zambia

Zambia (), officially the Republic of Zambia, is a landlocked country in Southern-Central Africa (although some sources consider it part of East Africa). Its neighbors are the Democratic Republic of the Congo to the north, Tanzania to the north-east, Malawi to the east, Mozambique to the southeast, Zimbabwe and Botswana to the south, Namibia to the southwest, and Angola to the west. The capital city is Lusaka, located in the south-central part of Zambia. The population is concentrated mainly around Lusaka in the south and the Copperbelt Province to the northwest, the core economic hubs of the country.
Originally inhabited by Khoisan peoples, the region was affected by the Bantu expansion of the thirteenth century. Following European explorers in the eighteenth century, the British colonised the region into the British protectorates of Barotziland-North-Western Rhodesia and North-Eastern Rhodesia towards the end of the nineteenth century. These were merged in 1911 to form Northern Rhodesia. For most of the colonial period, Zambia was governed by an administration appointed from London with the advice of the British South Africa Company.
On 24 October 1964, Zambia became independent of the United Kingdom and prime minister Kenneth Kaunda became the inaugural president. Kaunda's socialist United National Independence Party (UNIP) maintained power from 1964 until 1991. Kaunda played a key role in regional diplomacy, cooperating closely with the United States in search of solutions to conflicts in Rhodesia (Zimbabwe), Angola, and Namibia. From 1972 to 1991 Zambia was a one-party state with the UNIP as the sole legal political party under the motto "One Zambia, One Nation". Kaunda was succeeded by Frederick Chiluba of the social-democratic Movement for Multi-Party Democracy in 1991, beginning a period of social-economic growth and government decentralisation. Levy Mwanawasa, Chiluba's chosen successor, presided over Zambia from January 2002 until his death in August 2008, and is credited with campaigns to reduce corruption and increase the standard of living. After Mwanawasa's death, Rupiah Banda presided as Acting President before being elected President in 2008. Holding office for only three years, Banda stepped down after his defeat in the 2011 elections by Patriotic Front party leader Michael Sata. Sata died on 28 October 2014, making him the second Zambian president to die in office. Guy Scott served briefly as interim president until new elections were held on 20 January 2015, in which Edgar Lungu was elected as the sixth President.
In 2010, the World Bank named Zambia one of the world's fastest economically reformed countries. The Common Market for Eastern and Southern Africa (COMESA) is headquartered in Lusaka.

View More On Wikipedia.org
  1. Jeshi la Polisi litaendelea kuiunga CCM kwa kuhofia yaliyotokea Zambia

    Kwa hali upepo unavyovuma Jeshi la Polisi litaendelea kuiunga CCM kwa nguvu zao zote ili makamanda wao na wale wenye rekodi ya unyanyasaji raia, wizi na unyang'anyi waendelee kubaki katika nyadhifa zao na kulinda maslahi yao. Hii inatokana na somo walilolipata kutoka kwa Rais mpya wa Zambia Mh...
  2. R

    Tujadili: Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia, amewafukuza Makamishina wa polisi kwa kukiuka maadili ya kazi zao wakati wa Lungu

    Swali: 1. Hawa walikuwa wanatekeleza amri za Lungu, sasa unamuachaje Lungu ambaye alikuwa anabariki mateso yote? 2. Kama Lungu alitenda makosa nje ya mamlaka yake, kwa kuvunja katiba na sheria za nchi, ukimwajibisha kwa HAKI ni makosa? 3. Kwa walioonewa na kukosewa haki zao za msingi na...
  3. Zambia hakuna kodi za magari au hakuna umuhimu wa kutambua magari kwa Namba?

    Nilishangaa sana nilivyofikaa Zambia, magari mengi barabarani. Je, hii inamaanishaa Zambia hakuna kodi za magari au hakuna umuhimu wa kutambua magari kwa Namba. Naomba kuwasilisha
  4. Siku ya pili ofisini Rais wa Zambia aunda team ya kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wa kodi

    Siku ya pili ofisini, Rais wa Zambia anasema ameteua team ya wataalam kuanza kufanya tathmini ya mfumo wa kodi wa nchi hiyo ili ufanyiwe mabadiliko makubwa ili kuondoa kasoro nyingi ambazo zimesababishwa na utawala uliopita katika uchumi wa nchi yao. Wakati Tanzania ndiyo kodi na tozo sasa...
  5. Tuna la kujifunza kutoka Zambia kwenye Uapisho wa Rais Hakainde Hichilema

    Habari Ya Machweo Wakuu. Kwenye sherehe nyingi za uapisho wa Rais kwa nchi za Kiafrika vyama pinzani toka nchi mbalimbali huwa ni nadra kualikwa. Rais wa Zambia Mh. Hakainde Hichilema amevunja mwiko kwa kuvialika vyama pinzani toka nchi mbalimbali za Afrika kuhudhuria uapisho wake! Nchi...
  6. Mzee Jakaya Kikwete na CCM hamuoni aibu kwenda Zambia? Zanzibar 2015 mlifanya nini?

