17 Marhkila mwaka ni siku muhimu kwa Watanzania kukumbuka kifo cha Hayati Magufuli

17 Marhkila mwaka ni siku muhimu kwa Watanzania kukumbuka kifo cha Hayati Magufuli

Yap, kifo lazima, sema kuna wakati kinasaidia maana kuna watu waliishi kama hawatakufa
Jomba hakuna mtu anayeishi kama hatakufa..nani huyo..hata mwendqzake alikuwa anasema mwenyewe anajua siku moja atakufa..usidanganye
 
Pamoja na kwamba taifa letu limewahi kuwa na viongozi katika ngazi ya Urais ambao wameishatangulia mbele ya haki! Kikatiba kumbukizi linalopelekea siku ya mapumziko ni kwa waasisi wa taifa letu (Nyerere & Karume). Hata hivyo siku ya tarehe 17 March kila mwaka, ni siku ya majonzi kwa watanzania walio wengi! Mimi binafsi bado nikimtafakari natokwa na machozi kwa uzalendo na bidii ya kulitoa taifa hili kutoka katika makucha ya mafisadi, majangili, wabadhilifu, n.k. Alionyesha kwa vitengo ndani ya muhula mmoja alileta mapinduzi makubwa kiuchumi, kijamii, kiteknologia, kiulinzi, kiafya, kielimu, kijamii, n.k. Je! Wewe unamkumbukaje JPM?
hakuna cha kumbukizi, hakuna. Mliokuwa mnafaidi ukatili kumbukeni. Wengine hatupo ila kusherehekea shetani kutwaliwa
 
Sisi wengine hiyo kesho maisha yanaendelea tu kama kawaida. Maana sisi pia tuna siku zetu za kuwakumbuka wapendwa wetu. Kwa hiyo kila mtu apambane tu na hali yake.
 
Alikuwa mtetezi wa wanyonge leo kila kitu bei juu, matajiri wananeemeka
 
Back
Top Bottom