TANZIA 10 wafariki baada ya lori la Polisi kugongana na kirikuu Kilimanjaro

TANZIA 10 wafariki baada ya lori la Polisi kugongana na kirikuu Kilimanjaro

Ajali hii imetoke sanya juu na imehusisha gari ya polisi na gari ndogo ya abiria ambapo madhara ni makubwa imeripotiwa vifo vimefika 10
Ooh pole kwa wafiwa. Ila nimemsikia mkuu wa Mkoa bwana Mongela kwenyeTamasha la mama eti Arusha ni shwari kabisaa
 
Natakiwa kwenda Kahama Leo lakini naogopa kupata ajali
 
Thanks Allah, njia ya Kahama inaonekana Haina ajali nyingi.
Nilikua naogopa sana kusafiri leo
 
Pole kwa wafiwa. Mungu azimpumzishe roho za marehemu salama.
 
Back
Top Bottom