EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Inavoonekana waliokufa watakuwa wa kwenye kirikuu tu maana hawajasema kama lori lilipinduka, kwa kuangalia height ya Lori bila kuanguka abiria hawawezi pata madhara (assumption)Pole kwa wafiwa,Kwenye Kirikuu walikuwa wangapi na wangapi wamekufa?na kwenye Lori la polisi pia walikuwa wangapi na wangapi wamekufa?
bila shaka zege halipoi.Pole Kwa Wafiwa.
Marehem wale Mahali pema peponi.
Kwa Sasa Wacha Tuendelee na suala la Bandari .