17 Marhkila mwaka ni siku muhimu kwa Watanzania kukumbuka kifo cha Hayati Magufuli

Tarehe 17.03 tunaadhimisha Kwa kumkumbuka
1. Shujaa,
2. Mtetezi wa Wanyonge,
3. Mnyenyekevu.

NB: Tutamkumbuka daima. Kwa legacy uliyoiacha.
Legacy,kwa alama(majeraha) alizoziacha ataendelea kukumbukwa.
Screenshot_20230316-012242.jpg
 
Wiki hizi kadhaa kuelekea kuadhimisha kifo chake tumeona baadhi ya wanasiasa wakilidhihaki vilivyo jina lake huku mamlaka zote zikinyamazia kimya kabisa ishara kwamba ni jambo lililopagwa vuzuri. Je,hii inamaanisha nini?
 
Kesho tunakukumbuka Mwamba, JPM, kiboko ya Wababaishaji, wavibu, mafisadi, walarushwa, wezi nk
 
Wiki hizi kadhaa kuelekea kuadhimisha kifo chake tumeona baadhi ya wanasiasa wakilidhihaki vilivyo jina lake huku mamlaka zote zikinyamazia kimya kabisa ishara kwamba ni jambo lililopagwa vuzuri. Je,hii inamaanisha nini?
Huyo ni muuaji,
 
Back
Top Bottom