Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Pamoja na kwamba taifa letu limewahi kuwa na viongozi katika ngazi ya Urais ambao wameishatangulia mbele ya haki! Kikatiba kumbukizi linalopelekea siku ya mapumziko ni kwa waasisi wa taifa letu (Nyerere & Karume). Hata hivyo siku ya tarehe 17 March kila mwaka, ni siku ya majonzi kwa watanzania walio wengi! Mimi binafsi bado nikimtafakari natokwa na machozi kwa uzalendo na bidii la kulitoa taifa hili kutoka katika makucha ya mafisadi, majangili, wabadhilifu, n.k. Alionyesha kwa vitengo ndani ya mwaka mmoja alileta mapinduzi makubwa kiuchumi, kijamii, kiteknologia, kiulinzi, kiafya, kielimu, kijamii, n.k. Je! Wewe unamkumbukaje JPM?
Nani huyu?Tarehe 17.03 tunaadhimisha Kwa kumkumbuka
1. Shujaa,
2. Mtetezi wa Wanyonge,
3. Mnyenyekevu.
NB: Tutamkumbuka daima
Dr Mhe. JP Magufuli (PhD in Chemistry)Nani huyu?
Oh kweli...ripDr Mhe. JP Magufuli (PhD in Chemistry)
Nani ataadhimisha ujinga?Tarehe 17.03 tunaadhimisha Kwa kumkumbuka
1. Shujaa,
2. Mtetezi wa Wanyonge,
3. Mnyenyekevu.
NB: Tutamkumbuka daima
Heee..kumbe ujinga? Mbona hamsemiNani ataadhimisha ujinga?
Ati legacy!Heee..kumbe ujinga? Mbona hamsemi
Hahaha sidhani kama upo seriousKama Taifa tunakukumbuka Kwa mema mengi
Tulia wewe boyaHahaha sidhani kama upo serious
CCM tunaliaTarehe 17.03 tunaadhimisha Kwa kumkumbuka
1. Shujaa,
2. Mtetezi wa Wanyonge,
3. Mnyenyekevu.
NB: Tutamkumbuka daima. Kwa legacy uliyoiacha.
KabisaKama Taifa tunakukumbuka Kwa mema mengi
Yap, kifo lazima, sema kuna wakati kinasaidia maana kuna watu waliishi kama hawatakufaKweli duniani tunapita. Regardless of who you are wote tunakufa na kuoza kama mbwa tu tunaowaona barabarani waliojifia kwa kugongwa na magari.