09 Dec, 2019: Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

Kumbe wewe Mkuu M-mbabe hujajua kuwa awamu hii, we don't entertain ujinga huo wa EU, US na UNDP kutuingilia kwenye mambo yetu ya ndani!.

Nikuibie siri, tayari UNDP ameomba apewe bajeti ya uchaguzi Mkuu wa 2020 ili a mobilize funds, jamaa wame mute!. Kikawaida no objection ilitakiwa ipatikane 12 month's prior!. Tumewagomea hatutaki kusaidiwa na fedha masharti zao!. Watu tumenunua midege kwa cash, tutashindwaje kuendesha uchaguzi wetu?. Tena kwa Uchanguzi wa 2020 ili ufanyike exactly kama ule wa serikali za mitaa, hatutaki kabisa waangalizi wa nje. Hii ndio demokrasia yetu na huu ndio uchaguzi wetu.
P
 
Tunasheherekea Uhuru wa Tanganyika kutoka kwa mkoloni mweupe; lakini ipo siku tutasheherekea Uhuru wa Tanzania kutoka kwa mkoloni mweusi ambae ni Mhe Magufuli! ... Povu ruksa!!

Unajua maana au definition ya ukoloni???!!! Au umejawa na chuki ambazo zinakufanya uropoke hovyo??
 
Hiki kikundi cha kichawi sungusungu hapa uwanjani kinapoteza muda tu.
 
Hii Chadema ya kina Nyalandu ya kwenda kuomba poo CCM Kirumba walah sijakubaliana nayo! Sasa naanza kuiona Chadema ya kina Lyatonga na Lipumba. Watani wa jadi tangu lini wakacheza mechi ya kirafiki?
 
Umeniwahi kupost naona wachawi sampuli ya wale wa kingwangwala na wote ni wasukuma.

Why wasukuma hamubadiliki na kuachana na hizi mambo mnawaza kuloga na kutambika daily?

Hopeful msimu huu wa uchaguzi mtawa-spare albino.
 
Kumbe sio makongolo kwaya

Ni CCM kwaya 😃😃😃
 
Haya mambo yanataka uelewa sana, ukikurupuka unapotea njia, binafsi nakubaliana na kile walichokifanya CDM 100%, ni kucheza na akili za watu tu, leo niwasikie watasema nini...wasipokwenda mnasema, sasa leo wapo!

NB. Kuwa mpinzani sio lazima ujigeuze jiwe, lazima uwafikirie na waliowaamini, leo tujue ni nani wanaoligawa taifa.
 
Nimekuelewa vizuri kabisa; 'hii ndio demokrasia yetu, na huu ndio uchaguzi wetu'.
 

Labda mzazi mpumbavu tu ndiye atakaye hangaika na mtoto aliyesusa kula. Mzazi muelevu anashughulikia kama mtoto hali labda anaumwa. Lkn kususa, waache waendelee kudekeza watoto halafu watapata majibu yake.
 
Wekeni update kwa kila kinachoendelea hapo .naona mvua imeanza kufanya yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…