2/10/2023: siku 90 zimebaki, mwaka 2023 kumalizika. Nini umeshindwa kukitimiza na ulikipanga ?

Mungu ni mwema nimepata mtoto wa kike mwaka huu, juzi ametimiza miezi minne. Mungu ampe afya njema inshaallah [emoji120]
 
Yaani doctor anapambania mtu ili akatolewe uhai et... bongo nyoso 😂😂😂
Kama mimi prezidaa, Jamaa nampa msamaha wa bure. Maana amejitahidi kunusurika kifo kabla ya kifo kusudiwa.
 
nilipanga kufanya kabiashara yangu lakin naona dakika za muisho zinaishia koiyo bora niaze raudi nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…