Wamewekeza kwenye madini na nishati dunia nzima
Hao ndio 666 Freemason,wao na rockefellerHawa jamaa ndio wanasuka mipango yote ya kijanja hapa duniani
Ni kweli kuna jamaa aliniambia katika kila buku ninalomiliki 500 ni yake/yao hiyo hesabu sijaielewaga mpaka leoHii familia inamiliki 95% ya utajiri wa dunia.
Matajiri wanakula sana raha.
Hivi hata swala hana urafiki na binadamu!? Tunashindwaje kumfuga aisee!?hana urafiki na mwanadamu
Hawa wana wataalamu wao wa madini, wanafanya tafiti na kufadhili ucimbaji wa madini, mafuta na gesi dunia nzima.Yeah! But they don’t own 95% of the World’s net wealthy which in 2018 was estimated to be $317 trillions while the total net worth of this family in the same year was estimated to be $400 billions.
Kiasi wanyama wote walikuwa porini nasi wanadamu ndio tukaanza wafuga. Hivyo mwanadamu kwa miaka mingi amekuwa akifanya juhudi za kujaribu kuwafuga wanyama kadhaa, wapo waliofanikiwa na wapo alioshindwa kabisa. Hawa wanyama tunaowafuga leo [Farasi, Mbuzi, Ng'ombe, Kondoo na Nguruwe] walikuwa ni wanyama pori waliokuwa wakipatikana eneo la ulaya na asia, huku kwetu waliletwa in the course of human interaction.Hivi hata swala hana urafiki na binadamu!? Tunashindwaje kumfuga aisee!?
Alichofanya Rothschild ni sehemu ya attempt ya wanadamu sehemu zote duniani kujaribu kumfuga huyu mnyama, lakini tumeshindwa.Huyo mzungu kawafanya nini hao Pundamilia??, mbona yupo nao wakifanya kazi ya Farasi na punda???.
Mkuu ni mazoea tu, kufuga pundamilia ni sawa na kufuga Kanga au Tausi kwani hawa wote ni ndege waliozoea kuishi porini, kimsingi wanyama wote asili yao ni porini mfano kuna nchi Mbuzi, ng'ombe, kuku na ngamia wanaishi porini na wame behave kama viumbe pori, ni hivi; huwezi kumfuga Pundamilia awe sawa na Farasi au Punda jinsi Punda hayupo sawa na Farasi au kuku asivyokuwa sawa na kanga au kondoo asivyokuwa sawa na mbuzi lakini wote hao wanafugika licha ya tabia na sifa zao kutofautiana na ni hivyo hivyo pundamilia au nyati (the cape Buffalo) anaweza kufugika akiwa na sifa zake peculiar.
'wakivyomtumia'Zebra hafugiki mkuu. Ni ngumu kumfuga kwa sababu hana urafiki na mwanadamu na hatabiriki, tofauti na 'ndugu yake' farasi. Na hii ndio sababu kwa nini Afrika licha ya kuwa na mnyama huyu maelfu ya miaka iliyopita, hawakuweza kumtumia kwa faida kama Farasi wakivyomtumia watu wa Middle East na ulaya.
[emoji23] typo kaka'wakivyomtumia'
Kama si mmakonde lazima utakuwa ,mmwera wewe
kabisa ni majority share holders wa benki kuu za mataifa yote duniani isipokuwa Cuba na Korea ya Kaskazini....wanamiliki SWIFT, hata rais wa ifaransa ni kijana wao, alikuwa mfnayakazi wa rothschild bank paris, akaingia ktk siasa wakamnyenyua mpaka ikuluHii familia inamiliki 95% ya utajiri wa dunia.
Wanachokufanya mara nyingi huwa ni kumTAME. Kama ambavyo wanafanya kwa tembo.
Nadhani unajua kuna tofauti ya taming and domesticating!Kwani Tembo anatabirika??---- ninachosema ndicho hicho unachoniunga mkono kwamba Zebra anaweza kuwa Tamed/demosticated na hawezi kuwa kama Farasi au punda na hata Farasi sio sawa na Punda katika behaviour zao, kuna wakati Farasi anaweza kumpiga teke Bwana wake au akakimbia hovyo (run amok) na inakuwa mshikemshike na punda ni hivyohivyo naye anaweza kugoma kufanya kazi na kuanza kurusha mateke, sasa usitake kumfanya Zebra awe exactly sawa na Farasi au Punda kitu ambacho hakiwezekani hiyo ni sawa na kum- tame cape Buffalo na awe exactly kama Ng'ombe kitu ambacho haiwezekani.
Kifupi ni kwamba Zebra anaweza kuwa tamed ila anazo tabia zake (genetical inherent behaviors) hizo hazibadiliki.
Kwanini Zebra hapendwi ??, jibu ni kwamba mbadala wake ni Farasi na Punda ndio maana watu hawajishughulishi naye isitoshe hiyo sehemu kubwa duniani hasa Africa wanapotoka Zebra ni nyara ya serikali.
Nadhani unajua kuna tofauti ya taming and domesticating!
Na ilivyo, Zebra hajafanikiwa kuwa domesticated [kwa maana ya permanent] ila anakuwa tamed [ambayo ni temporary]Ku tame ni kumfanya azoee watu na ku domesticate ni kumfanya aweze kuishi katika mazingira ya binadamu kama mbuzi anavyoishi na binadamu., tunachozungumzia ni kum- tame na kumfanya domestic.
Lakini 1/3 ni asilimia thelathini na tatu (33%)Mabenk yote mkubwa originated from them, railway kubwa ni initiative zao makampuni kama coca cola n Pepsi wali anzisha na wanae joy loyarities mpka kesho kutwa so far wana miliki 1/3 ya uchumi wa Dunia.
Jamaa kaamua kutumia pundamilia
Na ilivyo, Zebra hajafanikiwa kuwa domesticated [kwa maana ya permanent] ila anakuwa tamed [ambayo ni temporary]