro baada ya ‘Vasco Da Gama’ kuwauzia Wajomba zake waarabu eneo lao

  12. R

    JF Great Thinkers, mjadala JF ungelikuwa kwanini kamtoa huyu, ame mess up wapi/weakness na huyu aliyeletwa strengths zake ni zipi kuliko aliyetolewa

    Hii pangua pangua za kila leo za Samia zingejadiliwa kwa muktadha wa strentghs and Weaknesses za waliotenguliwa na walioingizwa/chaguliwa! What more do we expect from the new appointees? compared to the outgoing ones Mama anavuruga vuruga kwenye chungu hicho hicho.Jiulize kwanini aliwatoa...
  13. Picha lilianzia pale Balozi wa Nchi dume alipoanza kufuatiliwa nyendo zake na yule Mbunge mustaafu

    Ilikuwa kila baada ya mda fulani wanatembeleana na kupiga ma picha picha kibao huku wapambe humu Jf wakimpamba eti anakubalika na wana ng'ambo pasi na kujua walikuwa wanaisanua sirikali na masinia yake. Kutano la kwanza lilipuuzwa. Kutano la pili na yaliyoendelea hakika yaliishtua sirikali na...
  14. Kilichomponza Mwanakwerekwe, ni dada yake Halima kukata mauno mbele ya wakwe zake!

    Jamaa walitoa tahadhari mapema wakasema,mikong'oto heavy ni Kwa ajili ya Vibaka na Walanguzi walioshindikana hapa Barani Afrika,yeyote atakaye ingia kati wakati mikong'oto hiyo ikiendelea, atajikuta anapokea kichapo kisichokuwa na huruma kama Paka shume aliyekunya kwenye debe la Unga wa uwele...
  15. Mwanamke Akianza kudai haki zake, huonekana ana kiburi.

    Hususan Maeneo ya Vijijini na hata baadhi ya Familia Mjini Mwanamke akianza kutambua na kudai haki zake huonekana ana kiburi sana. Halafu cha kushangaza sasa unakuta wanawake ndio wa kwanza kuanza kukandamiza haki ya Mwanamke mwenzao ili mradi tu na wao wasionekane wabaya. Mwanamke huyu...
  16. Mtu Gani humkubali humu kwa pigo zake?

    Mtu unajianzishia Uzi wako anakuja kucoment ilimradi akukere. Tag anyone you wish. Me naanza na Lucas Mwashambwa
  17. Hakuna Ubishi Mwabukusi ni Mwanaharakati, Je TLS Yake Iwe ya Kiharakati, Au Asilete Harakati Zake kwenye TLS Yetu, Ibaki Kuwa Profesheno Body?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe la leo Hii ni makala yangu ya pongezi kwa Wakili Mwabukusi kuchaguliwa kuwa rais wa TLS, na kumpa ushauri wa bure, aibadili TLS kutoka kule juu ilipo, aishushe chini ground zero Ihudumie wananchi wa kawaida wanaohitaji huduma za kisheria, badala...
  18. Iphone latest za mtumba uwezo na bei zake.

    Wakuu natumai nikwema huku tukiendelea na pilika za kujiandaa na msimu mpya wa Ligi yetu pendwa ya Mpira wa miguu. Nende moja kwa moja kwenye mada kuwa wapi naweza pata IPHONE nzuri ya mtumba kuanzia 13 na kuendelea. Ikiwemo gharama zake na hata uwezo wake. N.B hizi simu hata kama watu...
  19. Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Mwana JF Leo nipo hapa kukuoneaha (kukuambia) umuhimu wa kuweka Beam chin kabla kuzika Tank la mafuta. Ukiweka bim inakusaidia Kwa 90% kuwa na uhakika wa Tank lako kutokupanda juu au kuibuka. Hakikisha unaweka bm yenye chuma za kuanzia mm16 mpaka mm25 kulingana na ukubwa wa Tank Kunja huk za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…