17 Marhkila mwaka ni siku muhimu kwa Watanzania kukumbuka kifo cha Hayati Magufuli

Wiki hizi kadhaa kuelekea kuadhimisha kifo chake tumeona baadhi ya wanasiasa wakilidhihaki vilivyo jina lake huku mamlaka zote zikinyamazia kimya kabisa ishara kwamba ni jambo lililopagwa vuzuri. Je,hii inamaanisha nini?
 
Kesho tunakukumbuka Mwamba, JPM, kiboko ya Wababaishaji, wavibu, mafisadi, walarushwa, wezi nk
 
Wiki hizi kadhaa kuelekea kuadhimisha kifo chake tumeona baadhi ya wanasiasa wakilidhihaki vilivyo jina lake huku mamlaka zote zikinyamazia kimya kabisa ishara kwamba ni jambo lililopagwa vuzuri. Je,hii inamaanisha nini?
Huyo ni muuaji,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…