Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Wanyakyusa uwezo wa fedha walikuwa nao kwani wanalima kahawa, chai, ndizi na walikuwa wanakwenda WENELA Afrka Kusini kuchimba dhahabu, wao suti hawakuzianza wakati wa Magufuli.Napenda kijua waliwezaje kusafiri hadi kwa mabeberu huko kudai uhuru?
Kuna waliowafadhili au walikuwa wana wenye kujiweza kifedha sana?
Ebu subiri kwanza,kwahiyo machifu waliuza ng'ombe ili wakate ticket za kupanda mwewe wa chuma.Vipi kuhusu mchongo wa Visa na transit ilikuwa wapi na wapi? Na nani aliwapokea London? Je hakukuwa na wazamiaji?Walikuwa na uwezo, Chifu ana ng'ombe wengi, akiuza wachache tu pamoja na michango ya eneo lake, tosha kabisa.
Kama sikosei Mwaisa mtu mbad alikuwa mkalimani wa msaafara .
Haswa ni AnyaghileHuyo sio mnyakusya 🤣
Zamani VISA haikuwepo kwa Tanganyika ulikuwa mkoa wa Uingereza, pia pesa ya Tanganyika ndiyo hiyohiyo ya Uingereza kwa thamani ileile, kwa kifupi Uingereza ilikuwa sawa na kwenda Kigamboni.Ebu subiri kwanza,kwahiyo machifu waliuza ng'ombe ili wakate ticket za kupanda mwewe wa chuma.Vipi kuhusu mchongo wa Visa na transit ilikuwa wapi na wapi? Na nani aliwapokea London? Je hakukuwa na wazamiaji?
Hii story imeshaanza kunivutia ujue
Hii nchi tunadanganywa sana kwenye historia. Tunaambiwa ni Nyerere na Marealle ndiyo walioenda Ulaya kudai Uhuru kumbe hata ndugu zetu hawa wa Nyanda za Juu Kusini walipambana kudai Uhuru hadi huko Ulaya...kwa nn hatufundishwi darasani haya mambo?View attachment 2093301
Nawakumbusha 1950's Machifu wa Kinyakyusa Walienda Uingereza Kudai Uhuru wa Nchi yao ya REPUBLIC OF SOUTHERN Highlands walikaa Mbele ni Kutoka Kushoto Chief Mwangobola...
Hii nchi tunafanganywa sana kwenye historia. Tunaambiwa ni Nyerere tu na Marealle waleanda Ulaya kudai Uhuru kumbe hata ndugu zetu hawa wa Nyanda za Juu Kusini walipambana kudai Uhuru hadi huko Ulaya...kwa nn hatufundishwi darasanj haya mambo?
Kumbe hapo ndipo walipopata misamiati mipya ya Kinyakyusa kama vile 'injinga, ibaisko, isipuni n.k."View attachment 2093301
Nawakumbusha 1950's Machifu wa Kinyakyusa Walienda Uingereza Kudai Uhuru wa Nchi yao ya REPUBLIC OF SOUTHERN Highlands walikaa Mbele ni Kutoka Kushoto Chief Mwangobola...
Siyo wote huanzia na Mwa... wengine ni ya matukio kama vile Chausiku, Upendo na mengineyo.Mbona haianzi na "Mwa----" kama wenzake??🤣
Huyo sio mnyakusya 🤣
Sungu au Mbilinyi, kwa pale Mbeya hao ni wa kuja.Chifu Sugu alibaki Mbeya kulinda himaya
Hahaha isopu ongezeni na mengine wakuu.Kumbe hapo ndipo walipopata misamiati mipya ya Kinyakyusa kama vile 'injinga, ibaisko, isipuni n.k."
Safi sana.
Nyanda za juu Kusini zina watu wenye utamaduni unsofanana.Ok,sasa mipaka ya Republic of Southern Highlands ilikuwaje? ni ile ya kikoloni au walikuwa na ramani yao?