    Hivi JK na CCM hamuoni hata aibu kwenda Zambia kuangalia wenzetu walivyopiga hatua kuhusu demokrasia yao ya vyama vingi na kuheshimu maamuzi ya wananchi wao? Yaani Makada wa CCM mmejaa kwenye ndege kwenda Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais halali aliyetoka na Upinzani, ninyi...
  7. Picha: Rais Samia arejea nchini toka Zambia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Agosti 24, 2021 akitokea Nchini Zambia alikohudhuria Sherehe ya kuapishwa kwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema
  8. Hakainde Hichilema aapishwa kuwa Rais wa 7 wa Zambia

    Hakainde Hichilema ameapishwa kuwa Rais wa Taifa hilo katika sherehe ambayo imehudhuriwa ya maelfu ya watu Jijini Lusaka. Anakuwa Rais wa 7 kuongoza Taifa hilo baada ya kumshinda Edgar Lungu katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 12, 2021 Uapisho wake umehudhuriwa na Marais wa Nchi mbalimbali...
  9. Q

    Ni aibu kwa CCM kujipeleka Zambia bila kualikwa

    Leo rais mteule wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema anaapishwa. Tuliona barua ya mwaliko kwa ACT Wazalendo na leo tumeona barua ya mwaliko kwa viongozi wa serikali, CCM hawajaalikwa, lkn cha kushangaza kwenye mwaliko huo CCM wamepeleka lundo la viongozi wake kuliko waalikwa wenyewe. Ni aibu kwa...
  10. Linganisha Delegation ya Botswana na ya Tanzania kwenye kuapishwa Rais Mteule wa Zambia

    Wakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM. Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki...
  11. Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

    Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
  12. Kwanini CHADEMA haikualikwa kwenye Sherehe za kuapishwa Rais Mteule Zambia?

    Kesho ni siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshawasili kuhudhuria sherehe hizo. Imekuaje CHADEMA chama kinachojiita kuwa ni chama kikubwa cha upinzani Tanzania hakikupata mwaliko ?
  13. M

    Tujifunze demokrasia kutoka Zambia kama shule

    Nchi ya Zambia ilimpata Rais wake wa kwanza mwaka 1968 mzee Kaunda akitokea chama cha UNIP, na baadae wakafuata marais wengine kama 7. Fredrick Chiluba Levy Mwanawasa Rupia Banda Michael Sata Guy Scott Ediger Lungu na Hakainde Hichelema Zambia tayari inakuwa imebadirisha pia vyama tawala zaidi...
  14. Zambia: Mchungaji aliyeomba kuzikwa ili afufuke siku ya 3 kama Yesu akutwa amefariki dunia

    Mchungaji wa kanisa la Zion amekufa baada ya kuzikwa hai --- Mchungaji wa kanisa la Zion nchini Zambia James Sakara, aliyewaomba baadhi ya waumini wake wamchimbie kaburi na kisha wamzike akiwa hai kwa madai ya kwamba baada ya siku tatu angefufuka kama Yesu, amekutwa akiwa amefariki dunia...
  15. Makamu wa kwanza Zanzibar amekiuka kumpongeza mshindi wa urais Zambia. Zanzibar sio dola huru mbele ya uso wa kimataifa

    Kwa mujibu wa mkataba wa kimataifa wa Montevideo ili dola liwe huru lazima liwe na uwezo wa kuingia mikataba ya kimataifa. Kwenye katiba ya JMT, mambo ya nje ni suala la muungano hivyo Zanzibar haipaswi kushiriki masuala ya nje bila kuihusisha wizara ya mambo ya nje ya muungano. Kitendo cha...
  16. N

    SoC01 Edgar Lungu Ameonesha Njia, Tuige Kulinda Amani

    Na Nkuruma wa Karne ya 21. Imekuwa kawaida kwa mataifa ya Afrika kuongozwa na Chama kimoja mfululizo huku chaguzi zikifanyika kuwahalalishia watawala mipango yao ya kudumu madarakani na kuachiana ndani ya Chama chao kama wanavyotaka. Mambo haya yamekuwa yakilelewa na jamii yenyewe kupitia...
  17. J

    Shaka: Uchaguzi wa Zambia ni ushindi kwa demokrasia ya Afrika

    SHAKA: UCHAGUZI WA ZAMBIA NI USHINDI KWA DEMOKRASIA YA AFRIKA "Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinawapongeza wananchi wa Zambia kwa kukamilisha uchaguzi mkuu wao kwa amani na utulivu" Shaka Mwenezi Taifa "Na kumpongeza kwa ushindi Rais Mteule Hakainde Hichilema aliyetangazwa kufuatia uchaguzi...
  18. S

    IGP wa Zambia aliwaonya wapinzani kuhusu kuandamana mwaka 2019, leo kiongozi wao ni Rais Mteule

    IGP wa Polisi Nchini Zambia Afande Kakoma Kanganja (Pichani) tarehe 25.11-2019 aliwaonya wanachama wa Chama cha Upinzani nchini Zambia( UPND) kuwa Wakijaribu Kuandamana polisi wake WATAWAKUNG'UTA sawasawa pamoja na kiongozi wao Hakainde Hichilema ambae rasmi ni Rais Mteule Zambia. HII IMEKAAJE SASA
  19. S

    Zambia: Mambo yaliyofanya kilichokuwa chama tawala cha Edgar Lungu kuanguka Uchaguzi Mkuu ni haya

    Mapema baada ya kupata matokeo ya uchaguzi mkuu nchini Zambia nikasema ngoja nifuatilie nini kimesaidia chama hichi kuanguka baada ya wananchi wa nchini Zambia kuamua , nimefuatilia chanel mbalimbali za mitandao na Tv za ndani ya Afrika na nje ya Afrika kwa lengo la kujua kulikoni chama tawala...
  20. CHADEMA mlimuita Jakaya Kikwete dhaifu, kulikoni tena leo mnamuhitaji?

    Wanaukumbi. Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za kumpeleka Mahakama za Kimataifa kumshtaki leo hii mnamuhitaji daaah siasa hizi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…