Hii ni elimu mpya kabisa kwangu.Sio kweli, watu wanafuga (domesticate) Tembo, Chui, Cape Buffalo, Simba, Fisi nk, sembuse Zebra ambaye ni jamii ya Farasi, Mule na Punda??.
Huyo ni nyara ya serikali hiyo ndiyo sababu kubwa watu hawajishugulishi naye isitoshe Punda na Farasi na ng'ombe ni wengi na wanatosheleza mahitaji ya drafting, (draft animals).
Hii ni elimu mpya kabisa kwangu.
Hebu nifafanulie domestication ya simba imefanyikaje na Wapi?
Ila hawaumiliki...mmiliki ni usa na kampuni zake kacheki documentary ya six sisters ndio utajua hujui.Labda useme wanamiliki 95% ya mining industry duniani, hapo kidogo tunaweza ku compromise.,
lakini sio (100-5)% ya utajiri wa dunia [emoji1787], ingalikuwa ni hivyo hao wangekuwa ni demigods.
Utajiri upo Mashariki ya kati from the "black gold"
Hata cases unazotoa ni chache mno, hii ni jibu kuwa upo walakini kwenye ufugaji wao.Alas, Uarabuni na hata hapa Africa simba (w)amewahi kufugwa na Mzungu na mkewe kuna Video (nimesahau jina??! something Lisa the lion??), na huyo simba waka m release to the wild ili ajitegemee na ikashindikana na wakaamua kumchukua na kuendelea kuishi naye kama domestic pet hadi walipokuja Simba dume na kumchukua to the wild, ni historia ya kitambo iliyotokea hapa hapa Africa.
Simba Wanafugwa Uarabuni, hata Mike Tyson alikuwa kafuga Tiger.
Hakuna mnyama asiweza kuwa domesticated mbele ya Binadamu, Binadamu ni superior over all animals, kinachotakiwa ni kujua ni jinsi gani mnyama afundishwe ili awe tamed na hatimaye domesticated kwani kila mnyama anayo staili yake ya kufundishwa.
Umegeuza mahesabu, soma hapa: Ranked: The World’s Richest Families in 2020Hii familia inamiliki 95% ya utajiri wa dunia.
Hata cases unazotoa ni chache mno, hii ni jibu kuwa upo walakini kwenye ufugaji wao.
Huyo Tiger wa Tyson aliachana naye kwa sababu alijeruhi mtu—ndio sababu kubwa kwanini ufugaji wa simba ni mgumu. Nachosema ni kuwa, watu wamejaribu na wanaendelea kujaribu lakini ni ngumu sana kufuga baadhi ya wanyama.
Mbwa sio sawa na Simba. Mbwa anaattack adui au akiwa na maradhi ya akili. Lakini Simba ana attack yeyote bila kujali adui wala aliyemfuga (ili apate chakula).Hata mbwa wanajeruhi watu pia, je ufugaji wa mbwa ni mgumu??!!, suala la ufugaji wa wanyama ni necessity, mtu afuge Simba kwa ajili gani?? au Fisi, Chui nk??.---- sababu hiyo ndio inayo hold.
Necessity ndiyo inayo determine ufugaji, lakini kila mnyama ANAWEZA KUFUGWA NA AKAFUNDISHWA na binadamu, and that's what makes human being superior over other animals, panya anakuwa tamed na domosticated in its level and be used in land demining, angalia mradi wa SUA, apopo.
Naweza jiunga group hilo dada?Ninapenda historia Kuna group la wana historia ndiyo wanatoa hizi picha.
Hii necessity unayoizungumzia hapa ni kwenye modern world. Mf, Farasi wamefika Afrika miaka ya 1600, kabla ya hapo hawakuwa na option ya zebra na farasi, it was only zebra ambaye walishindwa kumfuga.Hata mbwa wanajeruhi watu pia, je ufugaji wa mbwa ni mgumu??!!, suala la ufugaji wa wanyama ni necessity, mtu afuge Simba kwa ajili gani?? au Fisi, Chui nk??.---- sababu hiyo ndio inayo hold.
Necessity ndiyo inayo determine ufugaji, lakini kila mnyama ANAWEZA KUFUGWA NA AKAFUNDISHWA na binadamu, and that's what makes human being superior over other animals, panya anakuwa tamed na domosticated in its level and be used in land demining, angalia mradi wa SUA, apopo.
Mbwa sio sawa na Simba. Mbwa anaattack adui au akiwa na maradhi ya akili. Lakini Simba ana attack yeyote bila kujali adui wala aliyemfuga (ili apate chakula).
Ufugaji ni selection ambayo imechukua maelfu ya miaka hadi kufikia leo simba hafugwi na Mbwa anafugwa.
Wale wanyama watano wanaofugwa wote hawakuwa huku Afrika, lakini je huku afrika hawakujaribu kuwafuga? Walijaribu kama walivyojaribu kumfuga zebra lakini ilishindikana.
Can zebras be domesticated?
