17 Marhkila mwaka ni siku muhimu kwa Watanzania kukumbuka kifo cha Hayati Magufuli

Yap, kifo lazima, sema kuna wakati kinasaidia maana kuna watu waliishi kama hawatakufa
Jomba hakuna mtu anayeishi kama hatakufa..nani huyo..hata mwendqzake alikuwa anasema mwenyewe anajua siku moja atakufa..usidanganye
 
hakuna cha kumbukizi, hakuna. Mliokuwa mnafaidi ukatili kumbukeni. Wengine hatupo ila kusherehekea shetani kutwaliwa
 
Yapo mengi sana ya kumkumbuka Huyu mwamba



Kazi ulifanya kazi ulimaliza
Rest well papa
 
Sisi wengine hiyo kesho maisha yanaendelea tu kama kawaida. Maana sisi pia tuna siku zetu za kuwakumbuka wapendwa wetu. Kwa hiyo kila mtu apambane tu na hali yake.
 
Alikuwa mtetezi wa wanyonge leo kila kitu bei juu, matajiri wananeemeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…