Na watu wenye akili kama zakoAtakumbukwa daima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na watu wenye akili kama zakoAtakumbukwa daima
Ingekuwa mtu anaiona picha yake akiwa kafukiwa kuna mambo mengi sana tungeyafanya tofauti.Yap, kifo lazima, sema kuna wakati kinasaidia maana kuna watu waliishi kama hawatakufa
Muulize mfalme Zamaradi aliyetoka mbinguni juzi, je jamaa amepumzika kwa amani au yuko alikostahili kutokana na amali zake alizochuma hapa duniani?Apumzike kwa Amani[emoji120]
Hata yeye alivyokuwa akidhihaki watu waliokumbwa na natural disasters, watu wake wakiua, wakiteka, wakitesa, wakijeruhi au wakipora pesa/mali kwenye biashara za watu au hata pale tetesi/uvumi wa kwamba wanawalawiti wale wanaowateka serikali(ya awamu ya Jiwe) ilikuwa ikakaa kimya bila ya kujitetea by telling it's side of the story au angalau kutoa ufafanuzi lakini iliendeleza ubabe huku chawa wa Jiwe wakifurahia madhila ya wengine.Wiki hizi kadhaa kuelekea kuadhimisha kifo chake tumeona baadhi ya wanasiasa wakilidhihaki vilivyo jina lake huku mamlaka zote zikinyamazia kimya kabisa ishara kwamba ni jambo lililopagwa vuzuri. Je,hii inamaanisha nini?
Tarehe kama ya leo ndiyo siku tulipata uhuru. Mungu fundi sanaRip huko uliko , Jpm .,
Ulionyesha maana halisi ya kuwa kiongozi....(leader). Kwa kutenda physically. Hata hukuona taaaabu kukaa barabarani ukishika njia kutoka wilaya moja kwenda nyingine , huku ukisalimiana na wa Tanzania walioko huko vijijini ...
Rest in forever peace .
Kubali kataa ila mungu wenu kafa tena kifo cha aibuKesho tunakukumbuka Mwamba, JPM, kiboko ya Wababaishaji, wavibu, mafisadi, walarushwa, wezi nk
Pamoja na kwamba taifa letu limewahi kuwa na viongozi katika ngazi ya Urais ambao wameishatangulia mbele ya haki! Kikatiba kumbukizi linalopelekea siku ya mapumziko ni kwa waasisi wa taifa letu (Nyerere & Karume).
Hata hivyo siku ya tarehe 17 March kila mwaka, ni siku ya majonzi kwa watanzania walio wengi! Mimi binafsi bado nikimtafakari natokwa na machozi kwa uzalendo na bidii ya kulitoa taifa hili kutoka katika makucha ya mafisadi, majangili, wabadhilifu, n.k.
Alionyesha kwa vitengo ndani ya muhula mmoja alileta mapinduzi makubwa kiuchumi, kijamii, kiteknologia, kiulinzi, kiafya, kielimu, kijamii, n.k.
Je! Wewe unamkumbukaje JPM?
Kukumbuka tu haitoshi.Pamoja na kwamba taifa letu limewahi kuwa na viongozi katika ngazi ya Urais ambao wameishatangulia mbele ya haki! Kikatiba kumbukizi linalopelekea siku ya mapumziko ni kwa waasisi wa taifa letu (Nyerere & Karume).
Hata hivyo siku ya tarehe 17 March kila mwaka, ni siku ya majonzi kwa watanzania walio wengi! Mimi binafsi bado nikimtafakari natokwa na machozi kwa uzalendo na bidii ya kulitoa taifa hili kutoka katika makucha ya mafisadi, majangili, wabadhilifu, n.k.
Alionyesha kwa vitengo ndani ya muhula mmoja alileta mapinduzi makubwa kiuchumi, kijamii, kiteknologia, kiulinzi, kiafya, kielimu, kijamii, n.k.
Je! Wewe unamkumbukaje JPM?
Wiki hizi kadhaa kuelekea kuadhimisha kifo chake tumeona baadhi ya wanasiasa wakilidhihaki vilivyo jina lake huku mamlaka zote zikinyamazia kimya kabisa ishara kwamba ni jambo lililopagwa vuzuri. Je,hii inamaanisha nini?
Champagne mood.Magufuli was a country bumpkin.
Good riddance to bad rubbish.
Let the Champagne pop!