No, zebras cannot be domesticated. Grant’s Zebra Gary M. Stolz, photographer, Kenya, 2008. U.S. Fish and Wildlife Service National Digital Gallery. They are unpredictable and are known to attack people. To be domesticated, animals must meet certain criteria. For example, they must have a good...www.loc.gov
Hata kama wangewekeza duniani na huko mars bado 95% inakuwa stori za vijiweniWamewekeza kwenye madini na nishati dunia nzima
Asante sana Mkuu, kwa shule yako safi iliyotulia. Yaani nimeelewa vizuri sana kwa nini baadhi ya wanyama hatuwafugi akiwemo swala.sasa huwezi fanya investment isiyo na hakika.
Mdukuzi,Hao ndio 666 Freemason,wao na rockefeller
Aisee kumbe aliwahi kuja Tanzania,hao kina Sykes ndio ilibidi wawe Rothschild wa TanzaniaMdukuzi,
Nimekutana na mtu moja anaitwa Albert Rothschild katika Nyaraka za Sykes miaka mingi iliyopita.
Kuna makala niliandika kuhusu Rothschild na Freemason.
Makala hiyo chanzo chake ni kijana aliyekuwa akiniandikia sana kwa hili na lile.
Hapo chini nataka nimweleze Albert Rothschild kwa faida ya rafiki yangu Nyaluchi na kwa faida ya wasomaji kama nilivyokutananae katika kumbukumbu za Sykes.
Ally Sykes anamweleza Rothschild na hii ilikuwa mara tu baada ya Azimio la Arusha na yeye kwa kushindwa kufuata masharti ya kiongozi kutofanya biashara na kuwa na nyumba za kupangisha, Ally Sykes ilibidi aachishwe kazi serikalini kwa barua aliyoandikiwa na Bhoke Munanka.
Msikilize Ally Sykes:
‘’Nilikuwa tayari nimeshaingia katika aina nyingine za biashara.
Nilikuwa nawakilisha makampuni kadhaa ya kuuza madawa na vipuli kutoka Ulaya na Marekani.
Biashara hii mpya ikanifanya niwe nasafiri sana kwenda Ulaya na Marekani.
Katika hali kama hii nilipata marafiki wengi wenye nguvu na maadui pia wenye uwezo kama huo.
Katika marafiki zangu wenye nguvu alikuwa Albert Rothschild, mtu maarufu katika dunia ya mabenki.
Ngoja nieleze kisa kifupi ambacho Rothschild na mimi tulikutananacho kinachowahusu maofisa wa serikali ya Tanzania.
Rothschild alikuwa Myahudi na akiishi Paris.
Nilimfahamu Rothschild Nairobi kupitia Peter Colmore.
Tukawa marafiki na mwenzangu katika biashara.
Nilimtia Rothschild hima aje Tanzania kuangalia uwezekano wa kufungua biashara.
Ilikuwa siku moja wakati yuko Madagascar ndipo akanipigia simu kunifahamisha kuwa anakuja Dar es Salaam na nimpokee.
Mimi sikuwa nafahamu, kumbe Oscar Kambona, Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje pia alikuwapo uwanja wa ndege kaja kumpokea Rothschild kama mgeni wa serikali.
Rothschild alikuwa ametua na ndege yake binafsi akiwa na wasaidizi wake.
Alipitisshwa haraka sehemu ya VIP lakini Kambona alipigwa na butwaa pale Rothschild alipomwambia kuwa asingependa gari la serikali lililokuja kumchukua bali ataingia katika gari yangu na kufuatana na mimi mjini.
Hii ilikuwa kinyume cha itifaki lakini hakukubali akashikilia kupanda gari yangu.
Rothschild akapanda gari yangu akawa na mimi na mke wangu.
Nikafanya mazungumzo ya biashara na yeye kabla hajakutana na maofisa wa serikali ya Tanzania.
Haya yaliwaudhi sana watu fulani ndani ya serikali.
Mimi sikuona kosa lolote kwani sote tulikuwa tunahangaika katika kujenga nchi yetu na kumfanya mwekezaji ajihisi yuko katika mikono ya watu wema wa kuweza kutegemewa.
Kitu ambacho mimi sikuwa nakifahamu kwa wakati ule ni kuwa nilikuwa nachunguzwa na vyombo vya usalama.
Mdukuzi,Aisee kumbe aliwahi kuja Tanzania,hao kina Sykes ndio ilibidi wawe Rothschild wa Tanzania
Dah kweli alimkirimuMdukuzi,
Shule niliyopata kwa Ally Sykes ni kubwa sana.
Nimejifunza mengi kutoka kwake.
Allah alimkirimu kupita kiasi.
Ally Sykes akiwatuma Wazungu apendavyo na wakimwita, ''Sir.''
95% ya utajiri wa dunia???----- are you serious or kidding!!?[emoji33]---- kwa maana hiyo 5% iliyobaki ndio inamilikiwa na almost 7bn people??!!