1950 Machifu wa Kinyakyusa walienda Uingereza kudai uhuru!

Status
Not open for further replies.
Baba yangu mzazi mimi mtoa post hii alifanya kazi migodini South Africa kipindi cha Gold Rush kati ya 1950-60
 
Wagogo enzi hizo wako porini wanashindana kujificha wasionekane, maana ndio walikuwa wakoma na wenye trachoma
Hahhahahaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ama kweli "akutukunaye hakuchagulii tusi..!!" Kwa mitus hii amani dunian hatuipati kamwe
 
 


Utapeli mtupu picha ni za watumwa wa huko Marekani walio achiwa!!


 
Baada ya kudai ilikuwaje walifanikiwa?
 
Ni kweli kuwa kuna habari/historia kuwa machifu wa kinyakyusa waliwahi kwenda Uingereza kwa ufadhili wa serikali ya kikoloni. Safari ile haikuwa kwa ajili ya kudai uhuru bali ilikuwa kama rushwa ya kuwaziba midomo wasiungane na watu wengine kudai uhuru. Kikubwa zaidi Machifu hao walikwenda kuonyeshwa jinsi wazungu walivyoendelea na kushawishiwa kuwa endapo wataendelea kubaki chini ya utawala wa kikoloni wataletewa maendeleo kama waliyoonyeshwa.

Aidha hakuna kitu kilichoitwa the Republic of Southern Highlands na wala hakikuwahi kujadiliwa! Huo ni uzushi mpya!
 
wewe ni mkongwe mwenzangu hapa jf, nakuheshimu sana. ila kwa hili hapana,umetoa boko.

nakushusha hadhi kwa dhamira yako ya kutaka kudanganya umma wa jf.

hii picha inapatikana kwenye website ya library of congress katika article inayozungumzia watu waliozaliwa katika biashara ya utumwa. haina uhusiano wowote na hao machifu wa kinyakyusa uliowataja kwenye bandiko lako.

link hii hapa:'Born in Slavery' (April 2001) - Library of Congress Information Bulletin

Moderator ondoa huu uzi jukwaa la siasa, peleka jukwaa la udaku.

View attachment 2094869
 
Hiyo southerhighlands ilikuwa inahusisha mikoa gani
 
Macho kwenyeu ugali huyu maso pa kyindi lazima atuomabe radhi kwa kutuwekea story ya uwongo
 
Nikipokuwa mtoto nilikuwa nasikia chief akifariki alikuwa hazikwi peke yake; sasa mnataka kuturudisha huko jameni?mwee!
Kwa hiyo yule mpambe wa chifu uchwara mpya ajiandae likitokea la kutokea?
 
Macho kwenyeu ugali huyu maso pa kyindi lazima atuomabe radhi kwa kutuwekea story ya uwongo
KUNRADHI WANA JF
Lazima niwe muungwana , nitaweka wazi habari nilikoipata mtandaoni , lakini vile vile bado natafiti undani wa habari yenyewe.
Siyo siri mababu zetu walikuwa mbali!
 
Napenda kijua waliwezaje kusafiri hadi kwa mabeberu huko kudai uhuru?

Kuna waliowafadhili au walikuwa wana wenye kujiweza kifedha sana?
Babu yangu alikuwa Chief, safari yake ya kwanza UK ilikuwaa 1948. Safari ilianza na boti mpaka Egypt, halafu wakapanda ndege mpaka Italy, halafu akapanda gari mpaka English Channel, then akamaliza na ndege tena mpaka London....

Alichukia kwenda Ulaya kweli kweli.... Anyways, machifu walikuwa na hela sana miaka hiyo. Kwenda Ulaya kwao haikuwa issue.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…